Usipofanya Maamuzi Sahihi SASA Hivi Basi Sahau Kuitwa BABA...
NDIO wanaume wengi leo hii wanalea watoto sio wao kwa kujua au kutokujua ili mradi mume au mke kuficha aibu ya kuonekana mwanaume huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito
.
.
Leo tutaenda kuiona sababu kubwa sana ya kwanini mwanaume anashindwa kumpa mwanamke ujauzito, sababu hiyo ni kwamba upungufu au kutokuwa na mbegu za kiume hata kama anafanya tendo la ndoa vizuri na anamfikisha mkewe vizuri kileleni
.
.
Kama umekua kwenye mahusiano au ndoa kwa zaidi ya mwaka na mkeo kakuambia kaenda hospitali na kaambiwa hana shida basi ujue kuna asilimia kubwa mbegu zako zina shida... ila leo nitaongelea tatizo moja tu la mbegu ambalo ni mbegu nyepesi...
.
.
Ila sababu zingine za changamoto ya mbegu ni kama vile mbegu kutokuwa na kasi , kutokuwa na umbo kamili yani mkia na kichwa na mbegu nyepesi
.
.
Kwanza Tufahamu Wanachopitia Hawa Watu Wenye Mbegu Chache...
Wanaume wengi wanaopatwa na tatizo la mbegu chache (oligospermia) wanakutana na changamoto kubwa katika mahusiano na ndoa zao. Kushindwa kuwa na watoto kutokana na tatizo hili kunaweza kusababisha:
Mivutano Na Migogoro: Wanaume wengi wanahisi aibu na huzuni, jambo linalosababisha migogoro ya mara kwa mara na kushuka kwa mawasiliano mazuri katika ndoa.
Kupoteza kujiamini: Tatizo la mbegu chache linaweza kudhoofisha hali ya kujiamini kwa mwanaume, na kumfanya ajihisi mdhaifu au mzigo kwa mke wake
Hofu ya kutelekezwa: Wanaume wanaweza kuwa na hofu kwamba wake zao wataachana nao au kutafuta suluhisho nje ya ndoa kwa sababu ya kushindwa kuzaa mtoto
Kupungua Kwa Shauku Ya Kimapenzi: Hali hii inaweza kusababisha kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa, kwani mwanaume anaweza kuwa na wasiwasi au aibu kuhusu uwezo wake wa kuwa na familia
Dharau Kutoka Kwa Mke: Kuna baadhi ya wanawake huanza kuonyesha dharau za waziwazi kwa mwanaume ambaye hawezi kumsababishia apate kuitwa mama
Usaliti : Wanaume ambao hawana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito au ambao mbegu zao chache wanaongoza kusalitiwa, na mbaya zaidi mwanamke akishagundua umekaa naye muda mrefu bila kumpa ujauzito basi huenda hospitali kupima, akiambiwa hana shida basi huanza kukusaliti ili apate mimba maana keshajua wewe huna uwezo na hakuambii..
Leo hii wanaume wengi wanalea watoto sio wao na mbaya zaidi ni wabishi kwenda kupima mbegu zake na mfumo wake wa uzazi pale anapokua ametafuta njia mbalimbali kumpa ujauzito mkewe na akashidwa
NB: Ukiona una muda mrefu kwenye mahusiano au ndoa na hamjapata ujauzito basi wewe mwanaume mchukue mkeo mkafanye vipimo wote na mjue shida ipo kwa nani.. hivyo ndio utaweza kuokoa tatizo hili
Hii ni changamoto ambayo inaweza kutatuliwa kwa msaada wa kitaalamu, na sisi tupo tayari kukusaidia baada ya vipimo kuonyesha una tatizo hilo
"UPUNGUFU WA MBEGU ZA KIUME - (LOW SPERM COUNT)" NI NINI ????
"LOW SPERM COUNT"
Upungufu katika uzalishaji wa mbegu za kiume inahusiana na kutokuwepo kwa mbegu za kiume kwenye manii au uwepo wa mbegu kidogo sana katika manii
Mbegu za kiume huwa zinachunguzwa kwa kutumia kifaa maalum au darubini katika maabara, kwa kawaida mwanaume ili aweze kumpa mwanamke mimba anatakiwa atoe kiasi cha mbegu kati ya milioni kumi na tano hadi milioni mia nne kwa tendo, chini ya milioni kumi na tano ni ngumu kumpa mimba mwanamke
.
.
Endapo kiwango cha mbegu zitakuwa kidogo kitaalam hali hiyo huitwa ‘Oligospermia’ na kama huna kabisa mbegu hali hiyo huitwa "Azoospermia "
.
.
DALILI :
Hakuna dalili za moja kwa moja kusema kwamba utaumwa kitu fulani, lakini dalili zifuatazo huambatana na tatizo hili;
1.Kiwango : Kama una mbegu chache maana yake zipo kidogo kuliko kiwango cha chini kinachohitajika kumpa mwanamke mimba. Mbegu chini ya milioni 15 kwa milliliter ndizo chache sana.
