MADHARA YA KUTOONDOA SUMU MWILINI (EFFECTS OF NOT DOING BODY DETOXIFICATION)
Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na SUMU zilizopo katika miili yetu.
Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu mwilini, lakini hufahamu kwamba hizo ndio adui wa afya zetu
Hebu nikuonyeshe leo baadhi ya vyanzo viingizavyo sumu hizi kila siku miilini mwetu,dalili na madhara yake :
VYANZO VYA SUMU MWILINI
1. Matumizi ya dawa (pharmaceuticals) mara kwa mara.Kuna mtu anakunywa antibiotics,dawa za kutuliza maumivu kila siku bila ushauri wa daktari au vipimo yaani kawa daktari mwenyewe wa mwili wake kitu ambacho ni hatari sana…
2. Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara (Smoking)
3. Uchafuzi wa mazingira na athari zake hasa kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia.
4. Ulaji wa lishe zisizo sahihi na kamili (unbalanced diet) ambazo badala ya kuondoa sumu zenyewe zinakuwa sumu mwilini.
5.Matumizi ya madawa/tiba kali kama za saratani (Chemotherapy & Radiotherapy).Kuna watu kutokana na ugonjwa ambao wanao wanatakiwa watumie dawa kila siku kama vile Wenye kisukari, presha , ,moyo,HIV n.k sasa endapo mtu huyu hatakuwa na kawaida ya kutoa sumu au masalia ya kemikali yaliyoachwa na hizo dawa anaziokunywa ni rahisi kupata matatizo kama ya figo n.k
6.Uzito mkubwa/uliopitiliza
7.Mitindo ya maisha (lifestyle) isiyozingatia afya. Mfano: Maisha yasiyo na ratiba ya kufanya mazoezi ndani yake
8.Njia za kisasa za uzazi wa mpango (zisizo za asili-sindano, vidonge nk)
DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI
1. Matatizo yasiyoisha ya ngozi. Kwa mfano chunusi,vipele,majipu sugu.(Chronic Skin problems)
2. Kushindwa kupungua kwa uzito wa mwili pamoja na juhudi zote za kuupunguza
3. Kutokupata choo au kupata choo kigumu.(Constipation)
4. Kukosa usingizi Na kujihis kuchokachoka wakati wote (Insomnia & fatigue)
5. Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara (chronic headaches)
6. Kupata miwasho ya mwilini isiyoisha (Chronic Itchings)
7. Maumivu ya viungo kama vile mgongo,goti
8. Kuwa na hasira mara kwa mara
9. Tumbo kujaa gesi na mengine ya tumbo.
MADHARA YA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI HAYA HAPA...
1. Huondoa hamu ya tendo la ndoa
2. Rahisi kupata Magonjwa/ Maambukizi katika figo
3. Rahisi kupata Magonjwa/Maambikizi ya Ini
4. Wengi Hupata Matatizo ya uzazi yakiwemo kupungua/kupoteza uwezo wa kupata watoto (ugumba)
5. Hupelekea vimbe zikiweno zile za ndani ya kizazi cha mwanamke
6. Hupelekea matatizo ya shinikizo sugu la damu (Blood Pressure Problems)
7. Husababisha Mvurugiko wa vichocheo vya mwili/homoni (Hormonal imbalance)
SULUHISHO HILI HAPA :
Kwa wewe mwenye changamoto hizo, unaweza kuanza na njia hizi kuzikabili:
1. Fanya mlo wako mmoja wa siku kuwa ni matunda pekee
2. Kula vyakula vya asili zaidi kuliko vya viwandani
3. Kunywa maji mengi kulingana na uzito wako kila siku
4. Acha/punguza chai ya rangi na Kahawa. Badala yake hamia kutumia chai yenye tangawizi au mdalasini au mchaichai.
5. Kula zaidi vyakula vyenye nyuzinyuzi (fibers) kama vile mbogamboga,parachichi, ndizi, peazi, karoti, pilipili hoho n.k
6. Funga kula japo mara 2 kwa wiki
7. Pata usingizi wa kutosha kila siku walau masaa 8
8. Acha vilevi kama pombe, madawa ya kulevya, sigara, bangi na vinginevyo
9. Jiepushe kutumia vipodozi vyenye kemikali
Kama pamoja na kutumia njia hizo bado dalili na madhara ya kujaa sumu unayaona mwilini mwako BASI nakuletea habari njema ya njia gani utumie ili kutoa sumu mwilini na itakusaidia kukupunguzia gharama na muda wako
Njia hii si nyingine bali ni kwa kutumia virutubisholishe vilivyothibitishwa usalama wake katika kuondoa sumu & madhara yake pasipo kukuachia madhara yoyote
Bidhaa hii imetengenezwa kutokana na maharagwe ya soya na unapoitumia mbali na kutoa sumu lakini mwili wako utaondokana na uchovu na kujihisi mtu mpya kabisa.
Kingine kizuri ni kwamba bidhaa hii utatoa sumu kwa njia ya kinyesi, mkojo na jasho kwahiyo hautaharisha kama dawa zingine ambazo ni hatari kwa afya yako
Dawa za kuharisha mpaka unaishiwa nguvu eti kwa madai ya kwamba unatoa sumu kuweni makini maana kinachotoka sio sumu peke yake bali na maji pia.
Kumbuka maji ni muhimu sana kwenye mwili wako, unaweza kupoteza maisha kwa kuishiwa na maji mwilini
Pindi utakapotumia bidhaa yetu utapata Faida nyingi zikiwemo zifuatazo:
● Huondoa sumu na uchafu Mwilini mwako
● Husaidia kurudisha afya ya ini na kusaidia kuondokana na magonjwa yake.
● Husaidia mwili kuweza kufyonza virutubisho kutoka kwenye chakula na kuupa Mwili afya.
● Huondoa uchovu sugu Na kuupa nguvu mwili
● Hurudisha hamu ya kula
● Huondoa madhara ya pombe na sigara
● Hulinda figo na INI lako
● Huondoa muwasho mwilini unaosababishwa na kujaa kwa sumu mwilini
● Huondoa URIC ACID mwilini ambayo ni moja ya chanzo cha magonjwa kama Baridi Yabisi n.k
Hizi ni baadhi tu ya faida ila faida zipo nyingi sana
Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake, maelezo au ushauri zaidi awasiliane nasi kwa:
Simu/whatsapp: +255716778844
BONYEZA HAPA ILI KUWASILIANA NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP
MUHIMU:
Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...
0 Comments