Ijue Tiba Ya Maumivu Ya Mifupa Na Maungio...SOMA MPAKA MWISHO..
___________________________
Mshauri: Salim Manoti
Simu/whatsapp: +255716778844
_____________________________
Naomba nikuulize kwanza kama huyu ni wewe...
1.Yale maumivu ya mgongo,kiuno, nyonga bado yanakusumbua???
2.Bado magoti yako yanapiga kelele kutokana na kupoteza ute??
3.Bado kuinama au kusimama kutoka kwenye kuchuchumaa ni mpaka usaidiwe na mtu au ukuta??
4.Umekula bamia na kila aina ya chakula ili kuongeza ute ute ila haijakusaidia ??
5.Unatumia muda mrefu kupanda ngazi maana kila unapopanda ngazi ni maumivu tu
Kama jibu ni NDIO yaani una changamoto moja wapo kati ya hizo au una ndugu, rafiki, jirani au mtu wako wa karibu mwenye changamoto kati ya hizo basi makala hii inakuhusu...Fuatilia mpaka mwisho ili upate SULUHISHO la KUDUMU
SABABU ZA MAUMIVU HAYA YA MIFUPA NA MAUNGIO:
■Kukosa ute ute(synovial fluid)kwenye joints kutokana kuwa na Uric Acid nyingi
■Kuwa Na Uzani mkubwa kupelekea tishu Kama Sponji zinazoitwa gegedu(cartilage kuzidiwa hivyo kupelekea mifupa kusagika
■Upungufu wa madini muhimu Calcium Ambayo hupelekea mifupa Kuwa na Uzani Mdogo
■Kukoma Kwa Hedhi Kwa Akina Mama
■Kufanya Mazoezi Ya Viungo Bila Kuzingatia Lishe Nzuri
■Umri Mkubwa,Kupata Majeraha,Kurithi
Kutokana na sababu mbalimbali,Watu wa jinsia zote hupata matatizo ya mifupa maungio na kadiri umri unavyozidi kwenda ndio watu hupata udhaifu wa mifupa na viungo kupelekea shida kama gauti,arthritis,Osteoporosis n.k
Tunatibu kwa Dawa za tibalishe Asilia Zilizofanyiwa utafiti Na Kuthibitishwa Kutatua Shida za Mifupa👇
●Zina Madini Ya Calcium ambayo ni muhimu kuongeza uhai wa mifupa na kufanya marekebisho ya majeraha
●Zina Glucosamine na chrondroitin ambazo huongeza na kusaidia uzalishwaji wa ute ute (synovial fluid)
●Zina virutubusho vingine Muhimu Kama Vile Selenium, Zinc,magnesium,sodium na Amino Acids ambayo huimarisha mifupa na joints kwa kiwango kikubwa Sana
Tiba hii utakapotumia itakusaidia kwenye:
✳Kuongeza Ute ute kwenye pingili na maungio yote mwilini kama vile magoti na sehemu zingine
✳Kuondoa maumivu ya mifupa,mgongo,kiuno ,pingili nk
✳Kulisha mifupa hivyo kukulinda na magonjwa ya mifupa kama vile mifupa kuwa mepesi au kutobokatoboka,baridi yabisi nk
✳Kurudisha rojo kwenye gwegweju(Cartlilage) hivyo kuondoa maumivu ya mifupa kusuguana
Watu wengi wamesaidika kwa hii tiba...
Lishe peke yake haiwezi kutatua tatizo lako la mifupa na maungio kwa sababu kadha wa kadha ndio maana tunakuongezea na hivi virutubisho ili uweze kupata tiba ya uhakika na halisi isiyokuwa na kemikali yoyote.
Kwa ushauri au msaada wa haraka kwa matatizo ya mifupa na maungio
Wasiliana nami kwa:
Simu/whatsapp: +255716778844
MUHIMU:
Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...
NB: Sambaza ujumbe huu kwa marafiki zako wote unaweza kuwa umewasaidia bila wewe mwenyewe kujua na ipo siku watakushukuru
BONYEZA HAPA ILI UWEZE KUCHAT NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP
0 Comments