Games

6/recent/ticker-posts

Njia Nyepesi Za Kuboresha Uelewa Na Ukuaji Wa Mtoto Wako.....JIFUNZE NJIA HIZI HAPA....

Kama Na Wewe Huwa Unafanya KOSA  Hili Kwa Mwanao Basi Unamkosea Sana Mwanao...


“Toto jinga sana hili kila siku linakua la mwisho darasani”
“Toto hili halina akili kama baba yake”
“Limerithi kufeli sababu upande wa mama yake wote hawajasoma”


Hizo ni baadhi za kauli mbaya ambazo baadhi ya wazazi huzitoa pindi wakianza kuwagombeza watoto wao....Wanafikiri wanawajenga kumbe wanawaharibu kisaikolojia

NDIO.... unashangaa nini?.... Unamuharibu sana mwanao na unakua kama unampa laana mtoto wako kwa kumuongelea maneno mabaya..Wazungu wao huwaongelea watoto wao maneno mazuri ndio maana wana utofauti sana na watoto wa ki Africa.. usimtafute mchawi baadae mtoto wako akiwa mjinga kweli, mpuuzi kweli kumbuka wewe ndio ulimpa hayo maneno mabaya wakati yupo mdogo
👉Hutakiwi kuwa mzazi wa namna hiyo sababu akili ya mtoto wako hutengenezwa na wewe mzazi kwa kumpenda, kumjali,kuwa naye karibu lakini cha mwisho ambacho muhimu ni kuhakikisha anapata virutubisholishe ambavyo ni muhimu kwake vitakavyomjenga afya yake ya mwili na ubongo...kwahiyo unachotakiwa kufanya ACHA kulaani BALI tafuta SULUHISHO  kwa ajili ya mtoto wako

👉Kuna watoto ambao wanafeli darasani sababu kweli wanapenda mchezo sana Sijabisha  lakini wengine wanafeli sababu ubongo wao umekosa virutubisho muhimu na pia uoni wao darasani ni hafifu yaani hawaoni kitu kikiwa mbali yaani kuna umbali kati ya akipokaa na ubaoni halafu ni muoga kusema haoni.. matokeo yake lazima afeli

👉Nikupe mfano, shule nyingi sana hasa hizi za kayumba(za kawaida) chunguza utakuja kuona watoto wengi wanaofaulu huwa wanakaa mbele au katikati, najua utasema hawa wanafaulu sababu wanakua karibu na mwalim lakini subiri nikuambie kitu ambacho ukikifanyia kazi kwa kuchukua hatua nitakayokuelekeza utaona tofauti ya mwanao
✍ Watoto wengi ambao hukaa viti vya nyuma yaani tunasema back bencher huwa wanaumiza sana macho yao kulazimisha kuona kwenye ubao sababu ya umbali waliopo kutoka walipo mpaka ubaoni na ukiangalia labda mtoto huyu si mlaji au hapewi virutubisho vyenye Vitamin C au mafuta ya samaki ambayo ni muhimu kwa afya ya macho yake
✍ Kingine ni kwamba  wazazi wengi  mnataka watoto wenu wawe na akili darasani, wafaulu vizuri lakini hamtaki kuwapa virutubisho vitakavyochangia ubongo wao kuwa vizuri na kuwafanya waweze sasa kufaulu 
✍ Lakini unakuta mzazi anataka mtoto ale ugali,wali na chips kama wanavyokula hapo nyumbani bila kujua kuna vitu muhimu katika huo mlo mtoto kakosa halafu unataka awe darasani anafaulu sana, unataka mtoto awahi kutembea, unataka mtoto awe ana uelewa mkubwa sana.. kama una hiyo imani basi tambua UMEPIGWA NA KITU KIZITO

