Njia Nyepesi Za Kupona Bawasiri Sugu !!
📣 Umechoshwa Na Maumivu Ya BAWASIRI Yasiyokwisha?
💡Najua jinsi unavyosumbuka na bawasiri maana nina watu wangu wa karibu sana waliougua ugonjwa huu na niliona mateso yao..
💡Takwimu za sasa kuhusu ugonjwa huu ni kwamba katika watu 10 basi 2 au 3 walishaugua au wanaugua ugonjwa huu
💡Najua kwa kero za ugonjwa huu unatamani uondokane na ugonjwa huu kufumba na kufumbua
-------------------------------------------------------
💪Naomba nikutie moyo tu wewe unayepitia changamoto hii kwamba haupo peke yako na wala ugonjwa huu sio laana au ukufanye uwe mnyonge, hapana usiishi kinyonge
👉Kama wewe hujui kuhusu ugonjwa huu basi subiri nikupe faida kidogo kuujua ugonjwa huu..
👉BAWASIRI ni hali ambayo vena (mishipa ya damu) kwenye eneo la ndani la haja kubwa (anus) huvimba na kuwa na maumivu
Dalili za bawasiri ni pamoja na:
▶️ Maumivu wakati wa kujisaidia
▶️ Kutokwa na damu isiyo na maumivu wakati wa kujisaidia
▶️ Muwasho eneo la tundu la haja kubwa
▶️ Uvimbe eneo la tundu la haja kubwa
▶️ Kinyama eneo la tundu la haja kubwa
Na Haya Ni Mambo Yanayoweza Kupelekea Mtu Kupatwa Na Bawasiri :
▶️ Uzito kupita kiasi(Overweight), unene na kitambi
▶️ Ujauzito
▶️ Unywaji pombe
▶️ Vyoo vya kukaa, ukaaji mbaya wakati wakujisaidia
▶️ Kukaa sana sehemu ngumu
▶️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume)
▶️ Kujisaidia Choo Kigumu
▶️ Kuharisha sana
▶️ Kukaa sana sehemu moja
▶️ Kutokunywa maji ya kutosha
▶️ Kula sana nyama nyekundu
▶️ Kula sana vyakula vikavu
▶️ Kula sana pilipili
▶️ Kula udongo (Wajawazito)
▶️ Kunyanyua vitu vizito
---------------------------------
---------------------------------
🤵Nina rafiki yangu ambaye anaitwa Amos (sio jina halisi) yeye alikataga tamaa kabisa na huu ugonjwa sababu alijaribu kutafuta tiba mbalimbali lakini watu walikua wanamkatisha tamaa kwamba hao wauzaji ni wezi, waongo nk
Kwahiyo akabakia kufuata vile vitu vya kufanya kutoka kwa washauri feki kwamba tumia ndimu mara tumia asali nk lakini bila kujua kila dawa inategemea na ukubwa wa huo ugonjwa
Haiwezekani mtu ana bawasiri ya miaka 5 halafu umpe ushauri atumie tiba za asali ambazo wanatumia watu weye bawasiri iliyoanza wiki moja.. na hilo ndio kosa ambalo wanafanya wagonjwa wengi sana .. yaani wanataka matokeo makubwa kwa ugonjwa uliokaa miaka ingi mwilini ila wanahitaji tiba iwe bei rahisi au zile wanazoona mitandaoni ambazo hazijui ukubwa wa tatizo
Sasa AMOS akawa ameangukia kwenye huo mtego, akaishia kutengeneza kila dawa aliyoelekeza lakini tatizo likawa ndio kwanza linazidi mpaka ikafikia wakati akakata tamaa na kutoamini dawa yoyote na pia alishajiaminisha kwamba hakuna dawa za bawasiri
--------------------------------------------------------------------------------
Lakini watu wanaofaya makosa kama ya AMOS wapo wengi sana, kuna watu wanawakatisha tamaa, wengine hawamalizi dozi, wengine kabla hawajamaliza dozi hii washahamia kwa mtu mwingine awatibie , mwisho anasema dawa zote haziponyeshi
ILA sasa.... mii siwalaumu kabisa hawa watu wote wa namna hii.. wala sikumlaumu AMOS.... ILA UKWELI ni kwamba AMOS alikuwa amekosa ELIMU SAHIHI na pia ALIKOSA usimamizi wa kitaalam kutoka kwa mshauri makini anayeujua ugonjwa huu vizuri
AMOS alipoteza hela nyingi sana kutafuta tiba ya bawasiri lakini pia aliendelea kutafuta tiba za magonjwa mengine ambayo yalianza kujitokeza sababu ya bawasii na yeye hakugundua kama chanzo ni BAWASIRI aliyonayo . AMOS alianza kugundua hamu ya tendo imepungua, uume wake umekua legelege lakini sasa kwakua hakujua chanzo nini ikabidi aanze kusaka dawa za kuongeza nguvu za kiume
Aisee haikuwa kazi rahisi maana huko ndipo alipoteza hela nyingi sana yaani watoto wa mjini wanasema alipigwa kama mpira wa kona, kila aliposikia kuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume alienda.. LAKINI sasa hakupata nafuu hata kidogo zaidi ya kupoteza HELA nyingi
Unajua Kwanini ???? .....
