Je Unafahamu Kama Boga Lina Protini Ambayo Husaidia Kupambana Na Magonjwa Yatokanayo Na Fangas???
___________________________________
Mshauri : Salim manoti
Simu/whatsapp: +255716778844
___________________________________
Elizabeth Lyimo ni mtaalamu wa Lishe kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe(TFNC), anasema protini ya pr-2 iliyopo katika maboga hutibu michubuko inayotokana na mkojo au nepi, huku ikizuia aina 10 za fangasi ikiwamo candida albicans ambayo ni fangasi hatari.
Fangasi hao pia ni maarufu kwa kusababisha matatizo kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari na husababisha pia kupata fangasi midomoni, katika ngozi, chini ya kucha na kwenye mfumo mzima wa mwili.
Utafiti uliochapishwa katika jarida la kilimo na kemia la vyakula, umeonyeshwa kuwa protini inayotokana na boga iitwayo Pr-2, hupambana na ugonjwa unaosababisha fangasi sehemu za siri kwa mwanamke.
“Vile vile maboga yana kiwango kikubwa cha potasiamu na alikalini ambayo utendaji na asili yake nzuri ni vitamin B na C, hivyo ulaji wa boga lililopikwa kila siku husaidia kuzuia saratani na husaidia kuleta nafuu kwa watu wanaoumwa kichwa,”anasema.
Lyimo anasema juisi ya boga lililochemshwa ni zuri kwa watoto wenye umri wa miezi sita na kuendelea
“Katika mlo wa mtoto jaribu kumsagia kiasi kidogo cha boga lililochemshwa vizuri, angalau mara moja kwa siku,” anasema Lyimo.
Mbali na maboga, pia mbegu zake zimesheheni protini na madini mbalimbali kama chuma, kopa, maginizia na manganizi.
Pia, anazitaja faida za ulaji wa maboga na mbegu zake katika mwili wa binadamu kuwa maboga hupunguza mafuta kwenye mishipa ya damu.
Pia, ulaji wa mara kwa mara wa mbegu hizo huzuia ugonjwa wa kiharusi, mshtuko wa moyo na kusaidia ufanisi wa utumbo mkubwa kufanya kazi vizuri.
Anasema maboga huzuia saratani kutokana na mafuta yaliyopo, huimarisha kinga za mwili na ukuaji wa seli.
Pia, kwa wale wanaokosa usingizi hawana budi kutumia mbegu za maboga pale wanapotaka kulala. Kwa muda mrefu, maboga yamekuwa yakitumika katika tiba za kiasili kutibu kisukari, shinikizo la damu.
Mbegu za boga zimekua ni msaada mkubwa kwa wanaume wenye mbegu chache. Kwahiyo wanaume ni muhimu sana kutumia mbegu hizi za boga. Unazikausha juani halafu unazikaanga na kuwa unatafuna kama karanga
Kwa hao wanaume wanaotaka kuongeza wingi wa mbegu pamoja na tendo la ndoa kwa ujumla nashauri mbali na mbegu hizi za boga lakini wawasiliane nami niwape kirutubisho ambacho kitafanya haya kwa haraka zaidi na atapata faida zingine kemkem..
Endapo unahitaji msaada wa haraka kuhusu mambo haya ya afya basi wasiliana nami kwani tuna virutubisho ambavyo vina wingi wa virutubisho mara 10 ya vile vinavyopatikana kwenye maboga kama vile madini ya zinc
Kwa ushauri zaidi au upatikanaji wa virutubisho hivyo wasiliana nasi kwa:
Simu/whatsapp: +255716778844
BONYEZA HAPA ILI UWEZE KUCHAT NA MSHAURI WETU WA AFYA MOJA KWA MOJA WHATSAPP
0 Comments