Games

6/recent/ticker-posts

ONDOA MICHIRIZI KWA NJIA HIZI...

 

Jinsi Ya Kuondoa Michirizi Ya Ngozi Kiasili...

Nimekua nikipokea simu nyingi sana kila siku kuhusu jinsi gani mtu anaweza kuondoa michirizi, inaonekana hii ni tatizo sugu kwa watu wengi sana… Sasa endelea kusoma Makala hii mpaka mwisho ili ufaidike


Michirizi ni kitu cha kawaida baada ya kujifungua. Utakua na mistari myembamba kwenye maeneo yenye mafuta mengi kama matiti, mapaja, tumbo na mengineyo. Huweza kutokea kutokana na mabadiliko ya homoni au kupotea kwa mafuta katika maeneo haya


Je Inawezekana Kuondoa Michirizi?

Michirizi huwa myembamba kadiri ya muda unavyoenda lakini huwa haipotei. Kuna njia za asili za kuweza kuifanya isionekane kwa urahisi. Unaweza ukatumia mafuta ya “massage”, losheni, mafuta ya kulainisha ngozi nk.

Baaada ya miezi kadhaa au hata miaka michirizi hubadilika na kuwa myembamba na kufanana na Ngozi
.
.
Namna Ya Kuondoa Michirizi Ukiwa Nyumbani

Kuna njia za nyumbani za kuondoa michirizi kwa uhakika mara baada ya kujifungua kama vile;
.
.
1.Matibabu Ya Mafuta

Kusugua maeneo yenye michirizi kwa mafuta huweza kusaidia kupunguza michirizi kwa kiwango kikubwa na kulainisha ngozi.
.
.
Mafuta Ya Mzeituni (Olive oil):


Mafuta ya mzeituni ni mafuta yenye kulainisha ngozi na pia husaidia kuzunguka kwa damu, na kupunguza michirizi kwa kiwango kikubwa

Hatua Za Kufuata :

a)  Weka mafuta katika kiganja chako na taratibu sugua eneo lenye michirizi

b)  Acha dakika 30 ili vitamin A,D,na E ziingie kwenye ngozi yako

c)  Oga baada ya kusugua

d)  Ingawa ni kitendo kinachochukua muda kitakupa matokeo unapokifanya kila mara

Au unaweza kuandaa mchanganyiko wa olive, maji na “vinegar”ili upake usiku wakati wa kulala

.
.

Mafuta Ya Nyonyo ( Castor oil)

.
.
Hatua Za Kufuata :

a)  Paka mafuta ya nyonyo kwenye michirizi na usugue taratibu kwa mduara

b)  Tumia mfuko wa plastiki ufunike uliposugua joto litafungua vinyweleo ili mafuta yaingie

c)  Safisha eneo husika na urudie kula siku, ndani ya mwezi mmoja tu, utapata matokeo mazuri

.
.

 Mafuta Ya Nazi (Coconut Oil)


Hatua Za Kufuata :

a)  Chukua mafuta ya kawaida kama vile mafuta ya nazi

b)  Dondosha matone kadhaa ya mafuta muhimu kama ya nazi au ya ua waridi

c)  Tumia mchanganyiko huu kusugua kwenye michirizi ndani ya dakika 30 itasaidia kuondoa michirizi

.
.

2.Aloe Vera Gel


Ute ute wa Aloe vera unasaidia kulainisha ngozi. Tumia Alovera iliyopatikana fresh kuliko ile ya sokoni.

Hatua Za Kufuata :

a)  Paka uji uji wake juu ya ngozi, acha dakika 15 na safisha kwa kutumia maji ya uvugvugu. Rudia mara kwa mara

.
.

3.Asali


Viwango vya viondoa sumu (antioxidant) ndani ya asali husaidia kuondoa michirizi.

Hatua Za Kufuata : 

a)  Chukua kipande cha nguo/kitambaa  au kipande cha pamba halafu paka asali

b)  Kiweke kipande hicho kwenye eneo lilioathiriwa acha mpaka ikauke

c)  Safisha na maji ya vuguvugu

Au unaweza kuandaaa mchanganyiko wa asali na grycelin, upake kwenye michirizi na uache mpaka ukauke na uoshe na maji ya vugu vugu
.
.

