Umewahi Kusikia Ugonjwa Wa Gastroesophageal reflux disease (GERD) na jinsi unavyowatesa watu
Ni hali inayotokana na kuzidi kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.
Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatizo hili bila wao kujua muda mwingine hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa.
Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatizo hili.
.
.
DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)
Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️
1. Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula
2. Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo
3. Kuhisi kama kichwa kimevurugika na kuhisi kuchanganyikiwa
4. Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu
5. Kujisaidia choo kigumu kama cha mbuzi
6. Kuwa na wasiwasi , hofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa
7. Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini
8. Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati
9. Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili
10. Kupata kikokozi kisichoisha
11. Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara
12. Mdomo kuwa mchachu na huweza kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa
13. Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni lakini kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14. Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya)
15. Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa
16. Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito
17. Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku
18. Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri
19. Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa
20. Mwili kupata baridi na wakati mwingine kuhisi homa kabisa
21. Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo
22. Kichefuchefu na kutapika
.
.
MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1. Uvutaji wa sigara
2. Unywaji wa pombe
3. Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4. Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5. Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana
6. Kutumia baadhi ya Madawa kama vile ASPIRIN
7. Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha
Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)
8. Kuwa Mjamzito
9. Uzito kupita kiasi (Obesity)
10. Matatizo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.
.
.
MATIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD
Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumbon yamegawanyika katika aina mbili kama ifuatavyo:⤵️⤵️
1️. MATIBABU YA KISASA
Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers kama vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)
-Esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) Magnesium nk.
Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu.
.
.
2️. MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA
Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba na imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na uwezo mkubwa wa mimea mingi katika kupambana na magonjwa mbalimbali kwasababu mimea kutibu kiini cha tatzo kwa kuzifanya kuwa mpya seli za mwili hivyo kuufanya mwili kuwa na uwezo mpya katika kufanyakazi zake.
Ziko dawa nyingi asilia zenye uwezo mkubwa wa kupambana na matatizo ya ACID nyingi tumboni kama zetu ambapo tumekuandalia Package maalum kwa ajili ya kuondoa tatizo hilo kabisa
JE UNGEPENDA KUPATA SULUHISHO LA TATIZO LAKO ???
BONYEZA HAPA ILI KUCHAT NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP
0 Comments