Games

6/recent/ticker-posts

Njia Nyepesi Za Kupunguza Makali Ya Bawasiri Bila Upasuaji ....


Njia Nyepesi Za Kupunguza Tatizo La BAWASIRI Ukiwa Nyumbani Kwako Hizi Hapa !!!!
.
.
Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama Hemorrhoids au Piles
📌Bawasiri inaweza kupelekea upungufu wa damu mwilini

📌Bawasiri inaweza kutibika kwa upasuaji ama kwa matumizi ya dawa mbadala kwa kipindi cha wiki hata sita au hata zaidi kutegemeana ilikuwa imejijenga kiasi gani
.
.
Bawasiri Husababishwa Na Nini ???

Hakuna sababu ya moja kwa moja inayojulikana kisayansi kwamba ndiyo husababisha bawasiri, bali mambo yafuatayo yanaweza kupelekea wewe kupatwa na ugonjwa huu:

📣Kufunga choo au kupata choo kigumu kwa muda mrefu

📣Ujauzito – wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa

📣Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile

📣Uzee – kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu

📣Sababu za kurithi – baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana

📣Kuharisha sana kwa muda mrefu

📣Kutumia vyoo vya kukaa

📣Kunyanyua vyuma vizito

📣Mfadhaiko/stress

📣Uzito na unene kupita kiasi n.k
.
.
Dalili Za Bawasiri
1. Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
2. Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia
3. Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa
4. Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa
5. Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote
SASA leo nawaleteeni baadhi ya njia zitakazoweza kukusaidia wewe mwenye  bawasiri:

Zifuatazo ni njia ambazo unaweza kutumia endapo wewe ni muhanga wa BAWASIRI ili kukupunguzia madhara ya bawasiri au maumivu ya bawasiri :
.
.
1. Unga Wa Habbat-Sawdaa

Maandalizi na Matumizi :
✍Chukua kijiko kikubwa kimoja cha unga wa Habbat-Sawdaa ukoroge ndani ya glasi moja ya maji na unywe yote. Fanya hivi kutwa mara mbili kwa wiki mbili mpaka tatu hivi
.
.
    2. Habbat-Sawdaa na Asali

  Maandalizi na Matumizi :

Changanya gm 500 za unga wa Habbat-Sawdaa na nusu lita ya asali. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakula kila baada ya masaa manne. Ukimaliza kulamba kunywa glasi moja ya maji ya kunywa ya joto la kawaida
.
.
3. Jani La Aloe Vera 
Maandalizi na Matumizi :
✍Chukua kipande cha jani la mmea wa Aloe vera fresh (mshubiri) na kikate ukimenye kidogo ukitumia kidole kupata kama utomvu hivi au maji maji yake na upake sehemu ya utupu wako wa nyuma baada ya kuoga kutwa mara tatu. Jipake nyingi tu na uiache hivyo masaa kadhaa au mpaka utakapoenda kuoga tena

✍Tengeneza pia juisi freshi ya mmea huu na uchanganye nusu glasi dawa hii na nusu glasi nyingine ya juisi yoyote ya matunda uliyotengeneza nyumbani ili kupata glasi moja iliyojaa na unywe glasi 1 kutwa mara mbili kwa wiki 3 hadi 4. Juisi freshi ya aloe vera ni nzuri kwa kuongeza kinga ya mwili na kutoa taka zote za ndani ya mwili
.
.
4. Juisi Ya Limau (Lemonade)
✍Chukua juisi ya limau na upake sehemu iliyoathirika. Juisi ya limau sifa yake kuu hapa ni kuondoa sumu na kuongeza kinga ya mwili kwakuwa ina vitamin C kwa wingi. Pia unywe glasi moja ya juisi hii kutwa mara kwa wiki 3 hadi mwezi mmoja
👉Lemonade inaandaliwa kwa kutumia limau, maji, asali na mdalasini ya unga kidogo, nayo inaandaliwa hivi

Maandalizi Na Matumizi :
Asali mbichi nusu Lita
Limau kubwa 12 au zaidi, zikate katikati kila moja. Zikamuwe moja baada ya nyingine kupata maji maji ya limau mpaka umepata ujazo wa nusu lita
✍ Sufuria nyingine kubwa changanya mdalasini ya unga vijiko vikubwa 10 na maji lita 2 na nusu na uchemshe kama chai kisha ipua na uchuje na usubiri ipowe iwe ya uvuguvugu kidogo
✍ Changanya pamoja asali nusu lita, juisi au maji maji ya limau nusu lita, maji ya uvuguvugu ya mdalasini lita 2 na nusu ongeza na ya maji ya kawaida lita 1 kupata lita 5, chuja vizuri. Ihifadhi katika friji isiharibike
Kunywa robo lita (ml 250) kutwa mara 2 kwa siku 30 hivi kwa mtu mzima na glasi ndogo moja kwa siku kwa mtoto wa miaka miwili mpaka kumi

