Games

6/recent/ticker-posts

Hizi Ndio Sababu Zinazomfanya Mwanamke Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Suluhisho Lake...

Hizi Ndio Sababu Zinazomfanya Mwanamke Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Suluhisho Lake…

Ni kweli kwamba kuna wanawake wengine huwa hata wakichezewa au kushikwashikwa kila mahali na mwanaume ili apate ashki[nyege] ya kufanya tendo la ndoa huwa ni kazi bure kwani hamu haimjii haraka au haimjii kabisa na hata akiamua kufanya anafanya tuu ili kumridhisha mwenzake

Japokuwa hisia za mwanamke zipo mbali mno lakini kama mwanaume atamshikashika pande tofautitofauti za mwili wake na kumletea utundu wa hapa na pale basi hisia huja na akajiskia ni mwenye kuhitaji tendo hilo la kiutu uzima na akaweza ipasavyo.

Kama una umri wa miaka 45 kushuka chini na unapatwa na tatizo hili, somo hili lina msaada mkubwa kwako katika kukabiliana na tatizo la kukosa hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa

Sababu Za Mwanamke Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa

1. Ugomvi kwenye mahusiano:

Kugombana kila mara na mwenza wako ndiyo namna rahisi kabisa inayoweza kuua hamu yako ya kutaka kushiriki tendo la ndoa.

Unapokuwa na hasira au umechukizwa na mwenza wako basi tendo la ndoa ndilo jambo la mwisho kabisa linaweza kukujia kichwani mwako.

Kuepuka hili jitahidi kupunguza ugomvi kwenye mahusiano yako na kama tayari yapo basi muwaone washauri wa ndoa yenu au hata viongozi wa dini na mfikie muafaka wa tofauti zenu.

Mheshimu mwenza wako na usimchukulie poa. Lolote unaloona linasababisha ugomvi kati yenu jaribu kuliweka mbali kama unataka kusonga mbele katika huo uhusiano wenu.

2. Mfadhaiko wa akili (stress):

Haijalishi nini chanzo cha stress yako. Mfadhaiko wowote wa akili unaweza kupelekea mwanamke kupungukiwa hamu yake ya kutaka kushiriki tendo la ndoa kwa haraka zaidi.

Mfadhaiko wa kama mbona sipati ujauzito, maisha magumu, kusimamishwa kazi ghafla nk vyote hivi vinaweza kukupunguzia hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa haraka sana.

Mfadhaiko wa akili pia unaweza kukupelekea ukajihisi kuchoka sana jambo ambalo hupelekea kukosa hamu ya tendo kirahisi zaidi.

Tafuta namna ya kuondokana na hii mifadhaiko haraka bila kuathiri afya yako ya mapenzi. Hakuna lisilo na suluhisho, jitahidi pia usikae na tatizo lako peke yako, ongea na watu utapata tu majawabu ya yanayokusibu.

3. Pombe na uvutaji sigara:

Pombe na hata sigara vyote vinasemwa hupunguza hamu yako ya kutaka kushiriki tendo la ndoa kadri unavyoendelea kuvitumia kwa muda mrefu.

Wakati kiasi kidogo cha pombe kinaweza kisiwe kibaya sana lakini kinapozidi lazima kitaleta madhara katika jambo hili. Wakati upande wa sigara haijalishi ni kiasi gani unatumia ili kubaki na afya yako nzuri ya mapenzi unashauriwa uache tu sasa hivi.

Kuongea ni rahisi kuliko kutenda si ndiyo?

Unahitaji kujua kwanini unapenda kuvuta na ubadili sababu hiyo na kitu kingine kizuri. Mfano kama unavuta sababu unajisikia mpweke basi jaribu kwenda kwenye viwanja vya michezo na ujumuike na watu wengine. Pamoja na hayo hakuna lisilowezekana kama ukiamua.

4. Dawa za uzazi wa mpango:

Dawa za uzazi wa mpango zinasemwa huwa zinashusha usawa wa homoni mhimu kwa mwanamke ijulikanayo kama ‘testosterone’ kwenye mwili wako na mwisho wa siku hamu yako ya kushiriki tendo la ndoa lazima itashuka.

Ongea na daktari wako kama unahisi matumizi ya dawa za uzazi wa mpango yanaweza kuwa yanahusika na kushuka kwako kwa hamu ya tendo la ndoa kuona namna nyingine mbadala nzuri ya kukusaidia kupanga uzazi wako.

