Njia Nilizowasaidia Watu Kupambana Na Ugonjwa Wa Baridi Yabisi…!!
Ugonjwa wa Baridi Yabisi (Arthritis)
Baridi yabisi ni moja ya magonjwa kwenye kundi la (autoimmune diseases) magonjwa yanayotokana na kinga ya mwili kushambulia tishu za mwili na kupekelea tishu hizi kututumka na kuvimba
.
Tatizo hili huathiri maeneo ya maungo na kuletekeza maumivu makali yasiyokwisha, kuvimba kwa joint na kusababisha ugumu kukunja viungo
Tatizo linaweza kuwa kubwa pale mpambano kwenye joint (inflammation) unapokuwa mkubwa na baadae maumivu hupungua.
Inawezakana hujui kama una baridi yabisi, endapo utakuwa na dalili hapo chini basi wewe una baridi yabisi
👉Maumivu ya joint-Kuvimba kwa tishu zinazozunguka maungio ya mifupa husababisha maumivu makali kwa mgonjwa
👉Jointi zinazoathirika zaidi ni kwenye mikono, enka, vidole vya miguuni na kwenye magoti
👉Ngozi ya joints kuwa nyekundu, laini na inayochoma kama vile imeungua moto
👉Maumivu na kushindwa kusonga mbele baada ya kuamka asubuhi, hali hii huchukua dakika 30 na baaade mgonjwa anaweza kuendelea kutembea
👉Mwili kufa ganzi na maumivu ya misuli
👉Kupata ugumu kwenye kutembea, kushika kitu, kufanya mazoezi na kupanda ngazi
👉Kwa baadhi ya wagonjwa hupoteza hamu ya kula na kupata homa za muda mfupi
Madhara gani unayoweza kuyapata endapo utakaa na tatizo hili la baridi yabisi kwa muda mrefu???
Kwa baadhi ya wagonjwa wenye baridi yabisi hupata madhara ya kiafya mwilini kama vile:
.
.
1.Kuongezeka kwa hatari ya kupata magonjwa ya moyo na kiharusi
2.Maumivu ya kifua, pumzi kukata na kushindwa kupumua kutokana na athari kwenye mapafu
3.Maumivu ya kichwa yasiyoisha
4.Matatizo ya figo na kujikusanya kwa maji mwilini
5.Maumivu na kudhoofika kwa mifupa
6.Kuishiwa damu na kupata ganzi
7.Kuota vinyama vidogo vidogo kuzunguka eneo la maungio ambavyo huongeza ukali wa maumivu
Swali la msingi ni kwanini kinga ya mwili ishambulie tishu kimakosa?
Mpambano kwenye tishu inaweza kusababishwa na vihatarishi vifuatavyo:
1.Kuzorota kwa afya ya mfumo wa chakula
Lishe mbaya na vyakula vinavyoleta alegi (vyakula vinavyoletekeza mpambano kama vyakula vilivyosindikwa, sukari na vyakula vilivyokaushwa kwa mafuta)
2. Uzito mkubwa na kitambi hasa kwa watu chini ya umri wa miaka 55
3.Mazingira yenye sumu ambayo yanaathiri mwili na kuvuruga mpangilio wa homoni
4.Kushuka kwa utendaji wa kinga ya mwili kutokana na athari za kiafya na Uvutaji wa sigara
.
Zifuatazo ni hatua salama unazoweza kuchukua ukiwa nyumbani kwako ili upunguze makali ya ugonjwa na kutibu.
.
.
1. Hatua ya kwanza:
Tumia Lishe inayosaidia kupunguza kuvimba na kututumka kwa tishu (Anti-inflammatory Diet)
Wataalamu wa lishe wanashauri matumizi lishe sahihi katika kupunguza kuvimba kwa tishu kutokana na kushambuliwa na kinga ya mwili. Lishe hii inajumuisha vyakula vyenye mafuta mazuri kama mafuta ya kupikia ya nazi,mizeituni, mboga za majani nk
Ni muhimu pia kuepuka vyakula vinavyoongeza kuvimba kwa tishu za kwenye maungio kama vile vyakula vya ngano, sukari, vyakula vilivyokaushwa kwa mafuta, na vyakula vyote vilivyosindikwa
2. Hatua ya pili:
Kufanya mazoezi mara kwa mara:
Najua unapata maumivu makali kwenye maungio kutokana na ugonjwa wa baridi yabisi, lakini ni muhimu kushugulisha mwili wako ili kupunguza athari ya tatizo
Ndio maana unapolala ukaamuka asubuhi unapata ugumu kutembea na kuendelea, hakikisha unafanya mazoezi mepesi kila siku wakati huo unazingatia sheria zingine nitakazofafanua
3. Hatua ya tatu:
Punguza msongo wa mawazo na Hakikisha unapata usingizi wa kutosha
Kupata usingizi wa kutosha kila siku kuanzia masaa 8 na kupunguza msongo wa mawazo inasaidia joint kujitibu vizuri.
Msongo wa mawazo unafanya tatizo kuwa baya zaidi na kukuongezea dalili zingine mbaya kama maumivu ya misuli, kushuka kwa kinga, kushambuliwa na magonjwa, na uzito kuongezeka kupita kiasi
4. Hatua ya nne:
Tumia njia za asili ili kupunguza maumivu ya jointi, Njia hizi ni kama
Kufanya masaji kwenye eneo lililoathirika kwa kutumia mafuta ya eucalyptus.
Weka kipande cha barafu kwenye eneo ya maungio yya mifupa
5. Hatua ya tano:
Tumia virutubisho tulivyokuandalia na mimea tiba kwa tatizo la baridi yabisi kama vile Manjano(Tumeric) na tangawizi, Mafuta ya omega 3 nk
Tumekuandalia program za virutubisholishe ambavyo ni msaada mkubwa kwa tatizo hilo la baridi yabisi
Program hii itakusaidia kuondoa maumivu unayoyasikia na pia itakufanya uwe mtu wa furaha badala ya kuwaza maumivu kila muda
Unachotakiwa kufanya ili upate program hii ni rahisi sana
PIGA au TUMA Ujumbe mfupi sasa hivi kwenda namba +255716778844 ili kupata Program hii leo na kusema bye bye maumivu
JE UNGEPENDA KUANZA MATIBABU YA CHANGAMOTO HII ???
0 Comments