FAHAMU KUHUSU KUZIDI KWA ASIDI TUMBONI (REFLUX ACID ) NA VIDONDA VYA TUMBO ( PEPTIC ULCERS )
Vidonda Vya Tumbo ni nini???
Vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers) ni ugonjwa unaompata mtu ambapo kunatokea vijitundu au michubuko katika kuta za ndani za viungo vya mfumo wa uyeyushaji chakula
Utajuaje kama una vidonda vta tumbo????
Zifuatazo Ni Baadhi Ya Dalili Za Vidonda Vya Tumbo
➡ Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano na kuacha maumivu makali
➡ Kichefuchefu
➡ Kiungulia
➡ Tumbo kujaa gesi
➡ Tumbo kuwaka moto.
➡ Maumivu makali sehemu kilipo kidonda.
➡ Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
➡ Kutapika nyongo.
➡ Kutapika damu au kuharisha.
➡ Kukosa hamu ya kula.
➡ Kusahahu sahau na kupatwa na hasira mara kwa mara
Madhara ya Vidonda vya tumbo
🔔Hali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea hadi kwenye mishipa ya damu na hivyo kufanya damu kuanza kuvuja
🔔 Vidonda vya tumbo huweza kusababisha tundu (kutoboka kwa ukuta wa tumbo) na kufanya vitu vilivyo ndani ya utumbo kutapakaa katika tumbo (abdomen) Hali hii huitwa peritonitis na ni hatari sana na inahitaji matibabu ya dharura
🔔 Vidonda vya tumbo vinaweza pia kuenea na kuathiri pia viungo vya jirani kama vile ini au kongosho (pancrease)
🔔 Iwapo vidonda vya tumbo vimesababishwa na H. pylori, kuna uwezekano wa kati ya mara tatu hadi ya sita ya mgonjwa kupata kansa ya tumbo (stomach cancer)
Haya sasa hebu tuone Reflux Acid au GERD ni nini...
.
.
.
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)
.
.
Gastroesophageal reflux disease (GERD) ni nini ???
🔰Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia
🔰Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili
Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:
1.Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3. Kuhisi kama kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.Kujisaidia choo kigumu kama cha mbuzi.
6. Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7. Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8. Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.Kupata kikokozi kisichoisha
11.Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya)
15.Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa
16.Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito
17.Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku
18.Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri
19.Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa
20.Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa
21.Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo
22.Kichefuchefu na kutapika
MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
✅Uvutaji wa sigara
✅Unywaji wa pombe
✅Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
✅Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
✅Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
✅Kutumia baadhi ya Madawa kama vile ASPIRIN
✅Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Hiatal hernia)
✅Kuwa Mjamzito
✅Uzito kupita kiasi (Obesity)
✅Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa
.
.
.
MATIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI -GERD
Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumboni yamegawanyika katika aina mbili kama ifuatavyo:
MATIBABU YA KISASA
📣Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers kama vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)
📣Esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) Magnesium nk.
📣Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu
.
.
.
MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA
🔰Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba na imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na uwezo mkubwa wa mimea mingi katika kupambana na magonjwa mbalimbali kwasababu mimea kutibu kiini cha tatizo kwa kuzifanya kuwa mpya seli za mwili hivyo kuufanya mwili kuwa na uwezo mpya katika kufanyakazi zake
🔰ULGE ni package yenye muunganiko wa dawa asilia na virutubisho yenye uwezo mkubwa wa kupambana na matatzo ya ACID nyingi tumboni pamoja na Vidonda vya tumbo
.
.
.
🔊MASHARTI
Masharti unayotakiwa kuyafuata unapotumia Program hii ya tiba kwa wagonjwa wa VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS) au MWENYE ASIDI NYINGI TUMBONI ni kama yafuatayo:
1.USITUMIE VYAKULA AMBAVYO SI RAFIKI KWA MAGONJWA HAYA MAWILI..
💡Pombe
💡Kahawa
💡Maziwa/Cream
💡Nyama yenye mafuta mengi
💡Vyakula vilivyokaangwa(kwa mafuta mengu)
💡Vyakula vyenye viungo vingi
💡Vyakula vyenye chumvi nyingi
💡Vyakula vyenye acid kama vile Malimao,ndimu nk
💡Nyanya pamoja na bidhaa zake.
💡Chocolate
💡Vyakula vikavu
💡Vyakula vyenye gesi nyingi kama maharage,maziwa nk
2.VYAKULA NA MATUNDA UNAVYOWEZA KUTUMIA
Penda kula matunda kwa kiasi kikubwa Sana kila unapo pata Chakula akikisha Kuna matunda pembeni yako,Penda kula:
1.Ndizi za kupika au zilizo iva au unga wa ndizi pia itakusaidia,
2.Parachichi
3.Tikiti maji
4.Tango
3.MBOGA ZA MAJANI UNAZOTAKIWA KUTUMIA
Penda kula mboga za majani kama
1.Mlenda
2.Matembele (ila yakikukataa basi yaache)
3.Mchicha
4.Kabeji
5.Nyanya chungu
6.Bamia
Lakini unaweza kutumia samaki wabichi wa kuchemsha
4.CHAI YA ASUBUHI KWA MGONJWA IWE...
Chai yako iwe na viungo Mbalimbali Kama vile
1.Mdalasini,
2.Iliki
3.Mchaichai
4.Karafuu
NB:Kumbuka viungo hivi vinaweza Kuwa vya unga au majani na unaweza kutumia vyote au ata kimoja Kama mazingiza hayaruhusu
ANGALIZO:
Kumbuka hutakiwi kutumia vitu vyenye caffeine nyingi Usitumie majani ya dukani mfano CHAI BORA
5.APPLE VINEGAR
Nadhani unajua Siki ya tufaa (Apple vinegar) ambapo sasa unawesa kuinunua na kuweka kijiko kimoja cha chai cha apple vinega kwenye kikombe glass yako ya maji ukaweka na baking soda robo kijiko ukakoroga na ukanywa asubuhi na jioni. Hii itasaidia kupunguza ule ukali wa asidi. Lakini hii sio nzuri kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo.. kwahiyo kama una vidonda vya tumbo usitumie njia hii
NB: Njia zote hapo juu kazi yake kubwa ni kupunguza tu asidi japo wingi wa asidi sio adui kwa afya yetu bali nj rafiki. Shida ni asidi hii inapopenya kwenye ule mlango
🔔Kwahiyo kikubwa ni kuhakikisha ule mlango uwe unafunguka na kufunga wenyewe... na kwakua ni ngumu kuurekebisha ndio maana tumekuletea PROGRAM maalum ambayo itakusaidia kuurekebisha ule mlango na kuwa kama zamani
🔔Program hii itahusisha tiba , vyakula ,mikl na mazoezi ili uwe kama zamani... wengi hupewa dawa ila hawapewi mazoezi ya kufanya na kukumbushwa miko ya ugonjwa huu
🔔Siri nyingine iliyojificha ndani ya huu ugonjwa ambayo ni kwamba wengi wanaougua huu ugonjwa wa GERD wanakuwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo bila wao kujua sababu ya ile asidi inaathiri sehemu nyingi. Kumbuka asidi ni tindikali
🔔Karibu tukuondolee tatizo lako kwa program hii ambayo imekua ni msaada kwa watu wengi ambao mwanzo walikua wanaumwa kama wewe lakini sasa hivi wanafurahia maisha, hakuna cha maumivu wala kuteseka tena. Karibu
Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa :
Simu/whatsapp : +255716778844
.
.
.
.
.
.
0 Comments