Je Na Wewe Umekua Muhanga Wa Mvurugano Wa Homoni (Hormone imbalance) ??? Kama Jibu Ni NDIO Basi Ujumbe Huu Ni Maalum Kwako..
___________________________
Mshauri: Salim Manoti
Simu/whatsapp: +255716778844
_____________________________
Hali ya kutokuwa na uwiano sawa(hormonal imbalance) kwa wanawake hutokea pale vichocheo au homoni zinapopanda sana au kushuka sana kufikia viwango vya chini kwenye mzunguko wa damu.
Vichocheo au homoni huwa ni kemikali zinazozalishwa na tezi katika mfumo wa endocrine zinazoambia seli, tishu, pamoja na viungo, kitu gani cha kufanya.
Vichocheo(hormones) husaidia kurekebisha kazi nyingi muhimu katika mwili wako. Naomba ulifahamu hili wewe unayesoma makala hii!
Kazi muhimu za vichochezi au homoni huwa ni nyingi mno na kila mmoja anapaswa kuzielewa, nazo ni kama hizi zifuatazo:
1.Kurekebisha joto la mwili
2.Kuyeyusha mafuta mwilini
3.Kutengeneza usingizi mnono
4.Kutengeneza mzunguko wa hedhi
5.Kumfanya mtu kukua vizuri
6.Kurekebisha msongo wa mawazo
Viwango vya homoni kwa wanawake kwa kawaida hubadilika kwa nyakati fulani, kama vile kabla au wakati wa hedhi, wakati wa ujauzito au wakati wa kukoma hedhi. Na mvurugano huu wa homoni ndio chanzo kikuu cha UVIMBE KWENYE KIZAZI (Fibroids) ndio maana wimbi la tatizo hili siku hizi ni kubwa sana ila chanzo kikuu ni Mvurugano wa homoni ( Hormones imbalance )
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
1. Tumbo kujaa gesi
2.mwili kuwa mnene
3.uchovu wa mwili
4.kujisikia vibaya, mwili kutokwa na jasho
5. Kutokwa na jasho wakati wa usiku
6.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
7.Kutokushika ujauzito
8.Kuhisi kichefuchefu
9.Kukosa usingizi
10.Kuwa na huzuni
11.Kukosa hamu ya kula
12.Sauti kuwa nzito
13.Kubadirika kwa mapigo ya moyo
14.Matiti kuuma
15.Kichwa kuuma
16.Uzito kuwa mkubwa au
Uzito kupungua
17.Kuwa na harara kwenye ngozi
18.Ngozi kukauka
19.Uvimbe shingoni
20.Mifupa kudhoofika
Je, Nini Husababisha Homoni Imbalance?
Mara nyingi wanawake hupatwa na tatizo la homoni imbalance katika maeneo yanayotabirika na yanayotekea kiasili katika maisha yao(wakati wa hedhi, kabla ya kuvunja ungo, au wakati wa ujauzito na hedhi kukoma).
Lakini bado vipo visababishi vingine kama vile matumizi ya madawa mbalimbali, tabia ya mitindo ya maisha, mazingira ya kuishi, na kutokufanya kazi kwa tezi ya endocrine yaweza kuwa visababishi vingine vya homoni imbalance kwa wanawake.
Tezi za endocrine huwa ni seli zinazokuwa mwilini pote ambazo huzalisha, huhifadhi na kisha hutoa homoni kwenye mzunguko wa damu. Tezi tofauti za endocrine hurekebisha viungo mbalimbali vya mwili
Baadhi ya Visababishi vya homoni imbalance kwa wanawake ni pamoja na:
1. Vyakula visivyokuwa na virutubisho
2. Msongo mkubwa wa mawazo
3. Mafuta mengi mwilini
4. Uvimbe wa tezi ya pituitary
5. Kisukari aina ya kwanza nay a pili
6. Kuvimba kwa kongosho
7. Maambukizi sugu hasa PID
8. Tezi ya thyroid kufanya kazi sana au kushindwa kufanya kazi
9. Matumizi ya madawa ya uzazi wa mpango
10. Utumiaji wa madawa ya kurekebisha homoni
11. Uvimbe ambao huathiri tezi ya endocrine
12. Kupigwa mionzi, na n.k
Kama wewe ni muhanga wa tatizo hili basi nina habari njema kwako
Nimekua nawasaidia wanawake wengi wenye tatizo hili la mvurugano wa homoni (Hormones imbalance) kwa kutumia program yetu mpya iitwayo HORMONES PACKAGE ambayo ni mchanganyiko wa virutubisholishe vya asili na watu wengi niliowasaidia kupitia tiba hii wamerudi kwenye hali nzuri na wengine wamebeba mpaka ujauzito ningependa nikusaidie na wewe mwenye tatizo hili ili upone tatizo lako kabisa
Endapo una tatizo hili basi naomba wasiliana nasi kwa:
Simu/whatsapp: +255716778844
BONYEZA HAPA KUCHAT NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP
0 Comments