Njia 3 Za Kupunguza Tatizo La Kiungulia Kikali Na Kuzidi Kwa Asidi...
Watu wengi wamekua wanasumbuliwa na tatizo hili kwa muda mrefu bila kujua nini wafanye na nini madhara ya kutolitibia tatizo hili
Leo nitakupa njia 3 za kufanya ukiwa nyumbani kwako
Njia hizo ni :
1.Kunywa chai ya tangawizi changanya na asali ndio iwe chai yako au unaweza kunywa chai ya mdalasini + iliji na mchaichai au karafuu hizo zote ni chai nzuri kwa mtu mwenye tatizo la kuzidi kwa asidi
2.Tumia mboga kama mlenda,matembele,mchicha,kabeji, nyanya chungu bamia maana hizi zote zinasaidia kuweka hali ya Alkaline na kupunguza ile asidi
3.Hakikisha unapotaka kulala basi iwe masaa 2 na kuendelea baada ya mlo wako. Pia lalia ubavu wa kushoto na sio wa kulia
Hizo ni baadhi ya njia ambazo zitasaidia kupunguza asidi. Bahati mbaya ni kwamba kupunguza peke yake sio suluhisho la kudumu bali suluhisho la kudumu ni kuhakikisha mlango unaopitisha hiyo asidi kufungwa..
Kuna watu wana hili tatizo miaka mingi sana na wala hawana shida.. lakini kuna kitu ambacho bado watu hawajajua nacho ni kwamba hili tatizo hukua siku hadi siku yaani stage zinapanda kama ilivyo saratani
Stage 1
Esophagitis : Hii ni stage ya mwanzoni ambapo mtu anaanza kupata shida kwenye kumeza kitu na kusababisha maumivu wakati anameza
Stage 2
Esophageal Ulcer : Hii ni hali ya asidi kuathiri umio (Bomba la kupitisha chakula) na kusababisha bomba hilo kuwa na vidonda kwahiyo mtu anakua anasikia maumivu makali
Stage 3
Esophageal Stricture : Hapa asidi imekua imeathiri sana njia ya kupitisha chakula na kusababisha kuwa nyembamba na kukaza hivyo hupelekea maumivu wakati wa kumeza
Stage 4
Aspiration pneumonia : Hapa ile asidi inakua imesababisha maambukizi au tuseme uharibifu katika mapafu na ndio hapa mtu anapata shida hata kuhema na anahisi ana tatizo la moyo au pumu
Stage 5
Esophageal cancer : Hii ni hatua ya mwisho ambapo bomba la kupitisha chakula linakua limeshaharibika kabisa na kuwa na vimelea vya saratani ambapo panakuwa hakuna tena tiba zaidi ya kuanza tiba za mionzi. Wachache ambao hupata tatizo hili na wachache ambao wanapata afueni au kupona
Uonapo dalili zifuatazo basi tafuta tiba ya uhakika maana hiyo ni dalili ya ugonjwa wa asidi / GERD
1.Kiungulia kikali
2 Kucheua chakula au maji yenye uchungu
3.Maumivu ya kifua
4.Maumivu makali wakati wa kumeza kitu
5.Kuhisi kitu kimekwama kwenye koo
6.Kikohozi kisichoisha
7.Kushindwa kupumua vizuri
8.Mapigo ya moyo kwenda mbio
9.Kuota ndoto za kutisha
10.Kichefuchefu kisichoisha
11.Kuhisi kuchanganyikiwa
12.Kuwa na wasiwasi muda wote
13.Tumbo kuwaka moto
14.Kukosa usingizi na uchovu wa mwili
15.Sauti kushindwa kutoka vizuri au kukwaruza
Tumekua tunasaidia watu wengi wenye tatizo hili hasa wale ambao tatizo lao halijafikia kwenye stage za saratani na leo hii wamekua wanafurahia maisha maana mwanzoni walikua wanaamini kwamba WAMEROGWA
Kama umeteseka na tatizo hili basi karibu tukusaidie kwa kutumia PROGRAM yetu ya tiba asilia na virutubisho lishe ambavyo mbali na kupunguza asidi lakini pia itakusaidia kwenye kurekebisha misuli ya ule mlango ili asidi isipite kurudi juu
Gharama ya tatizo hili tumelitenga kwa Awamu. Kuna mtu anaweza kuchukua dozi nzima kwa pamoja na mwingine anataka kwa awamu 2. Wote wanaruhusiwa
NB:Yoyote atakayeanza Program yetu mbali na kuanza tiba ila tutamsimamia mpk apone kwa kumpa list ya vitu vya kutumia na vitu gani vya kuacha lakini pia tutampa mazoezi maalum ya kufanya pia..THAMANI YA DOZI NZIMA NI TSH 280,000
THAMANI YA NUSU DOZI NI TSH 160,000
THAMANI YA ROBO DOZI NI TSH 90,000
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
BONYEZA HAPA KAMA UPO TAYARI KUANZA TIBA
Kama unahitaji ushauri tu basi wasiliana nasi kwa
Simu/whatsapp: +255 716 778 844
0 Comments