NB:Unaweza pia kuongeza majani kidogo ya mnanaa (mint) na mbegu za shamari (fennel seeds) ili kuongezea radha na harufu nzuri
👉 Kunywa juisi hii kila unapokuwa umepata chakula cha mchana cha nguvu au cha jioni
👉 Unaweza pia kupakaa sehemu yenye bawasiri juisi hii ukitumia pamba kutwa mara 2. Unaweza kusikia maumivu zaidi lakini pole pole yataacha
.
.
5. Siki Ya Tufaa

Matumizi :
👉 Chukua kipande cha pamba na ukichovye ndani ya siki ya tufaa (apple cider vinegar) na ujipake kidogo kidogo eneo lenye uvimbe taratibu. Unaweza kusikia maumivu zaidi lakini jipe moyo taratibu yatapotea. Hakikisha unapata siki ya tufaa ile ya asili kabisa siyo ile iliyopita viwandani

👉Pia kama una bawasiri ya ndani yaani ile isiyojitokeza nje na ukaiona kwa macho moja kwa moja unashauriwa kuchanganya kijiko kidogo kimoja cha siki ya tufaa ndani ya glasi ya maji na unywe yote kutwa mara 2. Hii husaidia pia kupunguza maumivu
.
.
6. Mafuta Ya Nyonyo
Matumizi :
✍Pakaa mafuta ya nyonyo mara mbili mpaka tatu kwa siku sehemu ya utupu wako wa nyuma kwa wiki tatu hadi nne hivi
.
.
7. Mafuta Ya Lozi (Almond oil)
✍Yana uwezo wa kunyonya na kulainisha bawasiri hasa ya nje. Hivyo yanalainisha hicho kiuvimbe kinachojitokeza sehemu ya haja kubwa pia kuondoa maumivu kama utakuwa ukiyapaka kila siku

Matumizi :
👉Tumia pamba ukichovya ndani ya mafuta haya na upake sehemu yenye tatizo mara kadhaa kwa siku kwa wiki 3 hata mwezi mmoja
.
.
8. Mafuta Ya Zeituni
Mafuta ya zeituni (Olive oil) ni moja ya dawa maarufu katika kusaidia wenye bawasiri. Mafuta haya yana viuavijasumu na huondoa pia maambukizi (infections). Yanaweza pia kusaidia kuongeza utanukani wa mishipa ya damu. Yanao uwezo pia wa kukausha kinyama cha bawasiri ya nje yakitumika kwa kupaka kwa kipindi kirefu

Matumizi  : 
👉Kunywa kijiko kidogo kimoja cha mafuta ya zeituni kila siku. Pia tumia pamba pakaa sehemu yenye tatizo nje na ndani kutwa mara 2 kila siku mpaka tatizo liishe
.
.
9. Kipande Cha Barafu
Barafu inasaidia kubana mishipa na hivyo kuzuia uvimbe pia kuondoa maumivu kwa haraka

Matumizi :
Chukua kipande cha barafu na ukifunge ndani ya kitambaa kisafi na uweke moja kwa moja sehemu yenye tatizo kwa dakika 10 hivi. Fanya zoezi hili mara kadhaa katika siku. Zoezi hili linaondoa maumivu ya bawasiri 
.
.
10. Mafuta Ya Nazi
✍Mafuta ya nazi ni moja ya dawa nzuri sana kwa kusaidia watu wenye bawasiri. Mafuta ya nazi ni dawa nzuri dhidi ya bakteria, virusi na vijidudu nyemelezi sifa ambazo zinayafanya kuwa bora kwa wenye bawasiri.

✍Muhimu yawe ni mafuta ya asili kwa asilimia 100 bila kuongezwa kingine chochote ndani yake na hayajapita kiwandani.

 Matumizi :
Safisha vizuri sehemu yenye tatizo na ukaushe na kitambaa, chukua pamba chovya mafuta ya nazi na upake sehemu yenye tatizo nje na ndani kutwa mara 3 kwa majuma kadhaa
.
.
11. Maziwa Ya Mbuzi
Kama unasumbuliwa na bawasiri ya ndani na inakusababishia kuwa unapata choo chenye damu unatakiwa ujaribu maziwa ya mbuzi. Hii ni moja ya dawa rahisi zaidi za wenye bawasiri ya ndani

Matumizi :
✍Chukua nusu kijiko kidogo kimoja cha unga wa mharadali (mustard) uchanganye na vijiko vikubwa 10 vya maziwa ya mbuzi na unywe kabla ya chakula cha asubuhi kila siku
.
.
12. Binzari
Binzari au manjano inao uwezo wa kuzuia na kutibu magonjwa. Hivyo inaweza kutumika pia kusaidia kutibu sehemu iliyoathirika na bawasiri

Matumizi :
✍Chukua binzari ya unga kijiko kidogo kimoja changanya na mafuta ya mharadali na maji maji ya kitunguu maji na upate uji mzito (paste). Pakaa moja kwa moja huu mchanganyiko sehemu yako ya utupu wa nyuma na uache huko kwa dakika kadhaa.