5. Ufanisi mdogo wa mwanaume:

Kama mwanaume ataendelea kutokumridhisha mwenza wake kwa muda mrefu mfululizo hili linaweza kupelekea mwanamke husika kupungukiwa hamu yake ya kutaka kushiriki tendo la ndoa

Hili likitokea mwanamke uwe na akili sana juu ya namna ya kumwambia hilo mwenza wako lasivyo unaweza kuharibu kila kitu bila kujua. Usimwambie mwenza wako eti huna nguvu au huwezi kazi hivi macho kwa macho

Kuna namna ya kuwasilisha jambo hilo kwa mwenza wako kwa namna ambayo haiwezi kumumiza

Ni vizuri pia umjulishe hilo kwani kukaa kimya pia kutaleta madhara makubwa zaidi kwa uhusiano wenu lakini tumia akili unapomjulisha.

6. Historia mbaya ya mapenzi siku za nyuma:

Historia mbaya kuhusu mapenzi siku za nyuma inaweza kupelekea mwanamke akapoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa

Wanawake ambao wamewahi kubakwa siku za nyuma, wamewahi kutendwa vibaya na wapenzi wao au kufanyiwa vitendo vyovyote vibaya kuhusu mapenzi siku za nyuma wanaweza kupoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kirahisi zaidi.

Kutibu hili unahitaji kuonana na daktari mtaalamu wa saikolojia kwa msaada zaidi na tatizo lako litaisha.

7. Kujiona siyo mrembo vya kutosha:

Siku hizi wanawake wanahangaika kuongeza makalio au hata matiti yao ili tu waonekane ni warembo zaidi.

Kutokujiona wewe ni mrembo vya kutosha kunaweza kukupelekea ukaishiwa hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa.

Unatakiwa tu ujikubali kama ulivyo kama vile ulivyoumbwa na Mungu. Kila mwanaume ana sababu zake za kukupenda, wanaume wengine wanavutiwa tu na jinsi ulivyo na ubongo mzuri na akili yenye utulivu na siyo sura yako wala makalio yako.

Isitoshe hizo ni sababu za muda tu, utazeeka unadhani utaendelea kubaki hivyo miaka yote? Hivyo jikubali na amini yupo mtu anakupenda hivyo jinsi ulivyo.

Hakuna jambo baya kama kujidharau mwenyewe binafsi, wewe endelea kuwa kama ulivyo yupo mtu kwa ajili yako.

8. Baadhi ya magonjwa:

Magonjwa kama Kisukari, Shinikizo la juu la damu, magonjwa ya moyo, vidonda vya tumbo, maumivu wakati wa tendo la ndoa na kansa yanaweza kupelekea mwanamke akapoteza hamu ya tendo la ndoa.

Magonjwa haya pia yanaweza kupelekea kubadilikabadilika kwa homoni za kike.

Hivyo ikiwa umebainika na magonjwa haya ni mhimu upate matibabu yake kwanza ili uweze kurudi katika hali yako ya kawaida.

9. Ujauzito na kunyonyesha:

Homoni huwa zinabadilikabadilika wakati wa ujauzito na wakati wa kunyonyesha, Jambo hili linaweza kuathiri hitaji lako la kutaka kushiriki tendo la ndoa.

Ujauzito unaweza kukufanya ujisikie umechoka sana na kukupelekea usijisikie hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa.

Punguza baadhi ya kazi ukiwa mjamzito na umfikirie zaidi mwenza wako.

Ukiwa unanyonyesha pia ni vizuri ukiwa na wasaidizi kwa ajili ya baadhi ya kazi zako ili kukupunguzia uchovu.

10. Uzee:

Wakati mwanamke anafikia ukomo wa hedhi kwenye miaka 40 hivi homoni ijulikanayo kama ‘estrogen’ hushuka chini kwa kiasi kikubwa sana.

Kushuka kwa homoni hii pamoja na mambo mengine pia husababisha uke kuwa mkavu muda mwingi jambo linaloweza kupelekea maumivu wakati wa tendo la ndoa na hivyo kushuka kwa hamu moja kwa moja.

Unaweza kuwa unapakaa mafuta ya asili ya nazi au jeli ya aloe vera freshi ili kupunguza madhara haya yaletwayo na umri

11. Uchafu

Wanaume wengi wetu ni wachafu,hawatii manukato na hata midomo huwa inatoa harufu ya kumuudhi mke. Pia wengine hawajui romance na huwapandia wake zao kama wanyama bila kufanya utangulizi.

Vyakula Vinavyosaidia Kurudisha Hamu Ya Tendo La Ndoa


MBEGU ZA FENESI :

Mbegu za fenesi zinafahamika na kila mmoja,ni zile ambazo zinapatikana ndani ya tunda la fenesi,kama mwanamke anapendelea kula tunda hizo kuanzia kumi au zaidi kila baada ya siku 4 baada ya kuzichemsha na kuiva vizuri basi hamu ya kufanya tendo la ndoa zitamzidia na atakuwa ni mwenye kutamani kufanya mchezo huo kwa matamanio makubwa sana….hii ni tiba nzuri kwa wanawake wenye tatizo hili.

