MADHARA YA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO NA JINSI YA KUTATUA KWA KUTUMIA NJIA ZA ASILI
.
.
Masuala ya uzazi na malezi kwa wanawake ni jambo lililo wazi kabisa lakini kutokana na maadili baadhi wamekuwa na woga wa kujadili wazi wazi. Hata hivyo baadhi ya wanawake hawa hupenda kuzungumzia haya madhara hasa wanapo kutana ili kubadilisha mawazo na hata kujifunza zaidi
.
.
Tuangalie MADHARA YA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO kutokana na njia husika
.
.
SINDANO
✅MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA
👉🏻Usumbufu wa hedhi
👉🏻Kuumwa kichwa mara mara
👉🏻Kizungu zungu
👉🏻Kichefu chefu
👉🏻Kuongezeka uzito usiokuwa na faida
👉🏻Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
👉🏻Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi (fibroids)
.
.
VIDONGE
✅MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA
💧Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha ma uvimbe
💧Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
💧Kuumwa kichwa mara mara
💧Kupata kichefu chefu
💧Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake
💧Kubadilisha mwenendo wa damu
💧Kuliathiri ini kidogo kidogo
💧Kupata kisukari
💧Kupata ugonjwa wa moyo
💧Kupooza upande mmoja wa mwili
💧Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
.
.
KITANZI
✅MADHARA YA KITANZI
🎯Utokaji ovyo wa damu
🎯Kutoboka fuko la uzazi
🎯Kuongezeka kwa upana wa uke na kufungwa kwa uzazi.
🎯Kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji
🎯Kuondoa hamu tendo la ndoa
.
.
KIJITI
✅MADHARA YA KIJITI
♨Husababisha saratani za aina mbali mbali
♨Kuchanganyikiwa kiakili
♨Shinikizo la damu
♨Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
♨Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda
♨Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa
.
.
BAADA YA KUONA MADHARA YA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO BASI HEBU SASA TWENDE UKAONE NJIA NZURI ZA ASILI ZA UZAZI WA MPANGO PASIPO KUPATA MADHARA YOYOTE
ZIJUE SASA NJIA RAHISI ZA UZAZI WA MPANGO WA ASILI ZISIZO NA MADHARA
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
1. KUANGALIA KALENDA
Mara nyingi mayai ya mama hupevuka kuanzia ck ya 11 had 18 Mara tu amalizapo period. Ila inategemea na mzunguko wa mtu. Kuna wenye mzunguko mfupi wa siku 21 mpaka ule mrefu wa siku 35 kwahiyo siku zinatofautiana usikariri kwamba siku ya hatari ni kuanzia siku ya 11-18.Hvyo ni vyema kama mnahitaji kupanga uzazi mkatumia kalenda kujikinga hii huwa haina madhara yoyote. Na nyepes kulko zote Ila umakn uhtajika kwasabb mbegu za kiume hukaa mpaka ck 5 kabla ya kufa
.
.
2. KOTIMIRI (Parsley)
Kotimiri inapatikana kirahisi Dar Es Salaam na Zanzibar na ni kiungo mhimu kwenye mahoteli mengi ya kitalii. Kunywa kikombe kimoja (robo lita/ml 250) asubuhi na jioni cha chai iliyoandaliwa ukitumia kotimiri mbichi kila siku ili kuzuia ujauzito usiotarajiwa. Hakuna madhara yoyote mabaya ya matumizi ya dawa hii
.
.
3. KUTOA MBEGU NJE
Hii ni wanaume wachache ambao wanafaulu ambapo inatakiwa mwanaume asiruhusu mbegu zake ziingie ukeni. Inahitaji umakini sana maana huu ndio muda mwanaume anakuwa anakaribia kufika kileleni, sasa anatakiwa ajihadhari mapema sana kabla hajakaribia. Japo njia hii ni ngumu kwa mwanaume ambaye hajawahi kujaribu
.
.
4. MAJI YA BARIDI
Kunywa lita nzima ya maji ya baridi sana baada tu ya tendo la ndoa husababisha mwanamke asipate ujauzito. Yaani ni kitendo cha haraka sana unapomaliza tu tendo hapo hapo unywe maji ya baridi sana au soda ya coca cola ya baridi sana
.
.
5. TAFUTA UNGA WA PILIPILI MANGA NA ASALI MBICHI
Chukua kijiko kimoja kile kikubwa weka kwenye maji yako yenye ujazo wa lita moja halafu CHEMSHA MAJI hadi yafikie atlist degree 90... kama ya kusonga ugali afu yaache yapoe (yapoe kabisa )
●Chukua nusu lita ya hayo maji
●Chukua vijiko vitano vya ASALI tia kwenye maji yako
●Koroga iache ikae saa 1, then kunywa huku unakoroga kunywa kila kitu
N.B Hakikisha ASALI ni mbichi pia sio ile iliyochakachuliwa
MUHIMU : Kunywa kabla ya masaa matatu kwenye tukio
.
