Jinsi Ya Kurekebisha Uume Uloathitirika Kwa Punyeto Kwa Njia Ya Kiasili
1. Mafuta ya mwarobani/Neem oil.
2. Mafuta ya nyonyo/Castro oil.
3. Mafuta ya Habat Saudaa/Black Seed oil.
NB:Kila dawa hujitegemea
MAELEKEZO:
🥕 Chukua kiasi cha Mafuta katika kiganja chako kisha pakaa uume wako kwa kuchua kila cku Mara mbili kwa siku kwa muda wa mwez mmoja hata kama utajihisi umepona kabla ya mwez kufika.
MAELEZO YA FAIDA:
🥥Punyeto husababisha mgandamizo wa mfumo wa fahamu wa pembeni katika uume yaan peripheral nervous system na kupelekea usafirishwaji wa taarifa na muudo wa neva kuwa mbovu na badala yake hisia za uume kupata taarifa na kupeleka taarifa kwenye ubongo kwaajil ya shughuli mbalimbali hupungua kama vile tendo la ndoa.
🍌 Mafuta hayo hurekebisha mfumo wa fahamu katika uume na kuufanya uume kuimarika na kufanya kazi zake kwa ufanisi.
Hii inawafaa sana wale ambao punyeto haijawaathiri sana yaani wamefanya kwa muda mfupi. Ila kwa wale wenye tatizo muda mrefu wanaweza wasione matokeo ya haraka
NB:
Ili uweze kupata matokeo unayoyataka kwa kutumia njia hii basi inakupasa ufanye hivi kuanzia miezi 5 na kuedelea
Tumeamua kukuandalia kabisa kifurushi (package) nzima itakayorekebisha mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume kuanzia kwenye mzunguko wa damu ,mishipa ya damu ,misuli ya uume ,homoni ya kiume n.k. Pia ndani ya hiki kifurushi utapewa mazoezi maalum ya kufanya ili upone haraka na urudi kama zamani
Ukitumia kifurushi hiki haijalishi umekaa na tatizo kwa muda gani au umeathirika muda gani, utatumia miezi 2 utakuwa vizuri sana kama zamani ili mradi tu uwe kweli umeacha mchezo ule mchafu wa punyeto na ukae nao mbali
JE UNGEPENDA KUANZA MATIBABU YA CHANGAMOTO HII ???
Tiba tunatuma popote pale , agiza kifurushi chako leo na urudishe furaha, amani na heshima ndani ya nyumba yako
0 Comments