Hebu Sikiliza Yafuatayo Kwanza.....?
1. Kuna zile dhana potofu ambayo mtoto akichelewa kutembea unaambiwa umchape na fagio, wengine watoto wao wakichelewa kuota meno unaambiwa shangazi mtu achukue nyama aipake mate yake halafu amlambishe mtoto...Duh si ndio kuja kumuambukiza mtoto magonjwa hapo...
2. Kuna watoto wanazaliwa na matege lakini mzazi kwakua hajui nini afanye anamuacha mtoto huyo mpaka akue mtu mzima akiwa na matege yake... leo utajua siri ya kumsaidia mtoto wako mdogo mwenye dalili za matege kuondokana na tatizo hilo mapema
3. Hatukatai kwamba ufupi unaweza kutokana na urithi kutoka kwa wazazi au umri lakini kuna watoto wengine  hupata ufupi kutokana na upungufu wa madini kama ya chokaa...unakuta mtoto wako na wa jirani yako wana umri sawa ila wakisimama wa kwako anaonekana mdogo sana  na mfupi... Mzazi zinduka....
4. Wazazi wengine wanakesha mahospitali kwa ajili ya mtoto wao kuishiwa damu mara kwa mara lakini hawajui wafanye nini maskini ya MUNGU.. usijali nitakuelekeza tu
5.Wengine watoto wao wakicheza kidogo tu wamevunjika yaani mifupa yao laini sana, kila mara meno yanatoboka mara yanatoka, mtoto kila kukicha leo mafua , kesho homa yaani kila siku mtoto anaumwa tu..Mzazi  anasema oohh mwanangu karogwa sababu ana akili sana darasani ahahaha je na wewe unaamini hivyo?
6. Watoto wengi wanavaa miwani siku hizi sio kwa kupenda au fasheni ila wana uoni hafifu yaani hawaoni mbali au wengine hawaoni karibu ndio maana wanavaa miwani.. je unafikiri mpaka wakifikia utu uzima hali ya macho yao yatakuwaje?? kuna virutubisho sasa ambavyo anatakiwa umpatie ili kulinda macho yake mapema
7. Watoto wengine matatizo ya ngozi hayawaishi yaani leo ukurutu, mara vipele, mara mapunye... mzazi anahangaika madawa kila siku lakini yanapungua na kurudi kwa kasi unajua kwanini?? Endelea utapata jibu mwisho
8. Lakini inawezekana wewe ni mzazi uliochoshwa kutoa godoro kila siku sababu mtoto wako anajikojolea na kuozesha godoro... Leo utapata habari njema kwako mzazi....
9. Vyakula vilivyosheheni madini ya calcium,vitamin D, vitamin C n.k ni muhimu kwa mlo wa mtoto bila kusahau matunda mbalimbali kwa kuimarisha kinga yake na ubongo wake je mtoto wako anapenda kuvila? je wewe unampatia hivyo vyakula?
10. Wazazi wengi wanakosa muda wa kuwahudumia Watoto wao kwa sababu wanakua busy kazini na kumuacha mfanyakazi na mtoto huku dada huyo wa kazi hana elimu yoyote ya kuhusu vyakula na matunda muhimu kwa mtoto huyo..sasa suluhisho nitakalokupa halitajalisha mtoto wako kala nini siku nzima ila itaenda kumpa vitu bora ambavyo watoto wote wanatakiwa wapewe ili wakue vyema...
Swali la kujiuliza ni hili HAPA?....
 ðŸ‘‰ Je mtoto wako ana afya bora ambayo inakupa muda mzuri kufanya mambo mengine ya kimaendeleo na kukuingizia kipato au mtoto wako afya yake sio nzuri kitu ambacho kinakufanya kila siku upo naye hospitali hivyo kupelekea usifanye kazi zako za kukuingizia kipato bali kumuuguza mwanao? 
✍ Kama jibu ni kwamba unatumia muda mwingi na mtoto wako hospitalini basi naomba nisikilize kidogo kwanza
⏹ Tushaona sasa kumbe madini ya chokaa (calcium) , na vitamin mbalimbali kama vit C, D nk ni muhimu sana mtoto kupata ili aweze kukua vizuri... sasa changamoto pia inakuja je una elimu ya chakula? maana kuna vyakula ambavyo hutakiwi kuchanganya maana itazuia baadhi ya madini au vitamin zisiingie mwilini kwa mwanao hata kama anakula sana vyakula vya madini au vitamin hizo ndio maana unaambiwa hata uchanganyaji wa matunda zaidi ya 5 kwenye sahani moja ni hatari

