ONYO!! Kama Una Hizi Dalili Jitibu Kwanza Au Sahau Kabisa Kupona Tatizo La Gesi tumboni,Miungurumo tumboni, Nguvu Za Kiume Na Uume Kusinya Na Kurudi Ndani Kama Wa Mtoto (KIBAMIA) ...
.
Wanaume wengi wamekua wanatafuta dawa za gesi, miungurumo tumboni, kuongeza nguvu za kiume au kurefusha uume wao pale wanapoona umekua mdogo sana kama wa mtoto bila kufahamu kuna vitu vikuu viwili vinaweza kuwa ni chanzo
.
.
Vitu vyenyewe ni NGIRI (hernia) au PUNYETO
Sasa kwa leo nataka niongelee tatizo hili la NGIRI maana ndio chanzo kikubwa sana cha watu kusumbuliwa na nguvu za kiume, gesi na miungurumo tumboni pamoja na uume kuwa mdogo
Katika makala hii nitaongelea zaidi kwenye upande wa Wanaume maana ndio wahanga wakubwa kwenye jamii na kupelekea kuhangaika na madawa ya kuongeza nguvu za kiume na hata ndoa zao kuvunjika kumbe shida limejificha hapa kwenye hili tatizo la ngiri
Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake. Au kuta hizo kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo
Tunaweza kuufahamu zaidi ugonjwa wa ngiri kama hali inayotokea katika mwili ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu iliyo dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili.
Sehemu inayoathiriwa mara nyingi ni maeneo ya tumbo, kokwa, pumbu na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri
Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya:
📌Tumboni
📌Eneo la kinena
📌Eneo la paja kwa juu
📌Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma
Kifuani n.k.
Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote.
Aina za Ngiri:
Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza
1. Ngiri maji – Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama (hydrocele)
2. Ngiri kavu (Hernia) – hujulikana pia kama ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume
3. Ngiri ya kwenye kifua – hujulikana pia kitaalamu kama ‘hiatus hernia’
4. Ngiri ya tumbo – hujulikana pia kama ‘abdominal hernia’
5. Ngiri ya kwenye kitovu – hujulikana pia kama ‘umbilical hernia”
6. Ngiri ya sehemu ya haja kubwa – hujulikana pia kama ‘anal hernia’
Dalili za aina zote za ngiri hazitofautiani sana na ngiri hujitokeza bila maumivu yoyote ingawa kuna baadhi ya ngili hua na maumivu makali hutegemea ngiri ilivotokeza
Ngiri Ya Kwenye Kinena
Ingiri ya kwenye kinena ambayo kitaalamu huitwa 'inguinal hernia' hutokea wakati tishu laini hujitokeza kupitia eneo la udhaifu au kasoro katika misuli yako ya chini ya tumbo. Mara nyingi huwa karibu na eneo la kinena. Mtu yeyote anaweza kupata henia hii, lakini ni kawaida zaidi kwa wanaume kuliko wanawake
Nini Husababisha Ngiri Ya Kinenani?
Sababu ya ngiri ya kinenani haijulikani, lakini inaweza kuwa ni matokeo ya maeneo dhaifu katika ukuta wa tumbo. Ulegevu unaweza kuwa kutokana na kasoro zilizopo wakati wa kuzaliwa au mwili kuingiliwa na sumu baadaye katika maisha
Baadhi ya sababu za hatari zinazoweza kusababisha kutokeza henia ya kinenani ni pamoja na:
🔘Maji au shinikizo katika tumbo
🔘Kuinua nzito, kama vile 'weightlifting'
🔘Kufunga choo (kusukuma choo kwa nguvu nyingi wakati wa kujisaidia haja kubwa)
🔘Kikohozi cha muda mrefu
🔘Mimba
Watu wazima na watoto wanaweza kupata henia ya kinenani. Wanaume wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata henia ya kinenani
Watu wenye historia ya ngiri wanakuwa katika hatari kubwa zaidi ya kuwa na ngiri nyingine pia. Ngiri ya pili hutokea kwa upande mwingine
Je, Ngiri Huathiri Nguvu Za Kiume?
