Unaweza Kushangaa Ulikuwa Wapi Siku Zote Kwa Kutolijua Hili Kuhusu Vidonda Vya Tumbo…
Je wajua kwamba unaweza kutibu tatizo la vidonda vya tumbo kwa kutumia juice ya bamia??
Endapo vidonda vya tumbo vinakusumbua na si vya muda mrefu sana basi napenda nikufundishe dawa moja ambayo unaweza kuitengeneza wewe mwenyewe hapo nyumbani
MAHITAJI:
-Bamia ndogo kama 8
-Blenda
-Maji nusu glass
JINSI YA KUANDAA:
Chukua bamia zako na uzikate kate vipande vidogo vidogo
Weka kwenye blenda na uweke maji nusu glass
Washa blenda na usage mchanganyiko huo wa bamia na maji mpaka uwe uji kabisa
Ukimaliza basi tumia juice hiyo kama tiba yako
Unachotakiwa kufanya ni kugawa hiyo juice kwenye glass 4 . Baada ya hapo kila glass moja utakuwa unakunywa kila baada ya masaa 3. Vizuri tumia juice hii kabla ya kula
Kwa hiyo kila siku utakunywa glass 4 na kila glass utakunywa kila baada ya masaa 3, fanya hivi kwa muda wa miezi 3 na kuendelea bila kuacha mpaka utakapopata matokeo unayoyataka
Endapo utakuwa umetumia tiba hii na bado haijakusaidia au imekusaidia kidogo basi wasiliana nami nikupatie program maalum ya vidonda vya tumbo ambayo tayari imeshaandaliwa ili kutibu vidonda hivyo hata kama ni sugu kiasi gani au vya muda mrefu kiasi gani
Kumbuka kukaa na vidonda vya tumbo muda mrefu unajiweka hatarini kupatwa na saratani ya utumbo. Tafuta suluhisho haraka sana
SULUHISHO LA KUDUMU HILI HAPA:
ANTI ULCERS PROGRAM imekua suluhisho la kudumu na baada ya kutumia mwezi mmoja mpaka miezi 2 utakuwa vizuri kabisa na unakula kila kitu . Nina uhakika utakuwa shuhuda baada ya miezi hiyo 2
Kwa ushauri zaidi au uhitaji wa tiba za uhakika za vidonda vya tumbo tena kwa muda mfupi na wala haijalishi vidonda vyako vya muda mrefu kiasi gani basi wasiliana nami sasa hivi kwa KUPIGA SIMU au kuniachia ujumbe mfupi wa kawaida au whatsapp kwa namba :
Simu/whatsapp: +255716778844
MUHIMU:
Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...
BONYEZA HAPA ILI UWEZE KUCHAT NA MSHAURI WA AFYA MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP
0 Comments