MADHARA YA KUTUMIA MATE KATIKA TENDO LA NDOA KWA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE
Kabla sijaanza na madhara nianze na kuelezea kazi ya mate kinywani.
Mate ni mchanganyiko wa maji, uteute na kimeng'enya kinachofahamika kama sarivary amylase au Ptyalin
■ Kazi ya maji yaliyo katika mate ni kuyeyusha chakula kinywani
■ Kazi ya ute ni kulainisha chakula kiwe rahisi kumeza
■ Kazi ya kimeng'enya (salivary amylase) ni kubadili wanga / kabohaidrete kuwa sukari rahisi maltose
Kwahiyo tunaona kazi kubwa ya mate ni kimeng'enya chakula.
Kinywa cha binadamu kimeundwa na mamia ya bacteria (oral micro flora) ambao ni rafiki kwa afya ya kinywa.
Pia katika mfumo wa uzazi wa wanawake kuna aina ya bacteria(lactobuciluss bacteria) pamoja na Fungus (candida albicans) ambao ni rafiki kwa mfumo wa uzazi wa mwanamke.
Sasa tatizo hutokeaje?
Unapochukua mate na kuyaweka katika uke wa mwanamke unahamisha bacteria wanaopatikana katika mdomo na kuwaleta katika uke.
Kumbuka hao ni aina tofauti za bacteria hivyo hawawezi kuishi pamoja matokea yake hukinzana na husababisha either wageni au wenyeji kudhoofika
Wenyeji wanapodhoofika hufanya bacteria wageni kutawala eneo hilo na kwa kuwa bacteria hao sio eneo husika kwao kuishi huanza kuleta madhara makubwa katika uke na kupelekea aina mbali mbali za maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke.
Pia bacteria hao wakati mwingine huweza kuzoeana na kuzaa bacteria ambao ni chotara Ambao huwa wanaweza kuwa wapole au wakali sasa wakiwa wakali husababisha madhara makubwa wakati mwingine hupelekea kansa ya kizazi, uvimbe na magonjwa mengine ya mfumo wa uzazi.
Kumekuwa na malalamiko wanawake kadhaa ambao nimeweza kuongea nao kuhusiana na suala la matumizi ya mate
Kumekuwa na matumizi yasiyoidhinishwa ya mate kwa wapenzi wengi.
Wanaume wamekuwa wakitumia mate during sex kwa kupaka before kama kilainishi.
Kiukwel hili ni kosa la kiufundi.
Dada usikubal mumeo apake mate ndo aingize, ukiona anahitaj kupaka mate au mafuta ujue huyo anakubaka.
Sababu anakuwa hajakuandaa kiasi cha kutosha wewe kuingilika.
Kwani ana haraka za nini?
Alikuwa jela au ndio wale wasiojua kuandaa wanawake ?
Sehem za siri za kiume na za kike zimeundwa maalum na vilainishi vyake vya kiasili original na visivyo na madhara.
Ukiona mwanamke ameloana sehemu zake za siri ujue huyo sasa yupo tayari na anakukaribisha uingie, Ni kwamba ameshakufungulia mlango we ingia tu
Lakin unapokuta kukavu ujue kuwa unambaka na hayupo tayari. Na hii ni pia kuwafundisha akina kaka kuacha ujinga eti wanataka Uke mkavu..Hujui uke mkavu ni ishara huyo mwanamke ana matatizo kama homoni zake hazipo sawa n.k maana uke unatakiwa uwe mnyevu na sio mkavu
We una akili kweli?
Kiasili uke umeumbwa inapokuwa tayari kuliwa iwe imeiva vizuri basi inakuwa na ute ute mlaini ili kuondoa michubuko au misuguano
Sasa unaposema kuwa unataka uke mkavu unakuwa huelewi unachozungumza kiuhalisia.
Wadada msikubali uke kuwa mkavu wakati wa kuliwa ndo mwanzo wa kuambukizwa magonjwa maana husababisha michubuko.
Sikiliza hii story kidogo...
Kuna jamaa mmoja alimfundisha rafiki yake jambo hili la kumuingilia mwanamke akiwa keshaloa chapachapa na lilimsaidia asipate ukimwi baada ya kutembea na dada mmoja aliyeathirika bila kinga mara mbili bila kujua kwamba huyo dada alikua muathirika (MUNGU alimsaidia sio ushauri wa huyo jamaa pekee ) lakini sikushauri na wewe ufanye makusudi kufanya ngono zembe yatakayokukuta usinilaumu.. kuwa mwaminifu, kuwa na mpenzi mmoja na pia tumia kinga kama humuamini
Haya tuendelee na mada yetu...
Tabia ya kupaka mate imekuwa ikiwatia kichefu chefu wanawake wengi maana inafikia wanaume wengine huweka hata makohozi.
Wanaume tuacheni mambo haya tunakuwa hatuwatendei haki wanawake binafsi napenda kuloane mpaka hata maji yamwagike kuloane hasa chapa chapa.
Sasa wewe kazana kutafuta kavu utadhani unataka kupitisha greda ahahahaa...
Ntakuja kuwaeleza akina dada nini kinasababisha ukavu ukeni na nini kifanyike badala ya mate.
Tahadhari Mwanamke usijizuie kumwaga maji au kutoa maji kwa kuogopa mwanaume atasema una maji mengi acha huo ujinga. jiachie mwaga hata kuloanisha godoro kama hajui uthamani wa kitendo hicho achana naye huyo ni mbakaji tu
Mate huchangia kwa kiasi kikubwa sana wanawake kupata maambukizi ya fangas na bacteria ya mara kwa mara bila kujua kama wakati mwingine chanzo ni mimate inayotoka kwenye vinywa vyenye fangasi.
Wakati mwingine wadada wenyewe huwa mnapenda hicho kilainishi si kizuri kuweni makini na afya za hizo starehe zetu ????
Ahsante kama nimeeleweka
Kwa tiba na ushauri wasiliana nami kwa:
Simu/whatsapp: 0716778844
MUHIMU:
Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...
0 Comments