Games

6/recent/ticker-posts

UNASUMBUKA KUPATA UJAUZITO ??? SOMA HAPA KWANZA...

 Je Na Wewe Umekua Unasumbuka Kudaka Ujauzito??.. 

Kama jibu ni NDIO basi hii Makala nimeandika mahususi kwa ajili yako…

Wanandoa wengi wamekua wanalaumiana na hata kufikia kuchepuka baada ya kuishi muda mrefu bila kuona matunda ya ndoa( ujauzito) na sio wao tu lakini wanandugu,mawifi,mama mkwe, majirani na marafiki wanaanza kuongea chini chini kwamba wanandoa hao wana matatizo ya uzazi

Sasa ningependa kwanza nikueleweshe na nikupe mbinu za kufanya ili uweze kudaka ujauzito kwa haraka.

Kumbuka kwamba hakuna njia ambazo ni sahihi asilimia 100, lakini kujua wakati gani ushiriki tendo na katika staili ipi ni muhimu.

Lini Ushiriki Tendo la Ndoa ili Kuongeza Uwezekano wa Kushika Ujauzito haraka?

Siku nzuri kwa mwanamke kushiriki tendo la ndoa ili uongeze uwezekano wa kushika ujauzito ni katika siku za hatari (window period). Siku hizi zinajumuisha siku nne kabla ya siku ya hatari na siku tatu baada ya siku ya hatari

Staili gani ni Nzuri ili Kushika Ujauzito haraka?

Kumbuka lengo ni kufanikisha mbegu nyingi ziingie kwenye uke na zifikie yai ili mimba iweze kutungwa

Baadhi ya mikao ya kufanya tendo la ndoa huongeza wingi wa mbegu zinazoingia kwenye uke kuelekea kwenye yai

Mikao kama kuchuma mboga (mwanaume kukaa kwa nyuma) na kifo cha mende (mwanaume kukaa juu) husaidia uume kupenya zaidi kiurahisi na hivyo kurahisisha mbegu kufika kwenye mlango wa kizazi

Pia kuweka mto chini ya mgongo wakati huo unafanya tendo husaidia mbegu kuogelea kwenda kwenye uelekeo sahihi.

Mara ngapi Ufanye Tendo la Ndoa ili Kushika Ujauzito Haraka?

Pengine umewahi kusikia kwamba kufanya tendo la ndoa kila mara zinapunguza wingi wa mbegu na ubora wa mbegu.

Baadhi za tafiti zinaonesha kwamba mbegu huwa na ubora zaidi kama mwanamume akijizuia kufanya tendo la ndoa kwa siku mbili mpaka tatu.

Tafiti pia zinaonesha kwamba wanawake hushika zaidi ujauzito wanapofanya tendo la ndoa kila baada ya siku moja ama mbili.

Kufanya tendo kila siku kwenye siku za hatari itaongeza uwezekano wa mwanamke kushika mimba.

Pumzika siku zingine kisha shiriki tendo kwenye siku tano za hatari.

Je Vilainishi vinaweza Kuathiri Uwezekano wako wa Kushika Ujauzito????

Karibu theluthi mbili ya wanawake hutumia vilainishi wakati wa tendo la ndoa ili kupunguza maumivu wakati wa msuguano.

Maswali mengi ni je vilainishi hivi vina madhara kwenye mbegu za kiume?.

Tafiti zinaonesha kwamba vilainishi hivi hupunguza uwezo wa mbegu kuogelea kulifuata yai kwa asilimia 40

Dondoo zingine muhimu ili Kuongeza Uwezekano wa Kushika Ujauzito haraka.

Kufika kileleni: kwa mwanaume kumwaga mbegu ni muhimu ili kumpa ujauzito mwanamke. 

Kwa upande mwingine mwanamke siyo lazima afike kileleni ndipo ashike mimba japo mkao wake baada ya kufika kileleni husaidia mbegu kuogelea kiurahisi.

Rekebisha uzito wako: Uzito mkubwa na kitambi ama kuwa mwembamba sana kunapunguza uwezekano wa kushika mimba.

Acha uvutaji wa sigara: Uvutaji sigara kwa mwanaume hupunguza idadi ya mbegu na pia kuongeza hatari ya mimba kuharibika kwa upande wa mwanamke.

Punguza matumizi ya vyakula na vinywaji vyenye caffeine mfano kahawa.

Zaidi ya vikombe vitano vya kahawa kwa siku hupunguza ubora wa mbegu.

USHAURI:

Wenza wasilaumiane kwani tatizo linaweza kuwepo kwa kila mmoja au mmojawapo

Baadhi ya visababishi zinazokuchelewesha kushika ujauzito haraka

• Mvurugano wa hedhi (Hormones imbalance)

• Kukosa hedhi ama hedhi kuvurugika

• Uvimbe kwenye kizazi

• Maambukizi kwenye via vya uzazi-PID

• Historia ya kuharibika kwa mimba na kutoa mimba

• Kuugua tezi dume kwa mwanaume na henia

• Kutokutoa mbegu au kuwa na mbegu dhaifu kwa mwanaume

SASA…… je Upo tayari kusikia Habari njema???

Pindi utakapokuwa unafuata huo ushauri nilioandika hapo juu basi ningekushauri upate na virutubisholishe ambavyo nimekuandalia ili uweze kudaka ujauzito mapema. 

Kama umepima na umeambiwa hauna tatizo lolote au umeambiwa una tatizo basi wasiliana nami ili nikusaidie

Virutubisho ambavyo nimekuandalia vina msaada mkubwa sana kwenye suala la uzazi

Nini utegemee kwenye hivi virutubisholishe baada tu ya kuanza kutumia????

■ Hedhi yako itakaa vizuri kitu ambacho ni muhimu sana endapo unataka kunasa ujauzito

■ Itasaidia kuondoa vimbe kwenye kizazi (fibroids) au kwenye mirija (ovarian cyst) kama unazo kitu ambacho kama ukiwa nazo ndio itakuwa zinapelekea wewe kushindwa kupata ujauzito

■ Itasaidia homoni zako zikae sawa kitu ambacho kitasaidia hamu ya tendo, kufika kileleni na pia kunasa ujauzito kwa urahisi

■ Itarekebisha PH (potential hydrogen) ukeni kwa mwanamke hivyo kuruhusu mbegu za mwanaume kupenya vizuri ukeni kwa mwanamke bila kudhurika

Hizo ni baadhi tu ya faida ila zipo nyingi sana na utaziona pindi utakapoanza kutumia 

Unachotakiwa kufanya ni PIGA au TUMA Ujumbe mfupi sasa hivi kwenda namba 0716778844 ili kupata suluhisho lako la uzazi leo

MUHIMU:

Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...

BONYEZA HAPA ILI UWEZE KUCHAT NA MSHAURI WETU WA AFYA MOJA KWA MOJA WHATSAPP



Post a Comment

0 Comments