.
6. KUTUMIA DAMU YAKO YA HEDHI
👉Siku ya kwanza unapopata hedhi, ile pedi uliyovaa ikishajaa na ukataka kubadilisha nyingine, basi ile uliyoitoa ichukue, ivingirishe na uifunge vizuri halafu tafuta kopo ambalo halionyeshi ndani halafu chjkua ile pedi uiingize kwenye hilo kopo, funga halafu kaliweke au kalifiche sehemu ambalo hakuna mtu atakayeliona au kulifikia
.
👉Mtu akiona na akifungua ina maana utapata mimba kama kawaida. Kwahiyo ulifiche sehemu ambayo unaiamini. Hutapata mimba mpaka siku unayotaka ubebe ujauzito
.
👉Hapa tunaongelea kitambaa(pedi) ile ya kwanza tu. Zinazofuata utaenda kutupa kama kawaida kama huwa unatupa jalalani au unachoma moto sawa tu ila kinachohitajika ni kile kimoja tu
.
NB: Angalizo ni kwamba uwe makini sana na njia hii. Endapo mtu ataliona kopo na kulitupa au ukalipoteza basi hautapata mimba milele labda huko mtu alifungue.Angalizo lingine kwenye njia hii jitahidi utumie na nyingine yaani ziwe njia 2 kati ya hizo nilizofundisha kwa miezi 3 ya mwanzo halafu ndio unaweza kuendelea na hii peke yake...
.
7. MBEGU ZA PAPAI LILILOIVA
📌Chukua mbegu za papai lililoiva halafu zianike kwenye mkeka au zulia lakini sio kwenye bati halafu zianike kwenye eneo ambalo hakuna jua kali au anika ndani.
.
📌Ziache mpk zikauke kabisa halafu utachukua mbegu zako na kuzitwanga mpaka upate unga wa hizo mbegu za papai
.
📌Ukishapata unga huo, hifadhi kwenye kopo lako au kwenye kihifadhio chochote halafu utakuwa unatumia vijiko 2 vya unga huo kwenye glass ya maji vuguvugu na kunywa masaa 2 kabla ya tendo la ndoa
.
8. JUISI YA MAJIVU
👉Wengi mtashangaa kusikia juisi ya majivu lakini majivu hutumika kupanga uzazi. Hapa nitawaeleza kupanga uzazi chukua majivu yako na chekecha na chekecheo ili kupata ule unga laini halafu hifadhi kwenye chombo chochote kile
.
👉Halafu masaa mawili kabla ya tendo utakuwa unachukua kijiko kimoja cha chakula (kama una kilo 70 kushuka chini) au vijiko viwili vya chakula kwa wale wenye uzito kuanzia kilo 70 kwenda juu) utaweka kwenye glass yako ya maji na kukoroga halafu unywe hayo maji
.
.
NB: MAJI HAYA UTAKUNYWA MASAA MAWILI KABLA YA TENDO LA NDOA
.
.
NJIA NYINGINE AMBAYO NI BORA ZAIDI NA NI YA ASILI...(UAS)
Inawezekana njia hizo zinakutia mashaka au kwenye kutengeneza kwako ikawa shida basi usijali maana tumekuandalia Uzazi Asili Solution (UAS)
Uzazi Asili Solution ni bidhaa inayofanya kazi ya kuzuia ujauzito kiasilia
📣Toa wasiwasi maana dawa hii huliagusha yai hata kiwa limefikiwa na mbegu za uzazi za mwanaume
📣Inatumika kwa wanawake wote yaani wale ambao wanajua siku zao za hatari na wale wasiojua.. kiufupi hii dawa unaitumia ukimaliza tendo la ndoa.. kuna kipimo utaelekezwa na kuchanganya kwenye maji na kunywa basi kazi imeisha
📣Huna haja tena ya kuwa na wasiwasi au kusubiria madhara ya njia za njia mbalimbali mnazotumia ili kuzuia ujauzito
📣Na ukitaka kupata ujauzito unachofanya ni kuacha tu kutumia hii dawa na unadaka ujauzito na pia kuna njia tutakuelekeza ili upate kwa haraka...Wale ambao wameacha kutumia uzazi wa mpango wa kisasa na wanataka kudaka ujauzito kuna njia tutakushauri kwa ajili ya kusafisha mwili wako ili iwe rahisi kudaka ujauzito
.
Kwa ushauri zaidi kwa mambo ya afya , tiba au jinsi ya kupata dawa hii ya asili ya UZAZI ASILI SOLUTION usisite kuwasiliana nasi kwa:
Simu/whatsapp: +255716778844
.
.
0 Comments