Games

6/recent/ticker-posts

MAZOEZI KWA WOTE AMBAO WANA TATIZO LA UUME KULEGEA...

Yajue Mazoezi Ya Kuondoa Tatizo La Uume Kulegea…

ERECTILE DYSFUNCTION (ED) ni tatizo la kushindwa kusimamisha uume vizuri kwa muda flani au kuwa na uume legevu

Tatizo hili hutokea kwa wanaume wengi na husababishwa na sababu mbali mbali, kama vile magonjwa ya moyo, kisukari, kuwa na uzito mkubwa (vitambi) na kupungua kwa kiasi cha homoni ya testosterone

Sababu zingine ni za kisaikolojia, matatizo katika mzunguko wa damu, kubadilika badilika kwa viwango vya homoni na madhara katika mfumo wa ufahamu.

Kutibu tatizo hili kwa kutumia madawa kama vile sildenafil (viagra) sio njia nzuri  badala yake unaongeza tatizo kwa kiasi kikubwa sana. Sasa hapa kuna mazoezi ambayo yanaweza kukuondolea tatizo hilo

Uchunguzi uliofanywa na chuo cha West huko Uingereza ulionesha kwamba mazoezi ya nyonga (pelvic exercise) yaliwasaidia asilimia 40 ya wanaume walio kuwa na tatizo la erectile dysfunction na kupata nguvu kama inavyotakiwa

Pia uchunguzi huo ulionesha kwamba asilimia 33.5 ya wanaume waliokuwa na tatizo la erectile dysfuction walipata nafuu kidogo kutokana na mazoezi ya nyonga.

Mazoezi ya misuli ya nyonga yanaweza kusaidia tatizo la uume kutosimama vizuri kwa muda mrefu au uume legevu pia yanasaidia matatizo mengine ya nyonga.

Mazoezi ya nyonga (pelvic floor exercise) yanaongeza nguvu kwenye misuli ya nyonga (pelvic floor muscles) mazoezi haya hujulikana kama KEGEL EXERCISE

Wanawake hufanya mazoezi haya kukaza misuli ya nyonga pindi wanapo jifungua pia huwasaidia kuboresha misuli ya kibofu cha mkojo kwa wale wenye tatizo la kushindwa kuzuia mkojo kwa muda mlefu.

Kwa wanaume mazoezi ya kegel yana faida nyingi, moja ya faida hizo ni kukaza misuli ijilikanayo kama bulbocavernosus. misuli hii ina kazi kuu tatu muhimu,

■ Inaruhusu damu kujaa kwenye uume ili uume usimame vizuri

■ Inafanya kazi kama pampu kipindi cha kutoa manii.

■ Husaidia kuondoa kiasi cha mkojo kinacho baki katika mirija ya urethra pindi unapo maliza kukojoa.

MSINGI WA MAZOEZI YA KEGEL:

Kabla hujaanza kufanya mazoezi ya kegel ni muhimu kutambua misuli ya nyonga (pelvic floor muscles) inayo takiwa kufanyiwa mazoezi hayo

Njia nzuri ya kuitambua misuli hiyo ni kufanya tendo la kukojoa na wakati unaendelea kukojoa kabla haujamaliza katisha mkojo katikati

Ile misuli unayo ivuta ili kuzuia mkojo usitoke ndio inayo takiwa kufanyiwa mazoezi ya kegel

Fanya zoezi la kegel kwa kuivuta misuli hiyo kama vile unazuia mkojo usitoke, vuta misuli hiyo kwa sekunde 5 kisha achia upumzike kisha vuta tena kwa sekunde 5 na kuachia. fanya zoezi la kuvuta misuli hiyo na kuiachia mara 10 hadi 20 na fanya zoezi hili mara 2 hadi 3 kwa siku

Hakikisha unapovuta hii misuli usibane matako bali bana misuli peke yake..

Mazoezi ya kegel kwa wanaume:

Unaweza  kulifanya zoezi hili ukiwa umelala chali na magoti yako yakiwa juu wakati miguu imekanyaga chini au ukiwa umekaa kwenye kiti au ukiwa umesimama

VITU VYA KUZINGATIA:

Yawezekana ukashindwa kubana na kuachia misuli hiyo mara 10 pindi unapo anza kufanya zoezi la kegel, usiwe na shaka fanya vile unavyo weza baada ya muda utakuwa una uwezo wa kuvuta nakuachia misuli hiyo mara 10 hadi 20.

Usibane pumzi au kuvuta tumbo ndani au kujikaza unapo fanya zoezi hili, kumbuka unapo vuta misuli hiyo ndani kwa sekunde 5 achia pumzika kidogo kisha vuta tena mpaka mara kumi na zoezi lifanyike mara 2 hadi 3 kwa siku.

Mazoezi ya misuli ya nyonga yanasaidia kutibu uume legevu pia,

■ Kuboresha tendo la ndoa kwa ujumla.

■ Kukaza misuli ya kibofu.

■ Pia huondoa tatizo ka kubaki kiasi cha mkojo pindi unapokojoa.

MAZOEZI YA PUMZI :

Aerobic exercise au tunaweza kuyaita mazoezi ya pumzi kwa urahisi ni mazoezi yanayo jumuisha kutembea, kukimbia, kuogelea au kuendesha baiskeli. mazoezi haya huboresha mfumo wa upumuaji na mzunguko wa damu mwilini, Utafiti uliofanywa na kuchapishwa na THE AMERICAN JOURNAL OF CARDIOLOGY ulionesha kwamba mazoezi ya mpumzi au aerobic exercise yanasaidia kuondoa tatizo la kuwa na uume legevu.

MAZOEZI YA KUKIMBIA:

KUMBUKA:

ERECTILE DYSFUNCTION ( TATIZO LA KUSHINDWA KUSIMAMISHA UUME VIZURI KWA MUDA FULANI AU UUME LEGEVU) husababishwa na matatizo ya msukumo wa damu kwenye uume, vitambi, kisukari na kiasi kikubwa cha cholesterol (MAFUTA) , vyote hivi vinaweza kupelekea tatizo hili

NB: Njia hii ya mazoezi inatakiwa udumu nayo kwa kipindi kirefu kisichopungua miezi 3-6 ili uanze kuona matokeo unayotarajia kwahiyo kuna baadhi ya watu kutokana na kuwa busy wanashindwa kuyafanya BASI tumeamua kuwaandalieni njia nyepesi na ya muda mfupi ambayo itakusaidia kukurudisha kwenye hali yako ya mwanzo..

Endapo una changamoto yoyote ile basi wasiliana nami ili nikusaidie

Simu/whatsapp: +255716778844

MUHIMU:

Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...

BONYEZA HAPA ILI UWEZE KUCHAT NA MSHAURI WETU WA AFYA MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP



Post a Comment

0 Comments