Games

6/recent/ticker-posts

Ujue Ugonjwa Wa GOITER/ROVU

Inawezekana Na Wewe Ulifikiri Ugonjwa Huu Ni Wa Kurogwa
.
.

Ujue Ugonjwa Wa GOITER/ROVU…
â–¶Huu ni uvimbe usio wa kawaida katika eneo la koromeo (Thyroid Gland).Uvimbe huu hutokea  mbele ya shingo


DALILI YA GOITA (ROVU)

â–¶ Uvimbe mbele ya shingo
â–¶Mama wajawazito kuharibu mimba
â–¶Kudumaa mwili na akili
â–¶Mtoto kufia tumboni
â–¶Kuzaliwa mtoto njiti (uzito pungufu au premature)
â–¶Kutetemeka na kuwa na wasiwasi.
â–¶Macho kutoka nje
.
.
SABABU ZINAZOSABABISHA GOITA
â–¶Kupungua kwa IODINE katika chakula
â–¶Lishe duni
â–¶ Kuzidi uzalishwaji wa hormone aina ya Thyroxine(Over thyrodism.

JINSI YA KUZUIA TATIZO HILI
â–¶Tumia chumvi yenye Iodine hasa ile ya baharini
â–¶Kutumia vyakula vyenye Iodine kwa wingi kama vile dagaa, maziwa nk.
â–¶Kutoa elimu ya afya kwa jamii kuhusu umuhimu wa lishe bora na
â–¶Kumpeleka mgonjwa hospitali iwapo ameshaanza dalili
.
.

Matibabu ya upungufu wa madini joto mwilini
â–¶Mgonjwa ataagiziwa dawa ya Iodine na daktari
â–¶Tumia dawa kama utakavyoagizwa na daktari
â–¶Operesheni itafanyika kama tezi imekuwa kubwa na athari zake zimeonekana

⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵
Habari njema ni kwamba kuna dawa asili na virutubisholishe ambayo itasaidia kumaliza tatizo la uvimbe wa tatizo hili la Rovu/Goita 


JE UNGEPENDA KUANZA MATIBABU YA CHANGAMOTO HII 

Bonyeza neno WHATSAPP hapo chini ili uweze kuchat na mshauri wetu na atakusaidia kuanza tiba

                                           
                                                                       WHATSAPP















Post a Comment

0 Comments