HII NI MOJA YA SABABU YA MAHUSIANO MENGI KUVUNJIKA NA PIA HUPELEKEA WANAWAKE KUTOJIAMINI..
Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na inakera kupeana raha na utamu na mwanamke ambaye sehemu zake za siri zinanuka bila kujua nyuma ya pazia sababu
Inawatoa out of the mood, mwisho wake wanaconcetrate kudo fasta, wamalize hamu zao kila mtu aondoke.
Wapo baadhi ya wanawake wanajijua wanasumbuliwa na hili tatizo lakini cha kushangaza hawana muda wa kutafuta suluhisho za kumaliza tatizo lao (wanaishia kuchekwa kuwa vituko vya mtaa bila kujijua sababu hawajui kuwa matatizo yao ya uke kutoa harufu mbaya,yanasimuliwa na wale wanaume ambao washawahi kulala nao wakiwa wanapiga story na marafiki zao maskani/mtaani).
Nitaanza kuelezea aina za harufu na maana yake kisha nitaelezea ni jinsi gani unaweza kumaliza tatizo lako.
Wanawake wengi wameachwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wengine wanaogopa hata kuanzisha mahusiano mapya sababu ya harufu sehemu za siri
Ukweli ni kwamba uke ni makazi ya mabilioni ya bakteria wazuri na wale wabaya pia
Na harufu ya uke huwa inabadilika badilika kila siku wakati mwingine kila saa
Mabadiliko haya yanaweza kuwa ya kawaida kutokana na mabadiliko ya mzunguko,afya yako pamoja na usafi kwa ujumla
Zifuatazo ni aina za harufu ukeni na majibu kwa maswali yako je harufu husika ni mbaya au nzuri
1.Harufu ya kuchacha
Ni jambo la kawaida kabisa uke kuzalisha harufu ya kuchacha. Harufu hii yaweza kufanana na harufu ya kuchacha kwa chakula.
Ukweli ni kwamba baadhi ya vyakula na vinywaji kama mtindi, bia na mkate vina bakteria wale wale ambao wapo kwenye uke wako.
Bacteria hawa wanaosababisha uchachu wanaitwa Lactobacilli ambao kazi yake ni kufanya uke kuwa na tindikali nyingi. Tindikali hii inalinda uke dhidi ya vimelea wabaya
2.Harufu ya kutu ama madini ya copper
Wanawake wengi huripoti kupata harufu kama ya kutu ukeni. Hii ni kawaida kabisa wala usiwe na hofu kwamba kuna tatizo.
Kinachosababisha harufu hii ni Damu. Damu ina madini chuma,wakati wa hedhi damu iliyozalishwa baada ya ukuta wa kizazi kumeguka husafiri na kutolewa nje kwa njia ya uke
3.Harufu nzuri
Kama harufu ya ukeni ni nzuri kama kitu chenye sukari basi usishtuke sana ni mabadiliko tu ya bakteria na ni jambo la kawaida
4.Harufu ya kemikali kama chumba kipya
Kuna sababu mbili kubwa zinazopelekea upate harufu hii kama:
(a)Mkojo:
Mkojo una kemikali za ammonia. Unapovaa chupi kwa muda mrefu, matone ya mkojo hujikisanya na kuzalisha harufu.
Kama mkojo wako una harufu kali basi hakikisha unakunywa maji ya kutosha maana ni kiashiria kwamba umeishiwa maji
(b) Maambukizi ya bakteria:
Sababu ya pili ni kwamba kuna shida ya maambukizi na unahitaji vipimo na tiba mapema. Endapo unapata dalili zingine kama muwasho ukeni,maumivu wakati wa kukojoa,harufu mbaya inayonuka na uchafu wa kijivu au kijani basi ujue una maambukizi ya bakteria.
5.Harufu ya majani yaliyochomwa mfano wa bangi
Sababu kubwa ni msongo wa mawazo(stress). Mwili una tezi mbili za jasho(apocrine na eccrine).
Wakati wa joto sana tezi ya eccrine huzalisha zaidi jasho ili kupooza mwili na wakati huo huo tezi ya apocrine ikifanya kazi kudhibiti athari ya msongo wa mawazo
Ukiwa na mawazo tezi ya apocrine huzalisha majimaji mepesi kama maziwa yanatolewa kwenye maeneo ya ukeni. Majimaji haya yakikutana na bakteria wa ukeni ndipo harufu kali huzalishwa
6.Harufu ya shombo la samaki wabichi
Bila shaka umeshapatwa na hali hii ama kusikia kwa rafiki yako akipata harufu ya shombo la samaki. Sababu kubwa ni maambukizi ya bakteria na ugonjwa wa trichomonisis
7.Harufu mbaya kama kitu kilichooza
Harufu mbaya inayokufanya hata wewe ubane pua ujue siyo ya kawaida kabisa. Ukiona harufu hii ujue kuna shida mahali na unahitaji kurekebisha haraka ili usiaibike hata kwa mpenzi wako. Sababu kubwa ni maambukizi ama kutokufanya usafi vizuri ukeni
Kama bahati kwako wewe ambaye unasumbuka na hizi harufu japo hatufu zingine hazina madhara ila kiuhalisia mpenzi wako hana hii elimu kwahiyo inampa kero na wewe mwenyewe inakukera kuna SULUHISHO LA KUDUMU...
Ndio suluhisho hili si lingine bali ni KIOSHO CHA ASILI
Kiosho ndio suluhisho la pekee ambalo limekua linatoa msaada kwa wanawake wengi wenye matatizo kama haya pamoja na mengine kama U.T.I sugu, fangas, uchafu ukeni n.k
Tegemea yafuatayo pindi utakapotumia kiosho:
👉Utajiamini na hutoogopa tena kuhusu kutoa harufu mbaya ukeni
👉Mapenzi ya mume wako yataongezeka kwako maana burudani atakayopata ni kama ile siku za mwanzoni mlipokua mnaingia kwenye mahusiano na hapo tegemea wivu kupindukia
👉Hutokuwa unahudhuria pharmacy kila siku kama ilivyokuwa zamani
👉Utakuwa unawashangaa wenzako wakiwa wanasema wanaumwa U.T.I na fangas wakati wote mnashea choo(kumbe siri ni kiosho)
👉Mume atakumwagia sifa kila siku sababu anaona ile njia ya vumbi aliyokua anapitaga kama imewekwa lami sasa na imekua nyembamba😅😅😅
NB: Hizo ni baadhi tu ya faida za kiosho na kitu utakachojutia ni kwanini umechelewa kukijua kiosho
Endapo unahitaji kuondoa kero zote mbaya za harufu mbaya na kuweka usawa wa tindikali ya ukeni kwako leo basi haina budi kuanza kutumia KIOSHO leo
Kama utachukua kiosho leo basi utapata na ushauri wa bure jinsi ya kuongeza bakteria walinzi sehemu za siri ili kuepuka magonjwa haya tena
Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana nasi sasa hivi kwa namba hizo hapo chini
Simu/whatsapp: +255716778844
MUHIMU:
Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...
BONYEZA HAPA ILI KUWEZA KUCHAT NA MSHAURI MOJA KWA MOJA WHATSAPP
0 Comments