Tahadhari : Usiruhusu Ugonjwa Wa PID ( INFLAMMATORY DISEASE) Ukufanye Uwe Mnyonge Zaidi…
.
PID ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.Na maambukizi haya kutokea ikiwa bacteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye Uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus),Mirija ya uzazi na kwenye Ovary (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana
Maambukizi ya PID mara nyingi husababishwa na Bacteria wanaosababisha Ugonjwa wa Kisonono ,Chlamydia na bakteria aina zingine .Hivyo wanawake wenye Kisonono wapo hatarini zaid Kupata PID
Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:
▶️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu
▶️ Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA na wenye rangi ya maziwa ama njano
▶️ Maumivu makali wakati wa kujamiiana
▶️ Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C)
▶️ Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa
▶️ Hupatwa na kichefuchefu
▶️ Kutapika
▶️ Miwasho sehemu za siri
▶️ Uchovu
▶️ Uke kuwa mlaini sana
▶️ Kizunguzungu
▶️ Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
▶️ Kuvurugika kwa Hedhi
▶️ Maumivu ya kiuno
.
ATHARI ZA PID
⚫ Ugumba kwa wanawake
⚫ Kupata saratani ya shingo ya Uzazi
⚫ Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi
⚫ Kusababisha majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi
⚫ Maumivu ya tumbo /nyonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji wa mayai (Ovulation)
.
.
JINSI YA KUEPUKA/KUJIKINGA NA PID
⚫ Epuka kuvaliana nguo za ndani
⚫ Kuwa na tabia ya kupima mara kwa mara mfumo wako wa Uzazi
⚫ Kuwa msafi wa mwili na nguo zako za ndani
⚫ Kula lishe bora
⚫ Epuka kufanya tendo la ndoa na mwenza wako mara baada ya kugundua ana magonjwa ya kujamiiana (STDs)
.
.
Inawezekana umetafuta sana suluhisho lakini bado hujapata tiba iliyokupa afueni au kukuponya kabisa. Nina Habari njema kwako sababu nina SULUHISHO la kudumu la tatizo lako
Unachotakiwa kufanya ni hiki, piga simu au nitumie ujumbe mfupi SASA HIVI kwa mawasiliano yafuatayo:
JE UNGEPENDA KUANZA MATIBABU YA CHANGAMOTO HII
0 Comments