Games

6/recent/ticker-posts

NJIA HII IMESAIDIA WANAUME WENGI KUPONA MAGONJWA YA TEZI DUME...

Tahadhari: Usiruhusu Ugonjwa Wa Tezi Dume Uwe Kikwazo Katika Ndoa Yako... Soma Mpaka Mwisho...!

Je wewe ni mwanaume ambaye umekua na changamoto kama vile:

➡Upungufu wa hamu na nguvu za kiume

➡Mtone ya mkojo kwenye nguo ya ndani

➡Kushindwa kuzuia mkojo pals unapokubana au kushindwa kuanza kukojoa

➡Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku

➡Maumivu au kusikia moto wakati wa kukojoa

➡Maumivu wakati au baada ya kufika kileleni

➡Kuona damu wakati wa kukojoa au katika shahawa zako

➡Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo,kiuno,mapaja,nyonga na mbavu

➡Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu yaani haufiki mbali matokeo yake unadondokea miguuni tu

➡Kuhisi kibofu kimejaa mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena

Kama umekua na changamoto japo 3 kati ya hizo nilizozitaja basi ukae ukijua kwamba kuna uwezekano mkubwa tayari una ugonjwa mmoja wapo kati ya  magonjwa ya tezi dume

Ninasema magonjwa ya tezi dume nikiwa na maana inaweza kuwa ni kutanuka kwa tezi dume (prostate enlargement) , maambukizi ya bakteria katika tezi dume (prostatitis) au saratani ya tezi dume (prostate cancer)



Najua unajiuliza Tezi Dume ni nini??

Tezi dume ni  moja ya kiungo cha uzazi cha mwanaume ambapo kila mwanaume anazaliwa nacho.

Tezi dume ina kazi nyingi sana kwa mwanaume ikiwemo kutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume  (shahawa) ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizotengenezwa kutoka kwenye kiwanda cha kutengeneza mbegu (korodani) na pia husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahilii

Tatizo linakuja pale tezi dume hii inapopatwa na maambukizi ya bakteria mbalimbali kama wa U.T.I na aina zingine za bakteria au za wa magonjwa ya zinaa hivyo kupelekea tezi dume hii kuanza kuvimba

Endapo una magonjwa ya tezi dume basi upp hatarini kupatwa na yafuatayo:

➡Utasa

➡Kushindwa kumridhisha mpenzi wako kwenye tendo la ndoa hivyo kupelekea kusalitiwa na mwenzi wako

➡Kuwahi kufika kileleni  na kushindwa kurudia tendo kitu kinachowaudhi sana wanawake

➡U.T.I sugu

➡Magonjwa ya figo

Jinsi ya kulinda Tezi dume yako ni kwa kuepuka yafuatayo:

➡Kubana mkojo kwa muda mrefu

➡Utumiaji wa pombe na sigara

➡Vyakula vyenye viungo vingi

➡Kufanya mapenzi kupitiliza

➡Kuvaa nguo za ndani za kubana 

Unaweza kutumia vyakula au matunda ya asili kwa ajili ya kuepuka magonjwa ya tezi dume kama vile Nyanya zilizopikwa,ovacado,mbegu za ufuta,papai,tikiti maji na mbegu zake,mboga za kijani bila kusahau virutubisholishe vyenye madini ya zinc


BY THE WAY unajua kwamba kwa kutumia program yetu mpya iitwayo PROSTATE  CARE PACKAGE utaweza kupona magonjwa ya tezi dume bila upasuaji wowote na kuleta heshima mara dufu ya tendo la ndoa??? NDIO ni kweli kabisa..

Program hii itakusaidia kwenye vitu vifuatavyo:

KWANZA:

➡Italinda tezi dume na kuondoa kabisa tatizo la kutanuka kwa tezi dume

PILI :

➡Itadumisha afya ya kibofu cha mkojo na kukuepusha na magonjwa katika kibofu kama U.T.I za mara kwa mara

TATU :

➡Itaboresha uwezo wa ufanyaji wa tendo la ndoa

Endapo wewe ni Mwanaume unayejali afya ya uzazi wako basi program hii ni maalum kwako hata kama hujaanza kuona dalili zozote za magonjwa ya tezi dume ila utaweza kutumia kwa ajili ya kujikinga na kulinda kiungo hiki ambacho ni muhimu sana kwa mwanaume yoyote ile

Ili kupata huduma hii piga simu au tuma ujumbe mfupi wa whatsapp au kawaida kwenda namba +255716778844

KUMBUKA mwanaume ni tezi dume na tezi dume ni mwanaume. URIJALI  wa mwanaume unaanzia kwenye tezi dume yake




WHATSAPP


BONYEZA NENO VIDEO ILI UONE VIDEO YA TEZI DUME NDIO UTAELEWA ZAIDI

VIDEO





Post a Comment

0 Comments