Je Unajua Uso Wako Ndio Kila Kitu ???...
Uzuri wa ngozi sio rangi tu bali ni muonekano wa ngozi yenyewe kwamba ina afya na mng'ao unaoashiria afya njema.
Leo tushirikishane jinsi ya kufanya facial treatment kwa kutumia vitu vya jikoni, ambayo unaweza fanya mara moja kwa wiki au mara moja ndani ya wiki mbili inategemea na muda wako lakini matokeo mazuri lazima uyapate.
MAHITAJI:
✨Kiini cha yai
✨Machicha ya nazi
✨Tango au limao
JINSI YA KUANDAA
⚡️Hatua ya kwanza:
Safisha uso wako kwa maji safi ya vuguvugu itapendeza kama utawia na sabuni isiyokuwa na kemikali ili kutoa uchafu vumbi n.k Tumia SABUNI YA MAAJABU
⚡️Hatua ya Pili :
Kama una ngozi kavu au ya kati chukua kipande cha tango kidogo na upake maji yake usoni na kwa wenye ngozi ya mafuta unaweza kutumia kipande cha limao kwa kupaka maji yake
⚡️Hatua ya tatu:
Chukua pamba au kitambaa laini na futa maji ya tango au limao usoni taratibu
⚡️Hatua ya nne:
Chukua machicha ya nazi na anza kuusugua uso na shingoni taratibu mpaka uridhike uso wote umepitiwa na machicha yako hasa unapoona unang'aa kwa mafuta kidogo yaliyotoka kwenye nazi
⚡️Hatua ya tano:
Kisha pukuta yale machicha ubaki na uso unaong'aa bila vitu vyeupe yaani machicha
⚡️Hatua ya sita:
Chukua kiini cha yai la kienyeji, au la kisasa lenye kiini cha njano iliyokolea
NB: Ili kiini kisijichanganye na ute wakati wa kupasua ,ligonge yai upande mmoja sio katikati na limimine kwenye sahani ambayo unaona kiini katikati kisha unakichota na kuweka kando
⚡️Hatua ya saba:
Paka ule uji mzito wa njano wa kiini uso mzima bila kusahau shingoni na nyuma ya masikio na ngozi ya masikio
⚡️Hatua ya nane:
Baada ya kupaka kiini cha yai unaweza kuendelea na shughuli zako huku likiendelea kukauka,linapokauka ngozi yako inakuwa kama inajivuta vuta
⚡️Hatua ya tisa:
Baada ya kule kuvuta kuisha inamaanisha yai limekauka kabisa
⚡️Hatua ya kumi:
Osha uso wako kwa maji safi na maji yawe ya baridi sasa.
UMUHIMU WA KILA HATUA
✨ Kuosha uso kwa maji ya vuguvugu hufungua matundu ya ngozi
✨ Tango au limao hutumika kama cleanser unapokuja kujifuta taratibu unaondoa uchafu katika ngozi yako
✨ Machicha ya nazi yanatumika kama scrub, yanaondoa seli zilizokufa, kuifanya ngozi kuwa laini na kuipa mngao
✨ Kiini cha yai hapa kinatumika kama maski, matundu ya ngozi yanajifunga vizuri na kinaipa ngozi yako lishe kutokana na vitamins zilizomo kwenye kiini cha yai kama vitamin E
✨Mwishoni unanawa na maji baridi ili kuruhusu matundu ya ngozi kujifunga na kuifanya ngozi ijiweke sawasawa.
FAIDA ZAKE
✨ Husaidia kutibu na kuikinga ngozi na chunusi
✨ Kuipa ngozi mng'ao bila kutumia kemikali za sumu
✨ Husaidia kupunguza mikunjo ktk ngozi yako(wrinkles zinapungua)
✨ Gharama ndogo kuifanya
KUMBUKA;
Zoezi hili sio la kufanya kila siku.. fanya mara moja kwa wiki au mara moja kwa wiki mbili.. sasa hizo siku zingine zilizobakia ndio zinatakiwa kutunzwa kwa kuosha na maji uso wako asubuhi na jioni lakini pia tumia sabuni nzuri isiyokua na kemikali
NB: Kama unaipenda Ngozi yako basi tafuta sabuni inayoendana na aina yako ya ngozi ili uwe unaitumia katika uso wako na ngozi yako kwa ujumla ila kama ukishindwa kabisa basi tumia sabuni inayofaa kwa aina mbalimbali za ngozi ikiwemo ngozi yako.
Sabuni ninayopendekeza kila siku kwa watu mbalimbali maana nimeona inakubali ngozi zote ni SABUNI YA MAAJABU. Fanya iwe sabuni yako kila siku utakuja kunishukuru lakini kama kuna sabuni unaipenda na kuiamini basi endelea nayo lakini SABUNI HII YA MAAJABU kila niliyemshauri aitumie ameniletea mrejesho mzuri sana na wengi sasa wamehamia kwenye sabuni hii.
ONYO: Sabuni hii sio kwa kila mtu bali ni kwa wale tu wanaojali na kupenda ngozi zao na wasiopenda ngozi zao zisiwe na mikunjo wala kuzeeka mapema
Kwa ushauri zaidi na jinsi ya kupata SABUNI YA MAAJABU original wasiliana nasi kwa:
Simu/whatsapp: +255716778844
MUHIMU:
Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...
BONYEZA HAPA ILI KUCHAT NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA WHATSAPP
.
.
.
.
.
Asante Sana
0 Comments