Tatizo La Kuwahi Kufika Kileleni Ndio Nini??
Hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mpenzi wake
Tatizo hili limekua likiwapata wanaume wengi na kujisikia aibu mbele za wapenzi wao pale wanaposhindwa kuendelea kabisa baada ya hali hii kutokea
Kimsingi mwanaume anatakiwa achukue dakika nne mpaka nane kabla ya kutoa mbegu za kwanza lakini watafiti wanasema tatizo hili hugundukiwa mtu anapotoa mbegu ndani ya dakika moja au kabla ya dakika moja
.
.
Tatizo hili huweza kutokea mara tu baada ya kubalehe,primary pre mature ejaculation au muda mrefu baada ya kubalehesecondary PE au kutokana na aina ya mwanamke uliompata.situational PE
.
.
Chanzo chake ni nini?
Tatizo hili halina sababu za kitaalamu zilizofanyiwa utafiti zikakakubalika ila wanasayansi wanaamini sababu zifuatazo zinaweza kuwa vyanzo vikuu vya tatizo hilo
.
.
1.Kupiga Punyeto Au Kujichua
Mara nyingi watu wanaopiga punyeto huwa wanafanya haraka kwa kujificha ili wasikutwe na mtu, tabia ile ya kulazimisha mbegu zitoke haraka huweza kuleta tatizo hili maana ubongo hunakili
.
.
2.Kukaa Muda Mrefu Bila Kushiriki Tendo La Ndoa
Kukaa muda mrefu sana bila kushiriki tendo la ndoa husababisha mkusanyiko mkubwa wa mbegu za kiume ambazo zinaleta msisimko mkubwa na ukichelewa sana kushiriki tendo la ndoa zitatoka kwenye ndoto nyevu. Kawaida mwanaume anatakiwa ashiriki tendo angalau mara nne kwa wiki
.
.
3.Kuwa Na Wasiwasi Wakati Wa Tendo La Ndoa
Mtu akiwa na historia ya kupata hali hii kabla, huwa hajiamini na kuwa na wasiwasi kwamba litatokea tena na matokeo yake hulipata kweli
.
.
4.Madhara Ya Dawa Zinazofanya Kazi Kwenye Mishipa Ya Fahamu
Baadhi ya dawa za usingizi, mawazo na zingine zinazofanya kazi kwenye mishipa ya fahamu huleta tatizo hili mfano amitriptyline
.
.
5.Kurithi
Baadhi ya koo au familia fulani hurithi vimelea vya kuwa na ugonjwa huu kwa vizazi mbalimbali vya familia husika
.
.
6.Magonjwa Ya Mfumo Wa Uzazi Wa Mwanaume Mfano Prostatitis
Matibabu Ni Yapi Sasa... ????
Matibabu ya ugonjwa huu yamegawanyika sehemu kuu mbili kulingana na ukali wa tatizo husika
.
(a)Non pharmacological treatment (matibabu yasiyohitaji dawa):
Matibabu haya hupewa watu ambao wanahimili mpaka dakika tatu bila kutoa mbegu
(b)Pharmacological treatment (matibabu yanayohusu dawa):
Matibabu haya hupewa watu ambao hutoa mbegu ndani ya dakika moja baada ya kuanza kushiriki tendo la ndoa, watu hawa hushauriwa kutumia na mbinu zote mbili za matibabu
.
.
Yafuatayo Ni Matibabu Yasiyohitaji Dawa:
(1)Tumia Condom:
Condom ni moja ya tiba nzuri ya tatizo hili kwani hufanya kazi kwa kupunguza hisia kali za mapenzi mtu anazozipata pale ambapo hatumii condom
(2) Kandamiza Perineum Kwa Kidole:
Perineum ni eneo kati ya sehemu ya tundu la haja kubwa na korodani, ile sehemu ikikandamizwa na kidole huweza kuzuia kukojoa haraka wakati wa tendo la ndoa
(3)Punguza Wasiwasi:
Hebu lifikirie tendo hili kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza
(4)Fanya Taratibu:
Picha za ngono zinadanganya sana watu kwamba kulala na mwanamke lazima ufanye kwa haraka haraka kama mbwa. HAPANA; ukifanya taratibu ndio njia nzuri ya kumfikisha mwenzako na wewe kuchelewa kufika kileleni
(5)Badilisha style:
Ile style ya zamani ya kumlalia mwanamke kwa juumissionary position inaleta msuguano mkubwa kwenye kichwa cha uuume hivyo itakufanya ufike haraka sana
Tumia style ya wewe mwanaume kutangulia chini afu mwanamke juu au kulala kwa upande wote mnaangalia upande mmoja hii itakusaidia sana kuchelewa
(6)Toa Mawazo Kwamba Unafanya Ngono:
Hebu jaribu kufikiria mambo mengine ya kikazi au masomo wakati unafanya tendo hilo, hii itakupunguzia hisia kali za mapenzi na kuchelewa kufika
(7)Fanya Na Kuacha:
Hii ni ile hali ya kuzuia msuguano pale unapoona unakaribia kutoa mbegu kwa kama sekundi 30 kisha unaanza upya. Hakikisha haufiki “point of no return”. pointi ambayo huwezi kujizuia tena kumaliza
(8)Kandamiza Sehemu Ya Shingo La Uume:
Hii sehemu ya shingo ya uume kwa chini ambayo ukiibana itakusaidia kuanza upya tena kihisia. Nimetumia shingo la uume kwasababu najua uume hauna mabega
Ushauri..
Tuna program maalum ya kuwasaidia wanaume wenye tatizo hili na uzazi kwa mwanaume ki ujumla wake. Utapewa mazoezi, massage pamoja na huo ushauri ambao nimeutoa hapo na baada ya mwezi 1-3 utakua mpya kabisa
NB: Usikubali kudharaulika mwanaume. Usikate tamaa, Rudisha heshima ndani. Mwanamke hajafuata chakula kwako, kafuata chakula cha usiku tu spesho ambacho hawezi kukipata kwingine popote hata kwa wazazi wake. Mpishi ni wewe tu
Sasa usimuangushe mwenza wako, pata program hii ili uhakikishe mkeo anashiba mpaka anapata kitambi ahahaa nadhani wakubwa mmenielewa
Ukiona mkeo anakununia mara kwa mara au ukiingia ndani tu furaha yake inapotea wakati akiwa na mashoga zake anakuwa na furaha basi jichunguze inawezekana kitandani humfurahishi ila ukiwa unamfurahisha anaongeza wivu na kila wakati anatamani kuwa na wewe
Wasiliana nasi uanze program hii kwa kujitibu au kwa kujiweka sawa hata kama tatizo halijakuanza. Kinga ni bora kuliko tiba maana tiba ni gharama kuliko kinga
Unachotakiwa kufanya ili kuanza program hii ni KUPIGA SIMU au KUNIACHIA UJUMBE mfupi kwenda namba +255716778844 SASA HIVI…
.
.
MUHIMU:
Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...
BONYEZA HAPA ILI UWEZE KUCHAT NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP NA ATAKUHUDUMIA KWA HARAKA
0 Comments