4.Maji Meupe Ya Yai


Maji maji ya yai ni mazuri kwa protin na husaidia kufanya ngozi iwe na unyevu na kuonekana mpya

Hatua Za Kufuata :

a)  Koroge ute mweupe wa yai na uma

b)  Safisha eneo lenye michirizi na upake eneo kwa kutumia brashi laini

c)  Acha ikauke

d)  Paka mafuta ya olive kufanya ngozi iwe laini

Rudia kila siku japo kwa wiki mbili mpaka michirizi ianze kupotea

.
.

5.Sukari


Sukari ni moja kati ya tiba muhimu za kuondoa michirizi, ambayo huondoa ngozi iliokufa na kufanya ngozi kung’aa

Hatua Za Kufuata :

a)  Chukua kijiko cha chakula cha sukari

b)  Tumia kwa kusugulia kabla ya kwenda kuoga

Fanya kila siku ndani ya mwezi
.
.

6.Juisi Ya Limao




Viwango vya asidi vilivyoko ndani ya limao huondoa michirizi

Hatua Za Kufuata :

a)  Paka juisi freshi ya limao kwenye eneo lenye michirizi

b)  Acha kwa dakika 10 ili juisi iingie

c)  Safisha na maji ya vuguvugu

Paka kila siku kwa matokeo mazuri

Au unaweza kupaka mchanganyiko wa limao na tango uliolingana kwenye eneo lililoathirika

.
.

7.Maji


Ngozi yako lazima iwe na maji ya kutosha ili kuweza kuondoa alama za michirizi katika ngozi yako, hivyo kunywa maji japo glasi 10 au 12 kila siku ili kukinga ngozi yako na sumu mbalimbali. Achana na soda chai kahawa kwani huondoa maji mwilini.

.
.

8.Kiazi Na Juisi Yake


Viazi vina kemikali zinazosaidia mwonekao wa ngozi

Hatua Za Kufuata ;

a)  Kata kiazi vipande viwili, paka kiazi kwenye michirizi

b)  Ruhusu juisi ya kiazi kuingia kwenye ngozi na uache ikauke

c)  Safisha na maji ya vuguvugu
.
.

9.Binzari na msandali (sandalwood)


Vinajulikana kwa kuongeza mng’ao na hisia ya ngozi

Hatua Za Kufuata :

a)  Andaa kijiko kimoja cha “sandalwood” kwa kusugua kipande cha “sandalwood” kwenye maji

b)  Andaa mchanganyiko laini wa mzizi wa binzari

c)  Changanya vyote kwenye kiwango sawa


Acha ikauke japo asilimia sitini 60% alafu sugua kwenye ngozi yako

Rudia kila siku japo kwa miezi sita utaona mabadiliko
.
.


10.Maziwa, sukari na maji ya kijani ya tango na limao



Changanya vijiko viwili vya maziwa , na uchanganye na matone ya juisi ya limao na tango, na nusu kijiko cha sukari

Hatua Za Kufuata : 

a)  Weka mchanganyiko kwenye michirizi ndani ya dakika 5.

b)  Safisha na maji ya vuguvugu

c)  Paka maji ya nazi na uache yakauke mpaka utakapohisi kuvutika kwa Ngozi

Utumiaji wa njia hizi huku unatumia virutubisholishe  vyenye antioxidants na vitamin C ni muhimu sana na ina matokeo makubwa sana
.
.

NJIA NYINGINE NYEPESI NA YA UHAKIKA

Tuna virutubisholishe vizuri sana vyenye kutoa matokeo mazuri sana kwenye suala hili la michirizi bila kuacha hizo njia nilizozitaja hapo juu. Kuna sabuni na vidonge vya asili ambavyo ukitumia utapata matokeo mazuri sana

Endapo utahitaji virutubisholishe hivi ili upate matokeo mazuri na ya haraka basi wasiliana nami kwa :

Simu/whatsapp: +255716778844

MUHIMU:

Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...







Post a Comment

0 Comments