✍ Je nikuulize swali la mwisho.... Endapo nitakuambia kuna suluhisho zuri kwa mtoto wako kupata hivyo virutubisho vyote muhimu kwa ajili ya ukuaji bora bila kuhangaika na pia suluhisho hilo hilo litasaidia mpaka vyakula alivyokula basi vile virutubisho vya hivyo vyakula viweze kufyonza vizuri na kumpa mtoto afya njema utakuwa tayari kunisikiliza?
✍ Ohh sawa kwa vile umesema NDIO upo tayari.... haya nipe dakika moja niweze kukupa habari njema

SASA BASI kwa kutambua hivi na tunajua unampenda na kumjali mtoto wako na upo tayari kumlinda kwa lolote lile basi tumeamua kukuletea TOTO PACKAGE ya kumpa mtoto wako na uzuri ni kwamba vipo kwenye mfumo wa kama pipi ,ambapo watoto wengi wamekua wanafurahia sababu wanakuwa kama wanakula pipi  na hii ni kwa sababu tumejua kwamba watoto wengi hawapendi dawa wala mbogamboga

🔘 TOTO PACKAGE ndio itakuwa msaada hata pale mtoto wako atakapokuwa amekosa virutubisho vizuri kutoka kwenye chakula ulichomlisha maana yenyewe ina madini mbalimbali na vitamins kama vile Madini ya chokaa (Calcium) , Vitamin C na Vitamin D3
Pindi mtoto wako atakapoanza package hii basi tegemea mambo mengi katika afya yake kubadilika ikiwemo:
🔘 Kama darasani anakaa dawati la nyuma kiasi kwamba analalamika haoni mbele vizuri basi TOTO PACKAGE  ni mlinzi na mboreshaji wa uoni wa macho yake hivyo haitomsumbua tena hali hiyo kumbuka shule zetu nyingi hasa hizi za kayumba watoto huwa wengi usishangae mtoto wako akawa anakaa dawati la nyuma kila siku na hali hii baada ya muda itamletea shida ya uoni wa macho yake...sasa basi suluhisho ni moja tu ..TOTO PACKAGE
🔘 Kama alikua anasumbuliwa na macho mpaka kufikia kutumia miwani basi muda si mrefu miwani ataweka pembeni
 ðŸ”˜ Kama mtoto wako anachelewa kutambaa au kutembea basi atafanya hivyo muda si mrefu kupitia TOTO PACKAGE
 ðŸ”˜ Kama alikuwa hapendi kula basi atakula sana na hatosumbua kula tena
 ðŸ”˜ Kama darasani au nyumbani sio msikivu basi atabadilika na kuwa msikivu sana
 ðŸ”˜ Kama mtoto wako alikuwa hashiki anachofundishwa shuleni basi tegemea kuona matokeo yake mazuri shuleni kuanzia kwenye daftari zake za kazi za nyumbani alizopewa shule  mpaka kwenye ripoti yake ya mtihani
🔘 Kama alikua kikojozi wakati umri wake ulishapita kuacha mambo hayo basi tegemea baada ya muda mfupi wewe mzazi utaacha kutoa magodoro juani
🔘 Kama alikua anaumwa mara kwa mara mpaka hospitali wamemzoea basi huo utakua mwisho wa kwenda mara kwa mara maana atakuwa kama watoto wengine wasioumwa mara kwa mara
🔘 Shida zote za ngozi za mtoto wako sasa basi... kama ukitaka mtoto wako awe na ngozi nzuri na yenye afya basi hii package sio ya kuikosa
🔘 Package hii itamsaidia mtoto ambaye anapungukiwa na damu mara kwa mara au yule aliyezaliwa na ugonjwa wa sicke cell
🔘 Kama mtoto wako alikuwa anasahau sahau yaani unamtuma unga dukani anaenda kuleta sabuni... habari njema ni kwamba tatizo hilo litaondolewa na TOTO PACKAGE
🔘 Usilalamike tena kuhusu mtoto wako kuwa mfupi, hakui, kadumaa nk.. kumbuka yupo mtetezi wako kwa sasa aitwaye TOTO PACKAGE
🔘 Kama mifupa yake ilikua laini kiasi kwamba unaogopa atavunjika akicheza michezo kama mpira na wenzake basi sahau tena hayo
🔘 Kama mtoto wako shingo haijakaza au viungo au ana utindio wa ubongo basi wasiliana nasi tumsaidie
🔘 Kama mtoto wako kila siku ni mgonjwa yaani kila siku wewe unaamkia mlangoni mwa daktari basi nikuambie tu package hii itamuondolea magonjwa mwanao na kumfanya awe mwenye furaha muda wote

