Ijue Dawa Ya Kutibu Meno Kwa Haraka Na Uhakika
Umekua ukihangaika kila siku kung’oa meno na bado tatizo lipo pale pale? Basi nimekuandalia hii dawa uitengeneze na kuitumia
MAHITAJI
1.Mafuta ya karafuu/clove oil
2. Mafuta ya Nazi/coconut oil
3. Kitunguu maji
4. Kitunguu swaum
5. Pilipili manga
6.Chumvi ya mawe/unga wake
MAANDALIZI
Ponda ponda Kitunguu maji,Kitunguu swaumu,chumvi ya mawe na pilipili manga kisha changanya na mafuta na Nazi na mafuta ya karafuu kwa kiasi kidogo (robo kijiko kidogo cha chai) kisha chukua mchanganyiko huu kisha uweke juani kwa muda wa dakika 15 kisha toa juani
MATUMIZI
1.Likiwa jino lina tundu
chukua uji uji wa mchanganyiko huu kisha weka katika tundu na mafuta yake yapakaae pembezoni mwa jino linalouma.
2.Likiwa jino halina tundu
pakaa mafuta ya mchanganyiko huu pembezoni kulizunguka jino linalouma
Tumia dawa hii kutwa mara tatu kwa muda wa siku tatu jino lako litakuwa limepona kabsaa
MUHIMU:
Dawa hii inamatokeo ya haraka sana ambapo unaweza kutumia papo hapo jino likapoa,hivyo hakikisha unamaliza dozi kwa muda ulioelekezwa
Jiepushe na kunywa vinywaji vya moto sana au vya baridi sana mpaka umalize dozi kwa muda uliopangwa
Tumekuandalia pia dawa ya kinywa /meno nzuri sana ambayo imetengenezwa na miti mbalimbali ambayo imekua msaada mkubwa sana kwa watu wote wenye shida za meno na wale wenye shida za fangas za ulimi na fangas.
Pia kwa wale wanaopenda kulinda afya zao za kinywa basi dawa hii ya kinywa ndio tunayoipendekeza kwako kwa matumizi ya kila siku.
Dawa hii inaitwa Daktari wa meno kutokana na umahiri wake wa kutibu magonjwa mbalimbali ya meno, fangas za ulimi na magonjwa ya kinywa kwa ujumla
Kwa ushauri/tiba au uhitaji wa dawa hii basi tuwasiliane kwa:
Simu/whatsapp: +255716778844
0 Comments