Hii Ndio Sababu KUBWA Watu Wengi Ikiwemo Wakubwa Na Watoto Kuumwa Ugonjwa HUU..
NDIO Je umewahi kusikia kusikia kuhusu INI kuzingirwa na mafuta ( FATTY LIVER )
Asilimia 60 ya watu wana ugonjwa huu lakini hawajijui ila nikuambie tu kimoja kama wewe unatumia vyakula vya wanga sana, sukari sana, pombe sana basi unaweza kuwa ni mmoja wa watu wenye tatizo hili bila kujijua
.
.
Ugonjwa huu umegawanyika maeneo makuu mawili
1. Alcoholic Fatty Liver
Ini linajaa mafuta kwa sababu ya Unywaji wa pombe kupindukia
2. Non Alcoholic fatty Liver
Ini linajaa mafuta kwa sababu ya ulaji kupindukia wa Sukari na wanga, Juisi,soda,sukari kavu, chapati,mikate nk
"Ndio maana watoto wetu wanapata Non Alcoholic Fatty Liver wakati hata pombe hawanywi, Pombe wanaotumia watoto ni sukari"
SASA Subiri Nikuelekeze Jinsi Ugonjwa Huu Unavyokutokea...
Kwanza Kwa Ufupi Tujue Kazi Za INI...
1.Hutumika Kuhifadhi vitu mbalimbali kama vile sukari ya ziada kwa kazi za baadae (Nishati ya Nguvu)
2.Hutumika Kuhifadhi Vitamini kama Vit A,D,E na K (Fat soluble vitamins) kwa ajili ya kuzitumia baadae
3.Inaweza kuhifadhi Damu asilimia 10 ili iweze kutumika baadae endapo itahitajika
4.Kuondoa Sumu mwilini na kwenye kitu chochote ulichokila
5.Linafanya kazi ya kukunusuru Sukari inapopanda sana au inaposhuka sana
6.Huweka uwiano sawa wa kiwango cha Lehemu (cholesterol) kwenye damu
7.Linasaidia kutengeneza NYONGO ambayo inatusaidia mfumo wa chakula uweze kumeng'enya vizuri vyakula vya mafuta
.
.
HEBU sasa tuone jinsi sukari,pombe na wanga unavyosababisha INI Kutapaa aua kuzingirwa na Mafuta na kupelekea kuleta magonjwa mengi ya INI..
.
IPO hivi..Tukianza na POMBE...
✅Pombe huweka msukumo mkubwa kwenye INI....Ukinywa pombe basi kiasi kidogo sana cha hiyo pombe kitatumiwa na INI na kiasi kilichobakia kitabadilishwa na kuwa mafuta.. sasa hayo mafuta yatakuwa yamekaa juu ya hilo INI...
✅Mafuta hayo juu ya INI yataanza kupambana na kinga ya INI lako... Mpambano huo ukiwa unaendelea basi utasababisha ugonjwa uitwao Alcoholic Fatty Liver Disease
✅Na ugonjwa huu sasa utaanza kuharibu seli za INI na kupelekea makovu mengi kwenye INI na hapo utakuwa umesababisha ugonjwa mkubwa sana wa INI uitwao Liver Cirrhosis
.
.
Haya TWENDE kwenye Matumizi mabaya ya SUKARI na vyakula vya WANGA...
📣Mchakato wa hii ni kama ule wa pombe ila tofauti yake ni ndogo sana kwamba ile ya kwanza imesababishwa na unywaji wa pombe kupita kiasi na hii imesababishwa na ulaji au matumizi ya sukari na wanga kwa wingi ila madhara ni yale yale...
📣Ndio maana tunasema mnywaji pombe na mtumiaji wa sukari kwa wingi, juice ya matunda yenye sukari nyingi wote hawana tofauti kwenye huu ugonjwa.. ndio maana pia tunasema watoto wetu wengi wanaopewa juice za viwandani au za kutegeneza zenye sukari nyingi hawana tofauti na walevi wa pombe
📣Vitu vyenye Sukari Na Wanga ukila huwa navyo hugeuzwa kuwa mafuta. Na kiasi kidogo cha mafuta hayo huhifadhiwa kwenye INI na kilichobaki hubaki kimetapakaa juu ya INI na baadae kuleta shida
💡CHA KUJIFUNZA HAPA NI HIKI...
Mrundikano wa mafuta ya ziada kuzunguka INI unatokana na sehemu kuu mbili :
1.Pombe kupindukia ambayo baadae husababisha ugonjwa wa INI uitwao Alcoholic Fatty Liver Disease
2.Matumizi makubwa ya Sukari na Wanga baadae husababisha ugonjwa wa INI uitwao Non Alcoholic Fatty Liver Disease .. Na huu ndio umekua kinara sana kuanzia kwa watoto wadogo mpaka watu wazima
NB: Hakuna mrundikano wa mafuta kuzunguka INI unaosababishwa kwa kula Parachichi,Nazi,Mayai,Nyama kama wengine wanavyodanganywa huko nje....WANGA na SUKARI ndio adui zako namba moja na sio Protein
.
.
Je Miwa,Asali,Tende,Juice Ya Kutengeneza Nazo Zina Madhara??
JIBU langu najua litakushtua... NDIO zina madhara....
UNABISHA nini sasa? haya sikiliza nikuambie kitu kingine cha kukushtua lakini ndio ukweli...
Sukari ya kwenye vyakula vya wanga (wali, ugali, maandazi nk) ina hatari ndogo kuliko ile ya kwenye juice ya miwa,soda,juice za kiwandani,juice za kutengeneza senye sukari nyingi,tende,asali nk
NDIO.. usishangae nisikilize nikuambie kitu hapa ufahamu...
