Games

6/recent/ticker-posts

Ugonjwa Wa Chango La Uzazi Kwa Wanawake

Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume
Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni

Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi
.
.
DALILI ZA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE
Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-⤵⤵

1.Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake(Hedhi).
2.Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
3.Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika,kuna wakati huchelewa na kuna wakati huwahi.
4.Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi.
5.Kupatwa hasira kali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
6.Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
7.Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
8️. Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
9️. Kupata uvimbe kwenye kizazi
10.Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
11.Maumivu makali chini ya kitovu/kwenye kinena.
12.Mimba kuporomoka au kutoshika mimba kabisa.
.
.
MADHARA YA CHANGO KWA WANAWAKE
➡️Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
➡️Mwanamke anaweza kuwa tasa kabisa
➡️Kuingia na kutoka kwa mimba
➡️Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
➡️Kuwa na uke mdogo sana
➡️Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
➡️Kupata uvimbe kwenye kizazi
➡️Kuvurugika kwa mfumo mzunguzo wa hedhi
.
.
TIBA YA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE
Ni vyema sana kumweleza Dr. Dalili zote ambazo mwanamke hujihisi kisha daktari mzoefu atajua tatizo lako.

Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa kwa virutubisholishe na miti shamba.

Tiba utakayopewa ya ugonjwa huu ni tiba ambayo pia itakusaidia kwenye masuala ya kizazi  kwa ujumla

➡️Kifurushi (package) tuliyokuandalia hufanyakazi zifuatazo⤵⤵⤵⤵⤵

⚫ Hutibu chango sugu linaloweza kusababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito.
⚫ Hurekebisha mzunguko/siku za mwanamke na kuzifanya ziwe katika mpangilio wa sawa.
⚫ Huweka sawa mfumo wa hormone.
⚫ Huondosha maumivu makali wakati wa hedhi
⚫ Huondosha sababu zinazopelekea mimba kutoka/kuporomoka 
⚫ Huzibua mirija ya uzazi(follopian tubes)
⚫ Hurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke.
⚫ Hupevusha mayai ambayo hushindwa kupevuka.


Huna tena sababu ya kuteseka wala kuhangaika tena huku na kule kutokana na Matatizo ya uzazi na chango maana tunalo SULUHISHO la kudumu kwa ajili yako wewe mwenye matatizo haya


Unchotakiwa kufanya wasiliana na mtoad huduma wetu ili uweze kuhudumiwa sasa hivi


JE UNGEPENDA KUANZA MATIBABU YA CHANGAMOTO HII


Bonyeza neno WHATSAPP hapo chini ili kuwasilia nasi ili upate tiba

                                          
                                                                          WHATSAPP












Post a Comment

0 Comments