Je Na Wewe Ni Mmoja Wa Watu Wanaopata Choo Kigumu Au Choo Kama Cha Mbuzi???..Sikia Hapa Sasa…
Kati ya changamoto za afya za wagonjwa wangu ninazokutana nazo ,ni kutokupata choo na kupata choo kigumu kama cha mbuzi,na wengine hudhani ni jambo la kawaida. Kutokupata choo kwa muda wa siku 3 hadi week ni tatizo kubwa linaloweza kusababisha 90% ya magonjwa yote yasiyoambukizwa na hatimae vifo
WATU wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
Tatizo la kutopata choo linasababishwa na mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula(Digestion Systems),ambapo mmeng'enyo wa chakula,huanza chakula kinapowekwa mdomoni na unakamilika kwenye utumbo mdogo(small intestine)
Kwenye utumbo mdogo ambao una urefu wa takribani mara 10 mpaka 13 ya urefu wa mtu husika,kuna vitu vinaitwa VILLI(Villars), hivi ni kama vidole vinavyokua vinachezacheza masaa 24 ili kumeng'enya chakula
Sasa inapotokea vidole hivi vinashindwa kufanya kazi vizuri,vinasababisha chakula kisimeng'enywe vizuri na kupelekea tatizo la kutopata choo.
Sababu ya VILLI (vidole) hivyo kushindwa kufanya kazi,ni kutokana na aina ya maisha tunayoishi,hii ikijumujisha... ;
Aina ya vyakula:
Watu wengi tuna kula vyakula vya aina moja,na mara nyingi ni wanga,ngano na mafuta(carbohydrates and fats). Vyakula hivi huwa sio rahisi sana kumeng'enywa,ukizingatia mtu kama ana group (O) la damu.
Lakini pia vyakula vyenye mafuta sana,kusababisha kuziba kwa vitundu vya Villars(Villi) vinavyoruhusu chakula kilichomeng'enywa kuingia mwilini.
Sumu Dutu (free radicals):
Tumekua tukiingiza sumu nyingi sana kwenye miili yetu bila kuwa na utaratibu wowote wa kuzipunguza,kama ambavyo gari inafanyiwa service kila baada ya kilometa kadhaa, na sumu hizi tunazipata kila siku kutoka sehemu mbalimbali....
Hewa(Polluted Air):
Kumekua na uchafuzi mkubwa wa hewa,na hii ni kutokana na Moshi wa viwanda,vumbi,Moshi wa gari,lakini pia tumekua tukizungukwa na wavuta sigara.
Vyakula vingi vinawekewa mbolea na kemikali nyingi za kukuza,na hata matunda yamekua yakichomwa sindano za kemikali ili zisiharibike na kuyalazimisha kuiva kabla ya muda wake,lakini pia preservatives zinazowekwa kwenye vyakula na vinywaji.
Hivyo sumu pamoja na mafuta ya vyakula zinaenda kujipachika katikati ya Villars (vidole) na kusababisha vidole visimame(blocked) hivyo chakula hakimeng'enywi na kusababisha chakula unachokula kupitiliza moja kwa moja kwenye utumbo mkubwa na kusababisha mrundikano wa vyakula ambayo havikumeng'enywa
Mrundikano huu,unapokua kwa muda mrefu,huoza na kutengeneza gesi,ambayo hufanya tumbo kujaa gesi,au kujamba hewa na tumbo kuunguruma,lakini pia hutengeneza sumu ambazo hukwangua utumbo na kusababisha vidonda vya tumbo lakini pia kuingia kwenye system ya damu na kusambaa kila eneo la mwili,ma kusababisha magonjwa mengi
Lakini pia inapofikia wakati wa kupata choo,inakulazimu kupata choo kidogo na kigumu,ambapo itakulazimu kutumia nguvu nyingi kusukupa(push) ili choo kitoke ,kitendo hiki hupelekea maumivu makali yanayosababishwa na kupanuka kwa tundu la haja kubwa
Lakini pia husababisha kutanuka kwa misuli ya haja kubwa ambayo inapokutana na choo kigumu,hukwanguliwa na kusababisha na kupelekea kupata choo chenye damu, na kujitengeneza kwa kinyama(bawasiri) kwa ndani,ambapo kadri unapoendelea kupata choo kigumu kinyama kile huendelea kusogea mpaka kuchomoza sehemu ya tundu la haja kubwa
Na hapo ndipo tatizo linapoanza na hatimaye kupelekea kupata tatizo la BAWASIRI
DALILI ZA KUTOPATA CHOO NA BAWASIRI:
√ Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa.
√ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia.
√ Kutokea uvimbe/kinyama katika eneo la tundu la haja kubwa.
√Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana.
√ Kinyesi cha makundi makundi kama cha mbuzi.
√ Kuhisi moto wakati wa kujisaidia.
√ Kutopata choo kwa siku 2 na kuendelea.
√ Tumbo kujaa gesi na kujisaidia hewa.
√ Kuhisi maumivu ukikaa.
√ Kusinzia baada tu ya kula
√ Tumbo kuunguruma.
√ Kujamba kila wakati.
√ Kukosa hamu ya kula.
√ Mkojo wenye rangi(ambao sio mweupe kama maji)
MADHARA YA BAWASIRI NA KUTOKUPATA CHOO:
➡ Upungufu wa damu (anemia)
➡ Tatizo la kutokuweza kuhimili choo
➡ Nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
➡ Kisaikolojia
➡ Kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali
➡ Kupasuka kwa utumbo na kusababisha kifo
➡ Kitambi na uzito uliopindukia
➡ Saratani ya Utumbo(Colon Cancer)
➡ Uzito uliozidi.
➡ Maumivu ya Kiuno,Mgongo,Mabega,Kichwa,Misuli
➡ Kukosa usingizi(Insomnia)
➡ Kukosa hamu ya kula(Loss of appetite).
➡ Tumbo kuja gesi.
➡ Vidonda vya tumbo(Ulcers)
➡ Kutoa harufu mbaya mdomoni na unapojamba
NINI SULUHISHO LAKE :
Suluhisho pekee la tatizo hilo ni kusafisha mwili na kuondoa sumu(Cleansing and Detoxification) kwenye VILLARS ili viendelee kucheza cheza na kumeng'enya chakula,ili chakula kimengenywe kwa wakati na upate choo kwa wakati
Na pia kuondoa vyakula vyoote ambavyo havikumeng'enywa(undigested foods) kwenye utumbo mkubwa.
Na kitu pekee kinachoweza kufanya kazi ya kusafisha mwili na kuondoa sumu mwilini ni virutubisho (supplements) ambavyo ni muunganiko wa matunda,mboga za majani na mimea mingine vilivyolimwa na kutengenezwa bila kuwekewa kemikali zozote hatarishi na zikawekwa kwenye mfumo wa unga, kimiminika n.k ili kurahisisha utumiaji.
NB:
Kama unapata choo mara moja kwa siku,wakati Unakula mara 3 kwa siku,jua una tatizo la kutopata choo.
Maana kwa kawaida unatakiwa upate choo kulingana na idani ya milo unayokula kwa siku,lakini pia choo kinatakiwa kua kilaini,kisichonuka na chenye urefu wa ndizi mbivu ndefu
Je hapa kwenye picha choo chako ni kipi ??? Maana unaweza kujiona upo vizuri kumbe kutokana na choo chako wewe ni mgonjwa kabisa...Hebu niambie hapo kwenye picha, choo chako kipi ???
Sasa usisubiri mpaka upate tatizo,anza leo kuanza kusafisha utumbo na mwili kwa ujumla ili kuendelea kupunguza sumu na mafuta mwilini ili kujikinga na tatizo hilo.
Kwa ushauri zaidi ili kujua ni virutubisho gani kwa ajili ya kujikinga na kutatua tatizo hilo,tuwasiliane kwa ..
Simu/whatsapp: +255716778844
MUHIMU:
Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...
BONYEZA HAPA ILI UWEZE KUCHAT NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP
0 Comments