Kama ngiri bado ni ndogo. Haiwezi kuathiri chochote katika nguvu za kiume. Hata hivyo, henia ambayo imeshakuwa kubwa inaweza kuathiri nguvu za kiume - - huathiri utendaji wa mishipa ya neva iliyo kwenye uume/korodani na hali ya homoni. Ukosefu wa homoni ya testosterone inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume
Upasuaji wa ngiri unaweza kusababisha shida katika korodani kufanya uwezekano wa homoni ya testosterone kuwa chini. Hata hivyo, kwa sababu watu wengi wana korodani mbili, hata kama moja inaweza kuwa na shida, nyingine inaweza kuzalisha viwango vya kutosha vya homoni
Ngiri pia huweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kuharibu mishipa ya neva iliyo kwenye uume
.
.
DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA KWA WANAUME
[1] Kubana tumbo hasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu
[2] Kupiga mingurumo tumboni
[3] Kujaa gesi tumboni
[4] Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu
[5] Kupata haja ngumu kama ya mbuzi
[6] Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa
[7] Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara
[8] Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho
[9] Nuru ya macho hupotea taratibu
[10] Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika
[11] Kuvutwa makende au upande mmoja maumivu
[12] Kupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu
[13] Maumivu makali ya mgongo au kiuno
[14] Uume kusinyaa na kunywea kama wa mtoto
[15] Maumivu kati ya paja na kinena na kupelekea mguu kuwaka moto au kupata ganzi
[16] Kupata maumivu makali katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo
[17] Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe gesi imejaa tumboni
[18] Ukila vitu vyenye sukari kama soda na vitu vingine tumbo huunguruma sana na kujaa gesi
[19] Kuvimba kwa korodani ama korodani kupanda juu (Korodani moja au zote kwa pamoja)
DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI [HERNIA] SUGU ILIYOKOMAA...
[1] Kende(pumbu) moja au mbili kuvimba
[2] Kuvimba Juu ya kinena kushoto au kulia
[3] Kufanyiwa UPASUAJI wa hernia
[4] Kufanyiwa UPASUAJI kisha ika rejea tena
[5] Kende( pumbu) kupotea zote au moja
[6] Kende kujaa maji
[7] Kuvimba kwa kitovu au kende uvimbe wenye kujaa kama nyama
[8] Kuwa na uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani
[9] Kuwa na uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu
[10] Maumivu/Kusikia kichefuchefu
MADHARA UNAYOWEZA KUPATA KWA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU...
Kukaa na Ngiri/Hernia kwa muda mrefu inaweza kukupelekea kupata matatizo yafuatayo:
[1]Kushindwa kumpa mwanamke ujauzito (Utasa)
[2]Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo kwa wakati
[3]Dhakari(uume) kurudi ndani na kuwa ndogo kama ya mtoto mdogo (kibamia)
[4]Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakari
[5]Dhakari kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakari hushidwa kabisa kusimama
[6]Upungufu wa nguvu za kiume na hii hutokana na ulegevu wa misuli ya uume
[7]Kupata Bawasiri na hii ni kutokana na kupatwa na choo kigumu
[8] Kuathirika kisaikolojia na hii inaweza kupelekea kupata magonjwa mengine sababu ya mawazo
NB: KAMA UNA NGIRI BASI USITAFUTE DAWA ZA NGUVU ZA KIUME KAMA BADO HUJAJITIBU TATIZO LAKO LA NGIRI MAANA HAUTAPATA MATOKEO UNAYOYATAKA
MATIBABU
Tiba yetu ni muunganiko wa virutubisho na mimea ya asili ambayoinaenda kuondoa tatizo la Ngiri na kusaidia kurejesha hata uanaume wako.Dozi ni ya mwezi mpaka miezi miwili inategemea ukubwa wa tatizo, umri na jinsi ya muda uliokaa na tatizo hili. Unaweza kuchukua dozi nzima Au Nusu Dozi ...
.
.
Chagua Unataka Kuanza Na Dozi Ipi Hapo Chini
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
DOZI YA MWEZI TSH 280,000
NUSU DOZI TSH 160,000
Ukishachagua kifurushi unachotaka kuanza nacho basi bonyeza link hapo chini itakupeleka moja kwa moja kwa mtoa huduma andika NENO hili...NATAKA KUANZA DOZI YA NGIRI ukianisha unataka dozi nzima au nusu dozi
.
.
NB: Kama huhitaji Tiba naomba USIBONYEZE hiyo link
Kwa ushauri wasiliana nasi kwa:
Simu/Whatsapp : +255 716 778 844
.
.
OFISINI YETU IPO DAR ES SALAAM MAKUMBUSHO STENDI JENGO LA MANISPAA GHOROFA YA 2
0 Comments