Inawezekana Na Wewe Ulifikiri Ugonjwa Huu Ni Wa Kurogwa
.
.
Ujue Ugonjwa Wa GOITER/ROVU…
▶Huu ni uvimbe usio wa kawaida katika eneo la koromeo (Thyroid Gland).Uvimbe huu hutokea mbele ya shingo
DALILI YA GOITA (ROVU)
▶ Uvimbe mbele ya shingo
▶Mama wajawazito kuharibu mimba
▶Kudumaa mwili na akili
▶Mtoto kufia tumboni
▶Kuzaliwa mtoto njiti (uzito pungufu au premature)
▶Kutetemeka na kuwa na wasiwasi.
▶Macho kutoka nje
.
.
SABABU ZINAZOSABABISHA GOITA
▶Kupungua kwa IODINE katika chakula
▶Lishe duni
▶ Kuzidi uzalishwaji wa hormone aina ya Thyroxine(Over thyrodism.
JINSI YA KUZUIA TATIZO HILI
▶Tumia chumvi yenye Iodine hasa ile ya baharini
▶Kutumia vyakula vyenye Iodine kwa wingi kama vile dagaa, maziwa nk.
▶Kutoa elimu ya afya kwa jamii kuhusu umuhimu wa lishe bora na
▶Kumpeleka mgonjwa hospitali iwapo ameshaanza dalili
.
.
Matibabu ya upungufu wa madini joto mwilini
▶Mgonjwa ataagiziwa dawa ya Iodine na daktari
▶Tumia dawa kama utakavyoagizwa na daktari
▶Operesheni itafanyika kama tezi imekuwa kubwa na athari zake zimeonekana
⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵
Habari njema ni kwamba kuna dawa asili na virutubisholishe ambayo itasaidia kumaliza tatizo la uvimbe wa tatizo hili la Rovu/Goita
JE UNGEPENDA KUANZA MATIBABU YA CHANGAMOTO HII
Bonyeza neno WHATSAPP hapo chini ili uweze kuchat na mshauri wetu na atakusaidia kuanza tiba
0 Comments