Games

6/recent/ticker-posts

Tatua Tatizo La Bawasiri Kwa Tiba Hizi Hapa

Kama Una Tatizo La Bawasiri Basi Makala Hii Itakusaidia Kupata Tiba Nzuri


Tuna  tiba nzuri ya bawasiri kwa ajili ya kuondoa tatizo hilo lakini pia nitakufundisha vitu vya kufanya ili upunguze au kuondokana na tatizo hili..
.
.
Dawa yetu ya bawasiri imeandaliwa kwa mfumo wa capsules, unga wa kunywa na mafuta ya kupaka sehemu ya tundu la haja kubwa ili kusaidia kukabiliana na changamoto za bawasiri kutoka ndani na nje...Gharama yake ni Tsh 380,000 (Dozi nzima) na nusu ni Tsh 190,000
.
.
Shuhuda Kwa Wagonjwa Wetu Walioteseka Na Bawasiri Ila Sasa Wamepona
















Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupata huduma yako

.

Simu/Whatsapp : +255716778844

.

.

BAWASIRI NI NINI...

Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au piles


Bawasiri inaweza kupelekea upungufu wa damu mwilini. Bawasiri inaweza kutibika ama kwa upasuaji ama kwa matumizi ya dawa mbadala kwa kipindi kirefu wiki hata 6 au hata zaidi kutegemea ilikuwa imejijenga kiasi gani
.
.
Bawasiri Husababishwa Na Nini ??

Hakuna sababu ya moja kwa moja inayojulikana kisayansi kwamba ndiyo husababisha bawasiri, bali mambo yafuatayo yanaweza kupelekea wewe kupatwa na ugonjwa huu:

1. Kufunga choo au kupata choo kigumu kwa muda mrefu

2. Ujauzito – wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa

3. Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile

4. Uzee – kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu

5. Sababu za kurithi – baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana

6. Kuharisha sana kwa muda mrefu

7. Kutumia vyoo vya kukaa

8. Kunyanyua vyuma vizito

9. Mfadhaiko/stress

10. Uzito na unene kupita kiasi nk
.
.
Dalili Za Bawasiri

1. Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa

2. Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia

3. Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa

4. Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa

5. Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote
.
.

Matibabu Ya Bawasiri

Matibabu hutegemea na umri wako na namna ugonjwa ulivyojijenga na kudumu, unaweza kuhitaji dawa moja au mbili au hata tatu kwa pamoja kati ya hizi zifuatazo. Kumbuka kumshirikisha daktari wako kabla ya kuamua kuzitumia hizi dawa
.
.

Zifuatazo Ni Njia Ambazo Zitakusaidia Kutatua Changamoto Ya Bawasiri Hasa Ikiwa Ipo Kwenye Hatua Za Mwanzoni

1. Habbat-Sawdaa (Black seed powder)

Chukua kijiko kikubwa kimoja cha unga wa Habbat-Sawdaa ukoroge ndani ya glasi moja ya maji na unywe yote. Fanya hivi kutwa mara mbili kwa wiki mbili mpaka tatu hivi
.
.
2. Habbat-Sawdaa Na Asali



Changanya gm 500 za unga wa Habbat-Sawdaa na nusu lita ya asali. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakula kila baada ya masaa manne. Ukimaliza kulamba kunywa glasi moja ya maji ya kunywa ya joto la kawaida
.
.

3. Aloe Vera Fresh



Chukua kipande cha jani la mmea wa Aloe vera fresh (mshubiri) na kikate ukimenye kidogo ukitumia kidole kupata kama utomvu hivi au maji maji yake na upake sehemu yenye hiyo bawasiri baada ya kuoga kutwa mara tatu. Jipake nyingi tu na uiache hivyo masaa kadhaa au mpaka utakpaoenda kuoga tena
.
.

4. Juisi ya limau (lemonade)




Chukua juisi ya limau na upake sehemu iliyoathirika yaani sehemu yenye hiyo bawasiri.. Juisi ya limau sifa yake kuu hapa ni kuondoa sumu na kuongeza kinga ya mwili kwakuwa ina vitamin C kwa wingi. Pia unywe glasi moja ya juisi hii kutwa mara kwa wiki 3 hadi mwezi mmoja.