👉Hii inasaidia kutibu majeraha na kupunguza uvimbe mara moja. Tumia kwa miezi kadhaa
.
.
13. Unga Wa Mbegu Za Maembe
Kutumia mbegu kubwa za maembe ni namna nyingine rahisi ya kusaidia wenye bawasiri hasa ya ndani inayotoa damu

Matumizi :
👉Chukua mbegu za maembe (kokwa) toka katika maembe yaliyoiva, zianike juani kwa siku kadhaa na zikikauka kabisa zitwange au peleka mashineni upate unga wake na uuhifadhi unga ndani ya chupa isiyopitisha hewa.
👉Kisha changanya gramu 2 za unga huu na kiasi kidogo cha asali na ulambe yote. Fanya hivi kutwa mara 2 kwa majuma kadhaa
✍Kwa faida ya ziada ni kuwa Unga huu wa mbegu za maembe hutumika pia kukaza uke uliolegea au ulioongezeka sana ukubwa
.
. 
14. Baking Soda

Tafiti nyingi zinasema baking soda ina faida kubwa pia katika kusaidia wenye bawasiri

Matumizi :
👉Unatakiwa kuchanganya unga huu na maji kidogo kisha upake moja kwa moja sehemu yenye tatizo
✍Hii inasaidia kupunguza maumivu na kuondoa dalili za bawasiri
📣Baking soda ni ile wamama wanaitumia kupika maandazi hata mikate wakati mwingine inapatikana kwenye maduka ya kawaida hata Mangi hapo nje anayo
.
.
15.Kitunguu Maji Na Asali
Njia nyingine ni hii hapa.. Kitunguu maji na asali. Vitunguu maji inasifika kuwa ni anti inflammatory properties yaani ina viambata vinavyosaidia kupunguza vimbe. Kwahiyo utumiaji wa asali na kitunguu maji kinasaidia kupunguza uvimbe na maumivu kwa mtu mwenye bawasiri

Matumizi :
Chukua kitunguu maji na ukikatekate vipande (slice) kama tano halafu changanya  na asali kiasi halafu tafuna vipande hivyo. Fanya hivyo kutwa mara 3 mpaka utakapoona umepata afadhali
.
.
16.KUKAA KWA MAJI YA UVUGUVUGU
Kwa wale ambao wana bawasiri yenye maumivu makubwa sana kutokana na uvimbe au kinyama basi tumia njia hii ya kukalia maji ya uvuguvugu yenye joto kali yaani kwa kifupi tuseme maji yenye moto lakini yasiwe yamoto yenye kuunguza ili kupunguza maumivu na uvimbe kidogo

Matumizi :
Kalia maji haya yenye umoto kwa muda wa dakika 10-15 mara mbili au tatu kwa siku
.
.
NB: MUHIMU KUFAHAMU YA KWAMBA...

Njia hizi nilizozitaja unaweza kutumia hata 2 au 3 kwa wakati mmoja na pia kumbuka njia hizi unatakiwa utumie kwa muda mrefu ndio uanze kuona matokeo kwahiyo usikate tamaa
HABARI NJEMA KWAKO NI HII HAPA..
.
.
Kama umeshajaribu njia zote hizo hapo juu lakini bado tatizo linakusumbua basi nina habari njema kwako..
.
.
PILE PACKAGE ni kifurushi pekee cha Tiba ambacho kimekua msaada kwa watu wenye matatizo ya bawasiri na pia imekua msaada kuondoa madhara ambayo watu wengi wenye bawasiri wamekua wanakutana nayo
.
.
Pia Tiba hii ni maalum kwa watu waliopo kwenye maumivu makali ya Bawasiri na wale wanaotamani kuona matokeo mazuri ya iba ndani ya muda mfupi kama wiki 2 na kuendelea....................

Karibu uwe mmoja wa watu watakaofaidika na Tiba hii
.
.
Je Unajua Kwanini Watu Wengi Hawaponi Bawasiri?... Sababu Ni Hizi Hapa Chini..
👇👇👇👇👇👇
👉Dawa peke yake haziwezi kukuletea maajabu yoyote, unaweza kupona lakini kama hutabadili vifuatavyo ugonjwa utaendelea kujirudia kwako na pengine hata kupona itakuwa shida
👉Bawasiri huwa haiponi haraka, walau dozi yake isiwe chini ya mwezi mmoja na ukizingatia yafuatayo kwa kipindi kirefu basi kupona ni lazima...
👉Hizo njia nilizotaja zimewasaidia watu, na wale ninaowatibia huwa nawaelimisha hizo njia watumie wakiweza pamoja na dozi ninazowapa na wanapona kwa muda mchache sana..
.
.
                👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
.
.
Endapo unahitaji TIBA ya uhakika ambayo imeshatoa matokeo kwa watumiaji wengi basi usisite kuwasiliana nasi ili tuweze kukusaidia kupona kwa package maalum kwa tatizo la Bawasiri
.
.
          👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Post a Comment

1 Comments

  1. Usione aibu kumwambia dokta kama una bawasiri

    ReplyDelete