Baadhi Ya Sababu Zinazopelekea Uwe Na Mbegu Chache Ni Pamoja Na :
(a)Kuvimba kwa mishipa midogo ya damu kwenye korodani mpaka kupelekea kushuka uzalishaji wa mbegu
(b)Maambukizi hasa magonjwa ya zinaa na kisonono
(c)Uvimbe kwenye korodani mpaka kuathiri uzalishaji wa mbegu
(d)Homoni kuvurugika: upungufu wa homoni ya kiume ya testosterone unafanya uzalishaji wa mbegu kupungua
(e)Majeraha kwenye via vya uzazi
(f)Tatizo la mbegu kutotoka nje na badala yake kurudi ndani(retrograde ejaculation)
(g)Matatizo ya kinga ya mwili kushambulia mbegu
2.Kumwaga Mbegu Mara Kwa Mara Inapelekea Shahawa Nyepesi
Kumwaga sana mbegu kila mara, ni sababu ya mbegu zako kukosa ubora na hivo kutoa mbegu nyepesi. Kupiga punyeto ni sababu mojawapo inayokufanya umwage mbegu sana.
3.Upungufu Wa Madini Ya Zinc
Tafiti zinasema kwamba wanaume wenye madini ya kutosha ya zinc mwilini au wanaotumia virutubishi vya zinc, wanakuwa na mbegu nyingi ukilinganisha na wale wenye upungufu wa zinc.
4.Majimaji Ya Kusafisha Njia Ya Kutoka Mbegu
Kama unaona umetokwa na majimaji kabla hata hujaanza tendo au katikati ya tendo , unaweza kudhani ndio mbegu kumbe ni kemikali tu inatolewa ili kusafisha mazingira mbegu zije kupita pasipo kudhurika.
.jpeg)
JINSI TATIZO LINAVYOTOKEA
Chanzo cha tatizo Uzalishaji wa mbegu za kiume unafuatana na ubora wa korodani kama haina tatizo lolote na kiwango bora cha mfumo wa homoni mwilini mwako. Homoni zinadhibitiwa katika ubongo na kuimarisha korodani zizalishe mbegu.
.
.
Mbegu zikishazalishwa, husafirishwa na mirija midogo sana na laini hadi katika tezi dume ’Prostate gland’ ambayo kazi yake kubwa ni kuzalisha manii.
.
.
Matatizo katika mbegu za kiume ni kutokuwepo kwa mbegu kunakosababishwa na hitilafu au matatizo kwenye korodani, kuzalisha mbegu zenye kasoro, mbegu zisizo na kiasi na mbegu chache.
.
.
Matatizo ya korodani husababishwa na joto kali katika korodani, maambukizi katika korodani na uume na kuumia korodani. Mishipa ya damu kulalia korodani ‘Variocele’ pia ni mojawapo ya tatizo kubwa la kuziba kwa mirija ya usafirishaji mbegu hizo
🔰SABABU ZA KIMAZINGIRA
Zipo pia sababu za kimazingira zinazoathiri uzalishaji wa mbegu za kiume mfano kemikali za viwandani, rangi za viwandani au majumbani, dawa za mashambani na za kuua wadudu, mionzi ya X- Ray, kukaa kwenye joto kali, kuvaa nguo za kubana na kukaa mahali kwa muda mrefu , kupakata kompyuta ‘(Laptop)’ kwa muda mrefu, matumizi ya sigara, bangi na madawa mengine ya kulevya kwa muda mrefu na ulevi uliokithiri, Uzito mkubwa wa mwili na matatizo ya akili n.k
.
.
Upande mwingine mwanaume anaweza kuwa anazalisha mbegu za kutosha lakini anashindwa kumpa mweza wake ujauzito kutokana na matatizo aliyonayo mwenza wake kama:
✅Kuwa na acid nyingi kupita kawaida katika uzazi ambapo huuwa mbegu za kiume zikifika ndani ya kizazi.
✅Kuzalisha yai ambalo halijakomaa kwa wanamke.
✅Kuharibika kwa kuta za kizazi 'uterus' au kuwa dhaifu na kushindwa kuhimili au kubeba ujauzito..
✅Upande mwingine wanaume kuzalisha mbegu mbovu au zenye matatizo.
.
.
USHAURI WANGU KWA WANAUME HUU HAPA :
Kama wewe ni mwanaume na upo kwenye ndoa au mahusiano zaidi ya miaka miwili na mnatamani sana kupata mtoto ila mmeshaenda hospitali na wewe ukaambiwa mbegu zako zina shida, au mkeo kaenda hospitali na kaambiwa hana shida yoyote basi tutafute tukusaidie haraka kabla shida haijawa kubwa
.
.
Bonyeza hapa kuwasiliana na mshauri wetu ili akusaidie..
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
AU
Simu/whatsapp: +255716778844
0 Comments