Je Unajilaumu Na Kujiona Hufai Kisa Unapiga Kimoja Na Hauwezi Kuendelea Tena??? ..SOMA HAPA KWANZA KABLA YA KUJILAUMU..
Kila mwanaume ana muda wake ambao anatakiwa kupumzika kabla ya kuendelea na tendo la ndoa kitaalamu kama refractory period
Kuna ambao wanaweza kuendelea hapo hapo na kuna wengine wanahitaji mapumziko ya kwanzia nusu saa mpaka siku nzima
Tofauti na wanawake ambao huhitaji muda mfupi wa mapumziko au hua hawahitaji muda huu wa mapumziko kwani wao huweza kufika kileleni hata mara kumi kwa kulala na mtu mara moja kitaalamu kama multi orgasmic.
Tatizo Huwa Ni Nini?
Wanaume wengi hutumia muda mchache sana kufika mshindo wa kwanza kitu ambacho kinaweza kumfanya mwanamke asiridhike kwa wakati huo, sasa kwasababu mwanamke hajaridhika na anataka kuendelea basi wanaume hawa hujilazimisha kuendelea bila kupata mapumziko hayo ambayo ni ya msingi sana.
Matokeo yake wanaume hawa hupaniki kwa kuhisi kwamba watapata aibu na katika kupaniki huko muda wa kurudia ndio unazidi kua mrefu zaidi
Kwanini Wanaume Wanatofautiana Kwenye Jambo Hili?
Umri:
Vijana wadogo wanakua na stamina sana lakini pia mfumo wao wa damu ni msafi sana hivyo wanaweza kurudia haraka.
Mvuto:
Mwanaume akilala na mwanamke ambaye anavutiwa naye kingono basi ana uwezo wa kurudia mara nyingi sana kuliko akilala na mwanamke yeyote na hii ni kitu muhimu sana wakati wa kuoa, hakikisha unaoa mwanamke anayekuvutia sio yeyote tu.
Utundu kitandani:
Baadhi ya wanawake wana uwezo na utundu sana wa kukufanya utake kuendelea baada ya muda mfupi tu.
Magonjwa ya mzunguko wa damu:
Baadhi ya magonjwa hasa presha na kisukari huweza kuchelewesha sana muda wa kurudia tendo la ndoa.
Matarajio:
Ukiwa na matarajio makubwa ya kuendelea na tendo lingine baada ya kumaliza tendo la ndoa kwa hofu kwamba hujamridhisha basi ndio hupati kitu kabisa
Jambo jingine ni wanawake wanatakiwa kujua kwamba wanaume wanahitaji mapumziko baada ya mechi ili kuupa mwili nguvu tena kabla ya kuendelea tena
Inashauri kwa mwanawake kusitisha kwa muda purukushani za huba pindi atakapobaini kuwa mwenza wake anavuta kasi ya kuongeza gia
Isitoshe dondoo za mazungumzo zinashauriwa sana kuchukua nafasi, isiwe ni kasi kwa kwenda mbele kana kwamba mapenzi ni mchezo wa kukomoana au ni pambano la kumpata mshindi.
Mapenzi hayako hivyo na sio lazima yafanyike kwa mhemko mkali kwa kipindi chote kana kwamba ni mbio za mita mia.
Nini husababisha kushindwa kurudia tendo ??
MAZOEA YA MWILI:
Watu wengi wenye mjukumu hujikuta wakiizoeza miili yao kufanya mapenzi kwa tendo moja kutokana na kukosa nafasi, kwao kukutana na mwanamke ni short time.
Kwa maana hiyo miili yao hukosa hamasa ya kurudia kutokana na mazoea. Hivyo mhusika anapotaka kwenda raundi nne lazima aanze kuuzoeza mwili kidogo kidogo asifikiri atakurupuka mara moja na kwenda mara tano.
Huo ni upofu wa kielimu. Kwa maana hiyo mwanaume kabla hajalalamikia kushindwa kurudia aangalie historia yake kwamba amekuwa anashiriki mara ngapi!
UMRI WA MTU:
Kuna watu wengine wa ajabu sana wanajikuta wakihangaika kutafuta dawa za nguvu za kiume eti kwa sababu hawaendi kama zamani, ilhali wanajua fika nguvu za mwili hupungua kutokana na umri unavyokwenda.
Maana itakuwa ni ujinga kumwabia Firbat Bayi atimue mbio kama zamani! Kumbe kinachotakiwa ni kukubaliana na hali na kutulia na kuachana na hofu ya kupungukiwa nguvu za kiume!
HAMASA KUSHUKA:
Upofu mwingine wa kimawazo ni kwa wanaume na wanawake kutotambua kuwa hamasa ya kimapenzi hushuka kulingana na muda wa wapendanao kuwa pamoja.
Kuna wengine wanadhani kuwa watadumu kwenda mara sita au saba kama walivyokuwa wakati wa uchaga wa penzi lao
Na wakiona dosari wanaanza kulaumiana, "mbona zamani mume wangu ulikuwa unakwenda mara saba!" Ukweli ni kwamba kakuchoka miaka kumi, kunakipi kipya kitakachoamsha hamasa ya penzi na endapo mitindo ni ile ile na migogoro kibao?
Nini Sasa Cha kufanya ???