.
.
.
Ewaaaa unachokiwaza upo sahihi...NDIO sababu kubwa ni kwamba alikua anapoteza muda wake mwingi kuhangaika na kutaka kutatua tatizo lake la UPUNGUFU wa NGUVU ZA KIUME bila kutafuta CHANZO cha hizo nguvu na hamu kupungua kwanza....
Sasa wakina AMOS wapo wengi sana ila kwa ufupi nilimsaidia AMOS kupona tatizo lake la bawasiri kupitia package ya bawasiri iitwayo PILES TREATMENT PROGRAM na alipoanza kutumia akaona kweli kuna tofauti kubwa na hata yale maumivu aliyokuwa nayo yaliondoka ndani ya muda mfupi tu tangu aanze tiba
Pia kwenye masuala yake ya chumbani... namshukuru MUNGU anazidi kumsimamia AMOS maana nilimpa mazoezi ya kurudisha nguvu za kiume na pia nimemwingiza kwenye program maalum ya kumfanya awe zaidi ya awali kitandani .. na hii yote ni baada ya kutibia ile BAWASIRI yake maana ndio ilikua chanzo ya upungufu wa nguvu za kiume na hamu ya tendo la ndoa
Najua kupitia AMOS umejifunza kitu, ila sasa nisiwe mchoyo nataka kukuzawadia na wewe njia 3 ambazo unaweza kuzifanya ukiwa nyumbani kwako kama una tatizo hili la bawasiri LAKINI hizi njia zinawafaa sana watu wenye tatizo hili la BAWASIRI la muda mfupi yaani mwezi 1-3 japo hata wewe mwenye tatizo la muda mrefu unaweza kujaribu nina imani itakusaidia japo kidogo
.
.
Njia Ya KWANZA
✍Changanya gm 500 za unga wa Habbat-Sawdaa na nusu lita ya asali. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakula kila baada ya masaa manne. Ukimaliza kulamba kunywa glasi moja ya maji ya kunywa ya joto la kawaida
.
.
.
Njia Ya PILI
✍Pakaa mafuta ya nyonyo mara mbili mpaka tatu kwa siku sehemu ya utupu wako wa nyuma kwa wiki tatu hadi nne hivi
.
.
.
Njia Ya TATU
✍ Kwa wale ambao wana bawasiri yenye maumivu makubwa sana kutokana na uvimbe au kinyama basi tumia njia hii ya kukalia maji ya uvuguvugu yenye joto kali yaani kwa kifupi tuseme maji yenye moto lakini yasiwe yamoto yenye kuunguza ili kupunguza maumivu na uvimbe kidogo
Kalia maji haya yenye umoto kwa muda wa dakika 10-15 mara mbili au tatu kwa siku
--------------------------------------------------------
NB: Endapo una kinyama tu na hakina maumivu yoyote basi TUMIA njia hii ya kukalia maji yenye umoto halafu baada ya hapo tumia mafuta ya habbat sauda, mnyoyo au ya mzeituni halafu uwe unafaya kama una masaji kinyama hicho kila usiku na asubuhi ukipata muda.. na kama hukipendi kabisa basi unaweza kuanza tiba yetu ambayo kuna mafuta maalum ya kukipaka hicho kinyama pamoja na dawa maalum ya kurekebisha hiyo mishipa iliyopasuka na kuleta hicho kinyama sababu kinyama maana yake ni mishipa iliyopasuka na ikakusanyika pamoja na kutengeneza kinyama ILA kama hii utashindwa basi nenda hospitali wakakikate...kukikata SIO suluhisho la kudumu , kitarudi tena kama hutabadilika kwenye baadhi vya vyanzo vya baawasiri na kutibia bawasiri kuanzia kule ndani...Na ukiona una kinyama usidhani kipo kimoja au viwili tu kwakua unaviona kwa macho, vingine vipo ndani na vinazidi kutokea..
.
.
.
Kwa wale ambao bawasiri yao imefikia pabaya kama vile...