UJI WA ULEZI :

Wanawake wanashauriwa kunywa uji wa ulezi kila siku asubuhi kwani uji huu una uwezo wa kuamsha hisia za mapenzi.

MUHOGO MBICHI :

Imethibitishwa kwamaba kama muhogo mbichi kama utapendelewa kuliwa na mwanamke kiasi cha vipande5 pia vina uwezo wa kuamsha hisia za mapenzi au tendo la ndoa kwa wanawake.

KOROSHO :

Nazo zinatajwa ni nzuri sana kwa kumuongezea mwanamke hamu ya kufanya tendo la ndoa akiwa ni mwenye kuzila mara kwa mara.

SPINACHI :

Wataalamu hao wanasema mboga ya majani aina ya spinachi ina wingi wa madini ya magnesium ambayo husaidia kusambaza damu kwenye mirija. Damu inaposambaa vyema mwilini hata hamu ya tendo la ndoa huongezeka.

Bjork anasema kula kwa wingi mboga hizo kunamsaidia mwanamke hata kufikia kilele.

CHAI YA KIJANI(Green tea) :

Chai ya kijani ina kompaundi iitwayo catechins. Hii inaelezwa kuwa inasaidia kuyeyusha mafuta mwilini. Lakini pia inalisaidia ini kuchuja sumu na kuisaidia mishipa ya damu kufanya kazi vizuri. Damu ikitembea vyema mwilini, ni rahisi kwa mwanamke kujisikia hamu ya tendo.


MAFUTA YA SAMAKI :

Zipo aina nyingi za mafuta ya samaki. Lakini mafuta ya samaki wenye asidi ya Omega-3 yana virutubisho ambavyo huongeza kiwango cha ‘dopamine’ kwenye ubongo

Dopamine ni eneo la ubongo linalofanya kazi ya kudhibiti faraja na hisia. Kama dopamine itaongezeka basi mwanamke hujisikia kuridhika anapokuwa na mwenza wake.

CHOKOLETI :

Pamoja na utamu wake, lakini ‘chocolate’ ina virutubisho na madini ya magnesium ambayo humfanya mwanamke kuridhika.

Pia huufanya ubongo wa mwanamke kutulia kwa kuondoa msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo ukiisha ni rahisi kwa mwanamke kupata hamu ya tendo la ndoa. 

TIKITI MAJI :

Hili linachukuliwa kuwa ndilo

tunda bora katika kuboresha afya ya mapenzi. Tunda hili lina asilimia 92 ya maji na asilimia 8 zinazobakia zina 'phytonutrient citrulline' ambayo hugeuzwa kuwa 'arginine'. 

'Arginine' ni 'amino acid' ambayo hufanya mishipa ya damu kuwa kwenye hali ya ubora wake na kusadia damu kupita vizuri zaidi.

Tikitimaji kwa hiyo husaidia damu ifike kwa kiwango kizuri zaidi kwenye sehemu ambazo hutakiwa kutanuka wakati mtu akipata hisia za kufanya tendo la ndoa ambazo ni viungo vya ndani ya kisimi cha mwanamke na ndani ya uume wamwanamme

VITU VYA KUVIEPUKA:

Kama una tatizo hili la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa ili kupata uponyaji kwa haraka ukiacha kutumia dawa epuka pia vitu hivi vifuatavyo:

1. Vyakula vinavyopikwa katikati ya mafuta mengi

2. Vyakula vya kwenye maboksi (vya dukani)

3. Vyakula vyenye sodiamu kwa wingi

4. Sukari

5. Chai ya rangi na kahawa

6. Kaffeina

7. Pombe

8. Sigara

9. Madawa ya kulevya

10. Popcorn

Tumekuandalia njia nyingine fupi ya kuweza kuondokana na changamoto hii inayokusumbua. Njia hii si nyingine bali kwa kutumia program  yetu iitwayo BEDROOM PACKAGE ambayo inasaidia kuweka homoni sawa hivyo kurudisha hamu ya tendo la ndoa vizuri sana na ku enjoy tendo lenyewe .Endapo unahitaji program hii basi PIGA simu au TUMA ujumbe mfupi au whatspp kwenda namba +255716778844 SASA HIVI ili uweze kusaidiwa 

Simu/whatsapp: +255716778844


MUHIMU:

Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...

BONYEZA HAPA ILI UWEZE KUCHAT NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP



Post a Comment

0 Comments