Pia unaweza kutengeneza Juice hii kwa namna nyingine inayoandaliwa kwa kutumia limau, maji, asali na mdalasini ya unga kidogo

Inaandaliwa hivi:

*Chukua asali mbichi nusu Lita

*Chukua limau kubwa 12 au zaidi, zikate katikati kila moja. Zikamuwe moja baada ya nyingine kupata maji maji ya limau mpaka umepata ujazo wa nusu lita

*Kwenye sufuria nyingine kubwa changanya mdalasini ya unga vijiko vikubwa 10 na maji lita 2 na nusu na uchemshe kama chai kisha ipua na uchuje na usubiri ipowe iwe ya uvuguvugu kidogo

*Sasa changanya pamoja asali nusu lita, juisi au maji maji ya limau nusu lita yale ambayo ulishayakamua hapo kabla, maji ya uvuguvugu ya mdalasini lita 2 na nusu ongeza na ya maji ya kawaida lita 1 kupata lita 5, chuja vizuri. Ihifadhi katika friji isiharibike.

Kunywa robo lita (ml 250) kutwa mara 2 kwa siku 30 hivi kwa mtu mzima na glasi ndogo moja kwa siku kwa mtoto wa miaka miwili mpaka kumi

Unaweza pia kuongeza majani kidogo ya mnanaa (mint) na mbegu za shamari (fennel seeds) ili kuongezea radha na harufu nzuri

Kunywa juisi hii kila unapokuwa umepata chakula cha mchana cha nguvu au cha jioni

Unaweza pia kupakaa sehemu yenye bawasiri juisi hii ukitumia pamba kutwa mara 2

Unaweza kusikia maumivu zaidi lakini pole pole yataacha
.
.

5. Siki Ya Tufaa (Apple Vinegar)



Chukua kipande cha pamba na ukichovye ndani ya siki ya tufaa (apple cider vinegar) na ujipake kidogo kidogo eneo lenye uvimbe taratibu. Unaweza kusikia maumivu zaidi lakini jipe moyo taratibu yatapotea. Hakikisha unapata siki ya tufaa ile ya asili kabisa siyo ile iliyopita viwandani

Pia kama una bawasiri ya ndani yaani ile isiyojitokeza nje na ukaiona kwa macho moja kwa moja unashauriwa kuchanganya kijiko kidogo kimoja cha siki ya tufaa ndani ya glasi ya maji na unywe yote kutwa mara 2. Hii husaidia pia kupunguza maumivu.
.
.

6. Mafuta Ya Mnyonyo (Castor oil)


Pakaa mafuta ya nyonyo mara mbili mpaka tatu kwa siku sehemu ya tundu la haja kubwa yaani pale kwenye ile bawasiri kwa wiki tatu hadi nne hivi
.
.

7. Mafuta Ya Lozi (Almond oil)



Mafuta ya Almonds yana uwezo wa kunyonya na kulainisha bawasiri hasa ya nje. Hivyo yanalainisha hicho kiuvimbe kinachojitokeza sehemu ya haja kubwa pia kuondoa maumivu kama utakuwa ukiyapaka kila siku

Tumia pamba ukichovya ndani ya mafuta haya na upake sehemu yenye tatizo mara kadhaa kwa siku kwa wiki 3 hata mwezi mmoja
.
.


8. Mafuta Ya Mzeituni (Olive 0il)



Mafuta ya zeituni (Olive oil) ni moja ya dawa maarufu katika kusaidia watu wenye bawasiri. Mafuta haya yana viuavijasumu na huondoa pia maambukizi (infections)


Yanaweza pia kusaidia kuongeza utanukaji wa mishipa ya damu. Yanao uwezo pia wa kupunguza kinyama cha bawasiri ya nje yakitumika kwa kupaka kwa kipindi kirefu


Kunywa kijiko kidogo kimoja cha mafuta ya zeituni kila siku. Pia tumia pamba pakaa sehemu yenye tatizo nje na ndani kutwa mara 2 kila siku mpaka umepona
.
.
.

9. Kipande Cha Barafu



Barafu inasaidia kubana mishipa na hivyo kuzuia uvimbe pia kuondoa maumivu kwa haraka


Chukua kipande cha barafu na ukifunge ndani ya kitambaa kisafi na uweke moja kwa moja sehemu yenye tatizo kwa dakika 10 hivi

Fanya zoezi hili mara kadhaa katika siku. Zoezi hili linaondoa maumivu ya bawasiri na dalili zake
.
.
.

10. Mafuta Ya Nazi (Cococnut Oil)



Mafuta ya nazi ni moja ya dawa nzuri sana kwa wenye bawasiri. Mafuta ya nazi ni dawa nzuri dhidi ya bakteria, virusi na vijidudu nyemelezi sifa ambazo zinayafanya kuwa bora kwa bawasiri

Muhimu yawe ni mafuta ya asili kwa asilimia 100 bila kuongezwa kingine chochote ndani yake na hayajapita kiwandani

Safisha vizuri sehemu yenye tatizo na ukaushe na kitambaa, chukua pamba chovya mafuta ya nazi na upake sehemu yenye tatizo nje na ndani kutwa mara 3 kwa wiki kadhaa
.
.
.
11. Maziwa Ya Mbuzi (Goat Milk)



Kama unasumbuliwa na bawasiri ya ndani na inakusababishia kuwa unapata choo chenye damu unatakiwa ujaribu maziwa ya mbuzi. Hii ni moja ya dawa rahisi zaidi za bawasiri ya ndani

Chukua nusu kijiko kidogo kimoja cha unga wa mharadali (mustard) uchanganye na vijiko vikubwa 10 vya maziwa ya mbuzi na unywe kabla ya chakula cha asubuhi kila siku
.
.
.