1.Wanapata maumivu makali sana
2.Wanatoka damu sehemu ya tundu la haja kubwa
3.Wana uvimbe wenye maumivu sehemu ya tundu la haja kubwa
4.Wana kinyama kinachotoka na kurudi sehemuu ya tundu la haja kubwa
👌Nina Habari njema kwenu kwamba hata nyie mkombozi wenu ni PILES TREATMENT PROGRAM..Program hii imeshawasaidia watu wengi ambao wana bawasiri ya kawaida na ile BAWASIRI SUGU
👌Wengi walianza hii program kama wanafanya test tu yaani walikua hawana uhakika sababu washatumia dawa nyingi na pia washapoteza hela nyingi ila niliwaomba waamini na waanze tiba, HUWEZI kuamini sasa hivi wanafurahia maisha na wao ndio wamekua soko langu maana kila wanayemkuta mwenye tatizo hilo wanamuunganisha na mimi moja kwa moja
Kwenye PILES TREATMENT PROGRAM itakusaidia ...
1.Kuondoa maumivu kabisa
2.Kuondoa uvimbe au kile kinyama kinachotoka wakati wa haja na kurudi chenyewe
3.Kama ulikua unatokwa na damu wakati wa haja au wakati umekaa basi hilo litaisha mara moja
4.Miwasho yote itaondoka eneo la tundu la haja kubwa
5.Utapata choo laini mpaka utafurahia kwenda chooni
Kwanini uchague hii program yetu na Sio PROGRAM zingine..... Sababu ni kama hizi zifuatazo..
Kwenye hii program utafaidika kwa vitu vifuatavyo:
🔴Utasimamiwa vizuri wakati upo kwenye tiba
🔴Utapewa Elimu nzuri ya ugonjwa huu
🔴Utaingizwa kwenye program ya elimu ya afya na kutumiwa dondoo za afya
🔴Utapewa mbinu za kujikinga na kujitibu BAWASIRI ili isikurudie
🔴Utapewa muongozo wa lishe kwa ugonjwa huu
Hebu tuangalie baadhi ya shuhuda za ndugu zetu ambao wametumiana wengine ndio wapo kwenye tiba si muda mrefu tangu waanze tiba yetu ya PILES TREATMENT PACKAGE
\
Wagonjwa wengi wa tatizo la bawasiri kuna kitu kikubwa sana hawakijui...
.
LEO nakuhabarisha hili na najua wengi hamjawahi kuambiwa hata na madaktari wenu..
Watu wengi hawaponi BAWASIRI au inajirudia mara kwa mara `sababu wengi wanakua na vidonda vya tumbo bila kujua au wanajijua ILA hawajui kama mgonjwa mwenye bawasiri kama ana vidonda vya tumbo kupona kwake ni ndoto za alinacha.. lazima utibie vyote ili BAWASIRI ili upone haraka na isikurudie tena
Najua unajiuliza ufanyeje ili na wewe uwe miongoni na wanaotaka kuanza tiba hii ya bawasiri...usiumize kichwa...
IPO hivi ni rahisi sana kuanza hii program yetu.. unachotakiwa ni kulipia dozi yako leo ili uanze..
Piga simu au utuachie ujumbe whatsapp ili tusikilize changamoto yako kwanza halafu tutakushauri tiba ya kutumia
Dozi nzima ya siku 30 ni Tsh 290,000 kwa mtu ambaye hana vidonda vya tumbo..(BEI YA OFA YA MWEZI HUU) ila kama una vidonda vya tumbo tutakupa na dawa ya vidonda vya tumbo muhimu ni kumwambia mtoa huduma kwamba una vidonda vya tumbo pia
.
.
Usihofu kama hutaweza kulipia hela ya dozi nzima kwa pamoja.. unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na mshauri wetu ili upate maelezo vizuri jinsi ya kuanza dozi..yeye atakuelewesha jinsi ya kuanza dozi...Unaweza kuanza na Tsh 290,000 - Tsh 165,000.PIGA simu kama utaweza kuanza kiwango chochote kati ya hicho kilichoanishwa
Hivyo Lipia Sasa Hivi TSH 290,000 kwenda
Namba : +255716778844
Jina : Salim Alimanoti
Au unaweza kuwasiliana na mshauri kwa
Kupiga simu au kutuma ujumbe mfupi :+255716778844
Au bonyeza kitufe hapo chini kilichoandikwa " Chat Na Mshauri hapa " hapo chini ili ikulete whatsapp uweze kuchat na mshauri wetu
----------------------------------------------------
UKIANZA DOZI YETU LEO HUTAPOTEZA CHOCHOTE..
Kwa Sababu.....
✅Itakuwa mwanzo wa mahusiano yetu ya muda mrefu kwahiyo tutakushika mkono kuanzia mwanzo mpk utakapopona
✅Na baada ya kupona utakuwa tunakutumia makala za afya mara kwa mara zitakazokusaidia kujenga afya yako na kukuepusha na maradhi mbalimbali
✅Lengo hapa ni upate matokeo ya haraka kama ilivyo kwa wenzako
KUMBUKA: TIBA hii ni kwa watu wachache sana AMBAO ni wale waliochoshwa na tatizo hili na wale ambao wapo tayari kupata suluhisho la kudumu TU
0 Comments