Hii Ni Moja Ya Sababu Kuu Zinazosababisha Mwanaume Ashindwe Kumpa Mwanamke Ujauzito...
"UPUNGUFU WA MBEGU ZA KIUME - (LOW SPERM COUNT)"
"LOW SPERM COUNT" - "NI NINI" ?
Low sperm count ni Upungufu katika uzalishaji wa mbegu za kiume. Inaweza kuwa kutokuwepo kwa mbegu za kiume kwenye manii au uwepo wa mbegu kidogo sana katika manii
Mbegu za kiume huwa zinachunguzwa kwa kutumia kifaa maalum au darubini katika maabara, kwa kawaida mwanaume ili aweze kumpa mwanamke mimba anatakiwa atoe kiasi cha mbegu kati ya milioni ishirini hadi milioni mia nne kwa tendo, chini ya milioni ishirini huwezi kumpa mimba mwanamke.
Endapo kiwango cha mbegu zitakuwa kidogo kitaalam hali hiyo huitwa ‘Oligospermia’ na kama huna kabisa mbegu hali hiyo huitwa 'Azoospermia'
" DALILI ZA MBEGU CHACHE (LOW SPERM) "
Hakuna dalili za moja kwa moja kusema kwamba utaumwa kitu fulani, lakini dalili zifuatazo huweza kuonyesha kwamba una tatizo hili;
✳Kwanza ni kukaa katika mahusiano kwa kipindi kisichopungua mwaka mmoja na mwenza wako lakini mwenza wako hapati mimba.
✳Kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa uume kukosa nguvu’ Low sex Drive’ na ukisimama unashindwa kuendelea na kumalizia tendo ‘Erectile dysfunction’ pamoja na kuwahi kumaliza tendo la ndoa Kwa Haraka Kuliko ilivyo Kawaida ( Chini ya Dakika tano).
✳Maumivu na uvimbe wa korodani. Unakuwa na maumivu ya korodani au korodani kuvimba, maumivu ya uume na maumivu wakati wa kukojoa au uwepo wa kivimbe katika uume.
✳Kupungua au kukosa vinyweleo na ndevu kutoota pia ni dalili inayoashiria matatizo ya uzazi kwa mwanaume kwani ni ishara ya upungufu wa Kromozomu au homoni za kiume.
"JINSI TATIZO LINAVYOTOKEA"
Chanzo cha tatizo Uzalishaji wa mbegu za kiume unafuatana na ubora wa korodani kama haina tatizo lolote na kiwango bora cha mfumo wa homoni mwilini mwako
Homoni zinadhibitiwa katika ubongo na kuimarisha korodani zizalishe mbegu.
Mbegu zikishazalishwa, husafirishwa na mirija midogo sana na laini hadi katika tezi dume ’Prostate gland’ ambayo kazi yake kubwa ni kuzalisha majimaji yanayoungana na mbegu na kuzalisha manii
Matatizo katika mbegu za kiume ni :
👉Kutokuwepo kwa mbegu kunakosababishwa na hitilafu au matatizo kwenye korodani
👉Kuzalisha mbegu zenye kasoro
👉Mbegu zisizo na kasi na mbegu chache
Matatizo ya korodani husababishwa na:
👉Joto kali katika korodani
👉Maambukizi katika korodani na uume na kuumia korodani
👉Mishipa ya damu kulalia korodani ‘Variocele’ pia ni mojawapo ya tatizo kubwa la kuziba kwa mirija ya usafirishaji mbegu hizo.
"SABABU ZA KIMAZINGIRA"
Zipo pia sababu za kimazingira zinazoathiri uzalishaji wa mbegu za kiume mfano :
-Kemikali za viwandani
-Rangi za viwandani au majumbani
-Dawa za mashambani na za kuua wadudu
-Mionzi ya X- Ray
-Kukaa kwenye joto kali
-Kuvaa nguo za kubana
-Kukaa mahali kwa muda mrefu mfano watu maofisini,waendesha mabasi na malori n.k
-Kupakata kompyuta ‘(Lap top)’ kwa muda mrefu
-Matumizi ya sigara, bangi na madawa mengine ya kulevya kwa muda mrefu na ulevi uliokithiri
-Uzito mkubwa wa mwili na matatizo ya akili n.k
Upande mwingine mwanaume anaweza kuwa anazalisha mbegu za kutosha lakini anashindwa kumpa mweza wake ujauzito kutokana na matatizo aliyonayo mwenza wake kama:
✳Kuwa na acid nyingi kupita kawaida katika uzazi ambapo huuwa mbegu za kiume zikifika ndani ya kizazi
✳Kuzalisha yai ambalo halijakomaa kwa wanamke
✳Kuharibika kwa kuta za kizazi 'uterus' au kuwa dhaifu na kushindwa kuhimili au kubeba ujauzito
✳Upande mwingine wanaume kuzalisha mbegu mbovu au zenye matatizo.