12. Binzari/Manjano (Tumeric)



Binzari au manjano inao uwezo wa kuzuia na kupambana na ugonjwa wa bawasiri. Hivyo inaweza kutumika pia kutibu sehemu iliyoathirika na bawasiri

Namna ya kutumia: chukua binzari ya unga kijiko kidogo kimoja changanya na mafuta ya haradali na maji maji ya kitunguu maji na upate uji mzito (paste)

Pakaa moja kwa moja huu mchanganyiko sehemu yako ya utupu wa nyuma na uache huko kwa dakika kadhaa

Hii inasaidia kutibu majeraha na kupunguza uvimbe mara moja. Tumia kwa wiki kadhaa
.
.

13. Unga wa Mbegu Za Maembe (Mango Seed Powder)


Kutumia mbegu kubwa za maembe ni namna nyingine rahisi ya kutibu bawasiri hasa ya ndani inayotoa damu

Tumia kama ifuatavyo:

Chukua mbegu za maembe (kokwa) toka katika maembe yaliyoiva, zianike juani kwa siku kadhaa na zikikauka kabisa zitwange au peleka mashineni upate unga wake na uuhifadhi unga ndani ya chupa isiyopitisha hewa

Kisha changanya gramu 2 za unga huu na kiasi kidogo cha asali na ulambe yote. Fanya hivi kutwa mara 2 kwa majuma kadhaa

Kwa faida ya ziada ni kuwa Unga huu wa mbegu za maembe hutumika pia kukaza uke uliolegea au ulioongezeka sana ukubwa
.
.
.

14. Baking Soda


Tafiti nyingi zinasema baking soda ina faida kubwa pia kwa watu wenye bawasiri
Unatakiwa kuchanganya unga huu na maji kidogo kisha upake moja kwa moja sehemu yenye tatizo

Hii inasaidia kupunguza maumivu na kuondoa dalili za bawasiri. Baking soda ni ile wamama wanaitumia kupika maandazi hata mikate wakati mwingine inapatikana kwenye maduka ya kawaida hata Mangi hapo nje anayo
.
.
.
Kwanini watu wengi hawaponi bawasiri? :

Dawa peke yake haziwezi kukuletea maajabu yoyote, unaweza kupona lakini kama hutabadili vifuatavyo ugonjwa utaendelea kujirudia kwako na pengine hata kupona itakuwa shida
.
.

Bawasiri huwa haiponi haraka, walau dozi yake isiwe chini ya mwezi mmoja na ukizingatia yafuatayo kwa kipindi kirefu basi kupona ni lazima
.
.
WaTanzania wengi wanaugua bawasiri kutokana na sababu kuu mbili, moja wanakula ugali wa sembe badala ya ugali wa dona, pili hawali mbogamboga wala hawanywi maji ya kutosha kila siku na wengine hawanywi maji mpaka wasikie kiu
.
.
Ili upone bawasiri moja kwa moja kwa urahisi zaidi zingatia yafuatayo kila siku:

1. Kula vyakula vingi vyenye nyuzinyuzi (fiber) kila siku

2. Kunywa maji mengi kila siku ili kusafisha mwili na kuepuka kufunga choo

3. Kula sana mboga majani na matunda

4. Kula vyakula ambavyo havijakobolewa

5. Epuka mapenzi kinyume na maumbile

6. Fanya mazoezi ya kuchuchumaa na kukaa mara 1 kila siku (squatting)

7. Usitumie choo cha kukaa na kama utatumia basi usikae kwa muda mrefu
8. Usikae kwenye kiti masaa mengi, simama na utembee kidogo halafu ndio urudi kukaa
.
.
.
Kwa tiba nzuri ya bawasiri ambayo imeshaandaliwa unaweza kutupigia simu au kutuachia ujumbe wako whatsapp ili tuweze kukuhudumia
.
.
Gharama ya kutibu bawasiri kwa dozi moja ambayo ni ya mwezi mmoja ni Tsh 380,000
.
.
.
Simu/whatsapp : +255716778844

Post a Comment

0 Comments