1.Chelewa kufika mshindo wa kwanza;
Ukichelewa kufika kileleni kuna uwezekano mkubwa wa kufikishwa mwanamke kileleni zaidi ya mara moja na ukajikuta unapumzika naye baada ya wewe kumaliza pia bila haraka kusubiri kuendelea mara ya pili au kutorudia kabisa kwani ameridhika.
Inaweza isiwe rahisi kuchelewa kufika kileleni lakini kuna njia za kufanya hivyo bonyeza hapa kusoma...
2.Jiweke vizuri kimwili;
Fanya mazoezi mara kwa mara, hii huongeza mzunguko wa damu mwilini, hukupa stamina na uwezo wa kufanya ngono kwa muda mrefu zaidi.
3.Tumia dawa zako kwa wakati;
Kama una ugonjwa wowote ambao unakuletea shida hii hasa magonjwa ya moyo, presha na sukari basji jitahidi kutumia dawa zako kwa wakati kupunguza makali ya ugonjwaa.
4.Epuka mahusiano na mwanamke asiyekuvutia;
Anaweza kua hakuvutii wewe lakini kuna watu anawavutia, kua mkweli na nafsi yako na utafute mwanamke ambaye nafsi yako inaridhika naye na hapo utafurahia sana tendo la ndoa
Mwisho;
Mfumo wa maisha kama kunywa pombe sana, matumizi ya sigara na kupiga sana punyeto kunaweza kukufanya ushindwe kuendelea na tendo lingine kwa wakati.
Kwa maana hiyo ukichunguza kwa makini utaweza kubaini kuwa watu wengi wanawake na wanaume wanajitesa na mawazo ya kupungukiwa nguvu za kufanya mapenzi bila sababu.
Kama wangekuwa na ufahamu juu ya mabadiliko ya miili yao wangekubaliana na ukweli wa mambo na kuacha kujisumbua kulilia ujana ambao umeshawapita.
Namalizia kwa kusema hivi siku zote mwili wa mwanadamu una desturi ya kuzoea kile ambacho kinafanyika kila siku. Kwa mfano kama wewe huna desturi ya kunywa chai asubuhi, mwili wako hauwezi kudai chakula hicho kamwe kutokana na kwamba sivyo ulivyozoezwa.
Lakini kama mwili huo huo utazoezwa kinyume chake na kulishwa chai kila asubuhi basi itakuwa vigumu sana kwa mtu husika kupitisha masaa hayo kama hakutia kinywaji hicho mdomoni.
Hivyo basi kabla ya kwenda hospitali au kubwia madawa ya kuongeza nguvu jiulize maswali juu ya mazoea yako.
Na kama ukitaka kubadilisha mazoea hayo kumbuka kuwa haitakuwa jambo la leo bali litachukua muda kuliwekea kumbukumbu katika mwili wako.
Hivyo basi nawashauri wale wote ambao wanashindwa kurudia kufanya tendo wafanye utafiti juu ya nini kinapungua katika ushindwaji wao.
Lakini pia wasikubali kukata tamaa na kujiona hawawezi eti kwa sababu wamekutana na mwanamke fulani na wameshindwa kufanya hivyo
Kwani mbali na hayo niliyosema kuna jambo la nguvu za mwili kutokana na siku husika. Kuna siku nyingine mtu anaweza kuwa dhaifu tu kwa namna moja au nyingine. Anaweza kuwa kachoka, ana mawazo, anaumwa, hana furaha kutokana na sababu wazi au zilizojificha na mambo kama hayo!
Hivyo isiwe jambo rahisi kwa mhusika kujilaumu na kujiona hafai, kufanya hivyo kutazalisha wasiwasi na matokeo yake mtu huyu atakuwa akitokewa na hali hiyo kila anapokutana na mwanamke na pengine akabaki na kumbukumbu kuwa mara ya kwanza kutokewa na hali hiyo alikuwa na mwanamke fulani na hivyo kuingiwa na mawazo kuwa pengine alirogwa na kusahau ukweli kuwa kajiroga mwenyewe na hofu yake!
Ni sababu nyingi zinafanya zinepelekea kutofautiana ikiwemo hali ya kiafya, umri, lishe na namna gani unashugulisha mwili wako.
Kama una changamoto ya kushindwa kurudia tendo usiache kusoma makala yetu hapa chini. Utajifunza namna tatizo linavyoanza, ushauri na tiba pia ya kudumu
Jaribu Program Yetu Ya Asili Tuliyokuandalia Iitwayo MEN VITALITY PACKAGE Iliyowasaidia Wanaume Wengi Mpaka Leo Hii..
Tiba hii ni muunganiko wa dawa zilizotengenezwa kwa mimea tiba, matunda na mbegu.
Baadhi ya kazi na faida za MEN VITALITY PACKAGE ni hizi hapa:
■ Kuongeza hamu ya tendo na uwezo wa kurudia haraka
■ Kuimarisha misuli ya uume ili uweze kumudu tendo kwa mda mrefu
■ Kuongeza uzalishaji wa mbegu na
■ Kukufanya uwe mchangamfu hata baada ya kumaliza tendo
Kwa ushauri zaidi au kupata Men Vitality Package wasiliana nasi kwa :
Simu/whatsapp : +255716778844
BONYEZA HAPA KUWASILIANA NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP
0 Comments