Hizo ni baadhi tu ya faida atakazopata mwanao kwenye hii TOTO PACKAGE japo zipo nyingi Sanaa…..

Hakika kitu pekee ambacho utajutia ni kimoja...kwamba ULIKOSAJE KUIJUA HII TOTO PACKAGE MUDA WOTE HUO maana inawezekana usingekuwa umepoteza hela nyingi ulizopoteza wakati unamtafutia hili suluhisho la mwanao mpaka leo unakutana nalo kwenye hii makala…
Uzuri Wa Package Hii Watoto Wanaipenda Kwasababu  :
🔴 Ipo kwenye umbo la katuni ya wanyama  na ipo kama  pipi
🔴 Ina ladha ya chungwa na strawabery lakini pia ina maziwa kwahiyo ni tamu unapoila hivyo mtoto hatohisi kama anakula dawa kumbuka watoto hawapendi dawa wala mbogamboga ndio maana hii imekua nzuri kwao
🔴 Package moja inatumika zaidi ya mwezi mmoja kulingana na shida ya mtoto hivyo utakua umeokoa pesa nyingi sana

🔳 TOTO PACKAGE inapatikana kwa Package nzima au Nusu kulingana na tatizo la mwanao... Sasa basi Mtoa huduma baada kusikiliza shida ya mtoto wako atakushauri kama uchukue nusu au dozi nzima
🔘 Dozi nzima inaweza kukaa mwezi 1 mpaka miezi 3 lakini kama una watoto 2 au 3 wanaweza kutumia dozi hiyo pamoja ila tu kinachotakiwa ni nijue kwanza umri wa hao watoto na changamoto za kila mmoja ki afya na kama wanatumia tu kuweka afya zao vizuri basi tutashauriana unataka tuwaboreshe kwenye eneo gani ki afya.. usijali hayo tutazungumza mimi na wewe mzazi

🔘 Unachotakiwa kufanya ni rahisi sana..... chagua kifurushi unachotaka kuanza nacho hapo chini kama utachukua dozi nzima au nusu dozi....utaelekezwa pia kifurushi gani bora kwako kulingana  na changamoto za mwanao...
.
.
👉DOZI NZIMA NI TSH 280,000
👉NUSU DOZI NI TSH 190,000
.
.
         ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡

..
.
Endapo unahitaji kuwasiliana nasi kwa ajili ya tiba au ushauri basi usisite kuwasiliana nasi kwa :
.
.
Simu/whatsapp : +255 716 778 844

Tunapatikana Makumbusho Stendi Dar es salaam na kwa wateja wetu wa mikoani tunawatumieni mizigo yenu bila wasiwasi wowote


Post a Comment

0 Comments