Games

6/recent/ticker-posts

Fanya Hivi Ili Kupunguza Msongo Wa Mawazo Na Madhara Yake...

Njia Hizi Zimewasaidia Wengi Kuondoa Msongo Wa Mawazo Na Uchovu, Jaribu Na Wewe  Hakika Zitakusaidia…


Msongo wa mawazo huweza kusababishwa kitu kinachoitwa mental fatigue yaani uchovu wa ubongo

Mental fatigue huanzia pale mtu anapokuwa na mawazo mengi au anafikiria mambo mengi kwa wakati mmoja hivyo kinachotokea ni kwamba virutubisho vingi vinatumika kwenye ubongo kuliko inavyotakiwa 

Virutubisho hivyo vinavyotumika kupita kiasi huacha mabaki na sumu kwenye mishipa ya damu ya ubongo ambayo hupelekea kuziba katika mishipa hiyo ya damu katika ubongo

Kumbuka ubongo unahitaji vitu vikuu vitatu (3) navyo ni hewa safi, damu na virutubisho , sasa endapo itatokea ya kwamba vitu hivyo vikawa havifiki kwenye ubongo sababu ya mafuta au sumu kuziba mishipa hiyo ya ubongo basi seli za ubongo huanza kutokufanya kazi ipasavyo na hatimae kufa kabisa..

Hapo ubongo unachoka na kuanza kuleta shida kama za kusahau sahau, kupoteza kumbukumbu kabisa, kuwa na hasira muda wote, kuwa na uchovu wa mwili hata kama hujafanya kazi yoyote nk

Bahati mbaya watu wengi wakiona wana changamoto hizi huona kama kujipumzisha au kulala kama ndio njia ya kutatua changamoto hii lakini kusema ukweli hiyo sio njia ya kutatua tatizo hili kabisa

Ubongo unaweza kuuchosha kwa kufikiri sana, kucheza game kwenye simu,msongo wa mawazo,wakati wa kujiandaa mitihani, wana mahesabu (wahasibu) nk

.
Zifuatazo ni njia ambazo unaweza kujaribu ili zikusaidie kukuondolea msongo wa mawazo na uchovu. Jaribu halafu  utuletee mrejesho



1.Pitia picha zako zako za zamani kidogo, Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako

2.Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa. Epuka kukaa sehemu yenye mwanga mdogo kwani hufanya hali yako ya uchovu au stress kuwa juu zaidi

3.Imba huku unaoga! Sio lazima uwe muimbaji mahiri bali chagua tu wimbo wako unaoupenda, imba kwa namna yeyote huku ukiendelea kuoga

4. Epuka kubaki mpweke. Tafuta mtu yeyote uongee nae (hata mtoto mdogo) itakusaidia kupunguza mawazo au uchovu

5.Sikiliza muziki au mpigie simu rafiki yako mliyepotezana muda mrefu

6. Fanya Mazoezi (japo kwa dakika moja)

7.Badilisha Mazingira, Mfano kama unapita njia hiyohiyo moja kutoka kazini/shule, badilisha na upite nyingine

8.Fanya utafiti wa kijinga kwa kuwaangalia wapita njia na kutoa kasoro zao kimavazi, muonekano wao bila ya wao kujua

9. Nenda Saluni kunyoa/kuosha/kusuka nywele zako

10.Chukua kalamu na karatasi, anza kujifunza kuchora!
.
.
Endapo utajaribu hizi njia nina imani zitakusaidia. Furaha yangu ni kuona umepata msaada kupitia makala hii. Asante na MUNGU akubariki.. 

NB: Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanauchosha ubongo wao kwa kufikiri sana, kuwaza sana, mwanachuo, mcheza game sana, muhasibu, mtu waofisini basi ipo njia nzuri na rahisi ya kufanya ambayo tumekuandalia ili kuboresha afya na seli zako za ubongo.. Kama upo tayari karibu sana tukuhudumie


Kwa ushauri zaidi basi fika ofisini kwangu au wasilina nami kwa 

Simu/whatsapp: +25571677884

Au una whatsapp basi bonyeza hapa chini ikulete moja kwa moja kwenye uwanja wa whatsapp na ujibiwe kwa haraka

                  👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Post a Comment

0 Comments