Jambo hili sio Sahihi japo kuna wakati ni lazima kutumia ukari katika kuhakikisha kila kitu kinakua sawa katika familia zetu. Ila ukweli ni Kwamba urafiki ni njia bora na salama katika malezi ya watoto Wetu.
Ukitengeneza urafiki kati ya wewe na mwanao basi umetengeneza njia bora ya kupata taarifa na maoni mbali mbali toka kwa Mtoto
Tizama video hii kujifunza Zaidi
Wasiliana Na Mshauri Wetu Moja Kwa Moja katika Whatsapp
0 Comments