Games

6/recent/ticker-posts

ILI UUME UWEZE KUSIMAMA VIZURI VINAHITAJIKA HIVI...

Fahamu Vizuri Misuli  Inayoshikilia Uume Na Kuufanya Uume Usimame Imara Zaidi Kwa Muda Mrefu Pasipo Kulegea Au Kusinyaa.

Pelvic floor muscle Ni msuli ambao umeshikilia Uume ,Wakati uume unasimama ndio unawezesha Mwanaume kusimamisha uume wake muda Mrefu .Ikiwa Ni Dhaifu uume unasimama kwa muda mfupi unalegea hatimaye uume unasinyaa .

Msuli huu umeunganisha uume na tundu la haja kubwa na sehemu ya mwanzo wa Uti wa Mgongo.(Kama unavyoona kwenye picha ,Hiyo sehemu iliyozungushiwa duara). Kuna vitu ambavyo hulegeza msuli huu na kuufanya kuwa Dhaifu ;

Vitu hivyo ni :

1. Bawasili - kutokwa na vinyama sehemu za haja kubwa

2.Kuvimbiwa/kutokupatwa choo (constipation )

Tumbo linavyojaa gesi baada ya kushindwa kumeng'enya chakula Fulani,Basi msuli huu hulegea.

3.Kupata Choo kigumu ,Yani ukienda chooni unatumia nguvu nyingi kusukuma haja kubwa.

4.Kujichua/punyeto - Punyeto pia husababisha msuli huu kulegea ,na dalili inaonyesha Wakati wa kutoa mbegu za kiume Yani shahawa utakuta hazitoki kwa kasi ,haziruki zinafanya kudondoka Kama matone ya mvua.Yani zinadondoka tu.

Ikiwa huu msuli wa pelvic floor Ni imara utakuta shahawa zinatoka kwa Kasi na kwa nguvu zinaruka mbali na kwa Presha kubwa .Basi msuli huu ndio hufanya hiyo kazi.

Ukilegea shahawa zinatoka kwa uvivu , zinadondoka tu chini.

5.Uzito mkubwa/kitambi pia hulegeza msuli huu.Ndio maana wenye vitambi wengi uume ni mdogo umezama kwa ndani

Kwa upande wa Wanawake msuli huu ukilegea husababisha Uke kupanuka Sana na kuwa mlegevu.kubaini Kama anatatizo hili Ni kuingiza kidole ukeni alafu ajaribu kukibana akishindwa Basi misuli ya pc imelegea.

Waathirika wakubwa wa msuli huu wengi wao ni watu wa maofisini wanaokaa muda mrefu sehemu moja, madereva wa magari na bodaboda, wanaojichua, wenye uzito uliopindukia, kisukari ,vidonda vya tumbo nk.

Suluhisho linahitajika mapema sana  kabla msuli huo haIjaaribika sana. Tatizo likiwa sugu litakusumbua

USHAURI:

Ni vyema ukazingatia kuweka sawa mmeng'enyo wako wa chakula kwa kutoa sumu zinazokuwa chanzo cha kuharibu mmeng'enyo wako wa chakula, kuepuka vitambi, kutibu bawasiri mapema na pia kujiepusha na upigaji punyeto. Na pia kuna mazoezi maalum ya kufanya pamoja na massage maalum ya kuufanyia uume wako

Endapo una bawasiri,unene,hupati choo nk halafu unalalamika una upungufu wa nguvu za kiume nakuomba usianze kutafuta dawa za nguvu za kiume kwanza, tafuta suluhisho la tatizo lililosababisha hizo nguvu kupungua kwanza.

Tiba yetu imezingatia maeneo yote hayo na gharama zinatofautiana kati ya mgonjwa na mgonjwa kutokana na kila mmoja anavyoumwa

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi kwa:

Simu/whatsapp: +255716778844

MUHIMU:

Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...

BONYEZA HAPA ILI U CHAT WHATSAPP NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA



Post a Comment

0 Comments