Games

6/recent/ticker-posts

Tegemea Haya Kama Umekaa Na Tatizo Hili Kwa Muda Mrefu




 Kama Hujatibu Tatizo La Tezi Dume Kwa Muda Mrefu, Basi Tegemea Haya…



Wanaume wengi hupuuza dalili wakidhani ni kawaida… lakini tatizo la tezi dume likikaa kwa muda mrefu linaweza kuleta shida kama vile ;

💢 Kukojoa kwa shida

💢 Kuamka mara nyingi usiku

💢 Maumivu wakati wa kukojoa

💢 Maambukizi ya njia ya mkojo

💢 Kushindwa kutoa mkojo vizuri

💢 Na wakati mwingine kuathiri hata afya ya figo
.
.
Usisubiri mpaka hali iwe mbaya… dalili za mapema zikianza, chukua hatua mapema
.
.
.
Kama una tatizo la tezi dume au umeanza kuona dalili za tezi dume basi usisite kuwasiliana nami ili nikusaidie kwa ushauri au tiba
.
.
.

Post a Comment

0 Comments