Hizi Ndio Sababu Za Kwanini Watu Hawaponi Bawasiri...
________________________
Mshauri wa afya: Salim Manoti
Simu/whatsapp: +255716778844
__________________________
Kwanza tujue bawasiri ni nini:
Bawasiri ni uvimbe wa mishipa iliyo ndani na karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa au kwenye puru ya chini. Bawasiri huathiri mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kupelekea changamoto kama vile :
1. Kuwa na kinyesi kigumu (Constipation)
2. Kuketi kwa muda mrefu kwenye choo au sehemu ngumu
3. Kuharisha (Kuhara) mara kwa mara
4. Kuvimbiwa
5. Kuwa mnene au mzito
6. Kuwa mjamzito
7. Kuingiliwa nyuma kimaumbile
8. Kutokula vyakula vyenye nyuzinyuzi
9. Kuinua/Kunyanyua vitu vizito mara kwa mara
_____________________________________
UKIWA NA HIZI DALILI UJUE UNAWEZA KUWA NA BAWASIRI:
1. Kuwasha katika maeneo yaliyozunguka sehemu ya haja kubwa
2. Kuvimba kuzunguka sehemu ya kutolea haja kubwa
3. Mara nyingine yaweza Kuvuja damu au kama michubuko
4. Kuwa kama na uvimbe pembeni na unaweza kuwa na maumivu au usiwe na maumivu
5.Kutoa haja/kinyesi chenye damu na maumivu yasiyo makali. Unaweza kuona kiasi kidogo cha damu nyekundu kwenye haja yako
6.Maumivu na muwasho sehemu ya haja
7.Kinyama kutoka na kurudi au kuwa hapo hapo nje ya tundu la haja kubwa muda wote
______________________________________
HIZI NDIO SABABU ZINAZOCHANGIA BAWASIRI KUTOKUPONA KWA URAHISI
1. Kutopata dawa sahihi
Si kila dawa inayotangazwa kutibu Bawasiri inaweza kutibu Bawasiri bali dawa yenye ufanisi wa kutibu ndio inaweza kutibu Bawasiri. Na bawasiri sharti uitibia kuanzia ndani
2. Kutofuata ushauri wa daktari au aliyekupa tiba
Usipofuata yale ambayo daktari anakuelekeza ili kupata suluhisho la Tatizo lako ni ngumu kupona tatzo lako
3. Kutoziacha sababu zilizopelekea upate Bawasiri.
Katika hili wengi wamefeli kwani haiwezekani ukapona Bawasiri ikiwa sababu zilizopelekea upate Bawasiri hutaki kuziacha mfano;
-Pombe
-Uzito mkubwa
-Ulaji mbovu
-Kuingiliwa kinyume
-Kula sana pilipili
-Kukaa sana chini
-Kunyanyua vitu vizito
-Kutotibu Magonjwa kama Ngiri na Vidonda vya TUMBO
-Kutokula vyakula vya kulainisha choo kama vile Mboga za majani & matunda
-Kula udongo(wajawazito)
-Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa.
-Kuharisha mara kwa mara
-Kujisaidia choo Kigumu
4. Hii ndio sababu kubwa sana na ndio maana ninaowatibu huwa nawauliza kwanza kama wana VIDONDA VYA TUMBO kama wanavyo nawashauri tuanze kutibu hili la vidonda vya tumbo maana bila hivyo utakuwa unatwanga maji kwenye kinu sababu kupona bawasiri itachukua muda mrefu sana au usipone kabisa. Na sio tu kutokupona bawasiri bali hata kama una magonjwa mengine utachukua muda sana kupona..
Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa,bawasiri, kupungua uzito. Nk
Jichunguze kama una vidonda vya tumbo kama una hizi dalili:
1.Kupata maumivu ya tumbo ya kuwaka moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
2.Kupatwa na kiungulia(heartburn) karibu na chembe ya moyo
3.Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4.Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
5.Kupata haja kubwa ya rangi ya kahawia au nyeusi chenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
6.Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
7.Kushindwa kupumua vizuri
_______________________________________
Hata utumie dawa zaid ya 100,usipoziacha sababu hizo nne (4) ni ngumu sana kupona Bawasiri na matokea yake kila mtoa tiba utamuona Tapeli kumbe sababu ni wewe mwenyewe kutofuata miongozo,maelekezo na USHAURI kutoka kwa aliyekupatia tiba
Ukizingatia hayo utapona Bawasiri kwa muda mfupi sana
Nimekua nawasaidia watu wengi kwenye kutatua haya magonjwa mawili kwa ufasaha zaidi yaani VIDONDA VYA TUMBO na BAWASIRI
Endapo umekua unasumbuliwa kwa muda mrefu kwa matatizo haya mawili au moja wapo kati ya haya basi usisite kututembelea kwenye ofisi zetu zilizopo Makumbusho - Dar es salaam au unaweza kuwasiliana nasi kwa:
Simu/whatsapp: +255716778844
BONYEZA HAPA ILI UWEZE KUCHAT NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP
0 Comments