Sukari ya kwenye matunda,miwa,asali,tende nk tunasema ni sukari iitwayo Fructose ambayo hii unapoila inaenda kushughulikiwa moja kwa moja kwenye INI na sio kwenye seli kama ilivyo Glucose..na POMBE hivyo hivyo ukinywa inaenda moja kwa moja kushuhulikiwa kwenye INI..
🔔Kwahiyo utumiaji wa sukari hii ya Fructose kutoka kwenye hayo matunda au pombe mara kwa mara na kuwa nyingi sana katika INI husababisha matatizo
💡Kama nilivyosema hapo awali ni kwamba INI itachukua kiasi kidogo tu ya sukari hii na kuihifadhi na iliyobakia kuigeuza kuwa mafuta.. sasa mafuta hayo yataanza kuzagaa kulizunguka INI na kusababisha huo ugonjwa wa INI kuzungukwa na Mafuta (Fatty Liver Disease)
Kwahiyo kama wewe ni au mtoto wako ni watumiaji wa hivyo vitu basi itapelekea kuwa na uzito mkubwa , vitambi na kuhatarisha INI lako...
🔊Habari Njema Ni Kwamba....
INI ukiliumiza mara kwa mara kwa kutumia pombe sana, sukari na vyakula vya wanga mara kwa mara SIO kwamba INI lile litaacha kufanya kazi bali ni kwamba litaendelea kujikongoja kufanya kazi sababu INI huwa linajiponya lenyewe linapokuwa limejeruhiwa japo jeraha moja huchukua miaka 3 au zaidi kupona hasa kinga yako ya mwili ikiwa haipo vizuri sana na hutahisi chochote mwilini mwako...ILA SASA.. HABARI MBAYA NI HII HAPA...
Endapo utaliumiza mara nyingi INI lako na kinga yako ya mwili ipo chini basi litafikia wakati litashindwa kabisa kufanya kazi au kupata saratani na hapo ndio mwisho wa INI lako
.
.
Je wewe mpaka leo umeliumiza INI lako mara ngapi? HUJUI...
NDIO ni ngumu mtu kujua kaliumiza INI lake mara ngapi na lipo kwenye hatua gani yaani nzuri au mbaya... na ukiangalia tulivyokuwa wavivu kwenda kufanya vipimo vya mwili mzima huko hospitali ndio kabisa..
LAKINI kuna kitu natamani ku share na wewe leo hii..
NISIKILIZE.......
Kwakua ulaji wetu umekua mbovu kiasi kwamba tunaumiza INI letu ambalo ni kiungo kikubwa na chenye kazi zaidi ya 500 mwilini mwetu kwanini tusikilinde sasa hiki kiungo????
Najua Unajiuliza Tunakilindaje Kiungo Hiki Muhimu ??
Sawa Jibu lako ni hili hapa chini...
Kwa watoto wadogo tutakupa ushauri tu jinsi gani uwalinde kwa kuwapa watoto hao diet nzuri utakayokuwa unawaandalia hapo nyumbani kwako na kuepuka kuwapa vitu ambavyo vinaweza kuwaletea madhara baadae...
Kwa watu wazima Kuna program maalum ya kulinda INI iitwayo LIVER PROTECTOR ambayo nimekua nasaidia watu wengi sana hasa wale ambao walikua walevi sana, wale watumiajia wa vyakula vya wanga sana na wale walaji wa vyakula vya sukari kwa sana
Kwenye Hii Program Utafaidika Na Vitu Vifuatavyo :
1.Utapewa kirutubisho maalum kitakachokusaidia kwenye masuala makuu 5 :
🔰Kupunguza sumu mwilini mwako hivyo kukuepusha na maradhi yenye usugu
🔰Kulinda INI lako hata kama limeanza kuwa na shida
🔰Itakusaidia kwenye ubongo wako(maana kuna uhusiano mkubwa wa ubongo wako kutkufanya kazi vizuri kama INI lako lina shida)
🔰Kitakusaidia kwenye mfumo wako wa mzunguko wa damu
🔰Itaweka sawa kiwango kizuri kinachotakiwa cha Lehemu (cholesterol level)
NB: Kama utakuwa tayari una tatizo hili la Fatty Liver Disease basi kuna tiba nyingine utaongezewa
2.Utapewa Diet nzuri ya kula.. watu wengi wakisikia diet wanajua wanatakiwa wale kidogo. HAPANA... utakula na kushiba vizuri tu ila kwenye mfumo maalum ambao hautakuletea maradhi...
Faida za hii PROGRAM ni kwamba
✍Utaondoa sumu ulizoingiza mwilini hivyo kufanya mwili uanze kufanya kazi zake vizuri
✍Utaweka kiwango kizuri cha lehemu (cholesterol) katika damu hivyo kujiepusha na magojwa ya moyo
✍Utapata elimu nzuri ya vyakula na matunda mazuri kwa afya yako
✍Utaweza kupunguza mwili wako kwa diet utakayofundishwa ambayo ni rahisi kutengeneza nyumbani
Je nitawezaje kuanza program hii ? Najua unajiuliza hilo swali si ndio??
JIBU ni kwamba bonyeza hiyo link hapo chini iliyoandikwa Bonyeza hapa kuanza Liver Protector Program na itakupeleka moja kwa moja kwenye whatsapp yetu na ukifika whatsapp anza kwa kuandika LIVER PROTECTOR PROGRAM
Gharama Ya Program Hii Inaanzia Tsh 195,000
Kama upo tayari kuanza PROGRAM hii ...
BONYEZA HAPO CHINI
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
0 Comments