Inawezekana umekua muhanga sana wa changamoto hii na naelewa maumivu unayoyapitia maana nyumba yoyote furaha yake ni kuwepo kwa mtoto..
Na ukiwa na tatizo hili wengi hawawezi kupata watoto na hii lazima itakuwa inakufedhehesha zaidi wewe mwanaume..
SULUHISHO
Ukiwa na tatizo hili kitu cha kwanza ni kujiepusha na vyanzo vyote nilivyovitaja hapo juu vinavyosababisha mbegu zako zipungue
Kitu cha pili pendelea kutafuna mbegu za maboga ambazo utakuwa umezikausha juani na kuzikaanga kidogo bila kuweka mafuta halafu unakua unatafuna kama karanga
Suluhisho lingine la kudumu ni kwa kutumia NZITO PACKAGE ambayo imekua msaada mkubwa kwa wanaume wenye mbegu chache na wanandoa wanaohitaji mtoto
Ziko njia nyingi sana za kutatua hili ila bahati kwako kusoma makala hii sababu leo utaijua njia rahisi na fupi zaidi ila salama ya kumaliza tatizo hilo iitwayo "NZITO PACKAGE"
NZITO PACKAGE kazi yake kubwa ni kuimarisha mbegu ziwe bora, nyingi ,nzito na zenye uwezo wa kuogelea haraka kukimbilia yai na kusababisha ujauzito
Lakini pia kuna faida za ZIADA za hii package ya NZITO PACKAGE ambayo utaipata pindi utakapoanza kuitumia.
Faida hizi za ziada ni kama vile:
1.Mbegu zako kuboreshwa kwa kutolewa katika hali hii dhaifu ya umajimaji na kuwa NZITO pamoja na kuongeza idadi, ujazo, nguvu & kasi yake hivyo kurahisha kumpa ujauzito mkeo na hivyo kukufanya kuonekana kidume mbele ya jamii maana udume ni kuzalisha!
2.Mifupa na misuli yako ya mwili mzima ikiwemo ya uume wako itaboreshwa hivyo kupelekea uume wako kuweza kusimama imara zaidi.
Pia NZITO package hushugulikia na kukuondolea wasiwasi wa kukakamaa kwa misuli, kuvunjika kwa mifupa na kukuepusha magonjwa ya mifupa yakiwemo Maumivu ya Kiuno na mgongo!
3.Tezi dume lako pia Afya yake itaimarika na hivyo litakuwa bora na salama zaidi ya mwanzo maana kuimarisha afya ya Tezidume ni kuimarisha ulinzi & utendaji wa tezidume.
Kwa kuwa afya ya tezi dume yako imeimarika sasa tegemea pia uwezo wako wa kufanya tendo la ndoa kuzidi kuliko awali na hivyo jina la mwanaume suruali litafika mwisho wake maana heshima NDANI itarudi!
4. Moyo wako na misuli yake itaimarishwa hivyo tegemea mapigo ya moyo wako kurudi sawia na yakianza kurudi sawia tegemea kule chini nako kuanza kurudi sawia!
ILI kupata suluhisho hili linaloenda kuboresha mbegu zako na kuwa bora za kuweza mumpa mwanamke ujauzito muda wowote , BASI cha kufanya ni hiki :
TUMA Ujumbe au PIGA SIMU sasa hivi Kwenda +255716 778844.
Karibu!
MUHIMU:
Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...
Simu/whatsapp: +255716778844
BONYEZA HAPA ILI UWEZE KUCHAT NA MSHAURI WETU MOJA KWA MOJA WHATSAPP
0 Comments