Ukweli ni kwamba kinachowasumbua ni P.I.D ambacho ni kifupisho cha neno PELVIC INFLAMATORY DISEASE ambayo maana yake ni maaambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke
.
.
Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (P.I.D)
Maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke hujulikana kwa kitaalamu kama ‘Pelvic Inflamatory Diseases’ yaani P.I.D
P.I.D ni ugonjwa mpya katika jamii yetu na ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake
Maambukizi haya huweza kuhusisha shingo ya uzazi, yanaweza kuwa pia kwenye nyama ya mfuko wa uzazi, na katika mirija ya uzazi
NI NINI HASA HUSABABISHA P.I.D?
Huu ni ugonjwa wa unaotokana na bakteria wanaojulikana kwa kitaalamu bakteria wa jamii ya ‘Neisseria Gonorrhoeae’ na kundi lingine la bakteria hawa hujulikana kama ‘Chlamydia trachomatis’
Makundi haya mawili ya bakteria ndiyo wanahusika kwa sehemu kubwa na ugonjwa huu wa P.I.D.
.
.
JE P.I.D HUAMBUKIZWAJE?
Zipo njia kadhaa ambazo wanawake wanaweza kuambukizwa ugonjwa wa P.I.D:
Baadhi ya hizo njia ni pamoja na:
1. Kushiriki tendo la ndoa bila kinga
2. Maambukizi katika njia ya uzazi baada ya kujifungua
3. Kutoa ujauzito kwa njia zisizo salama
4. Baadhi ya dawa za uzazi wa mpango
5. Kuwa na wapenzi wengi
6. Kuambukizwa kupitia damu yenye vimelea vya PID hasa katika harakati za upasuaji nk.
.
.
DALILI ZA P.I.D
Wapo baadhi ya wanawake ambao wanaweza kuwa na ugonjwa huu na wasionyeshe dalili wala ishara zozote za kuwa nao
Mwanamke akianza kuonyesha dalili za ugonjwa wa P.I.D anaweza:
1. Kuhisi maumivu ya tumbo hasa maumivu chini ya kitovu
2. Kutokewa na maumivu ya mgongo mara kwa mara
3. Kupata utoko mchafu mweupe au wa njano sehemu za siri ambao huambatana na harufu mbaya kama shombo ya samaki
4. Kupata maumivu wakati wa kukojoa
5. Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
6. Kupata damu bila mpangilio akiwa kwenye siku zake
7. Kuwa na homa mara kwa mara
8. Kichefuchefu
9. Kutapika
MADHARA YA P.I.D:
P.I.D inaweza kukuletea madhara yafuatayo usipochukuwa hatua ya kutibu tatizo hili mapema
a) Inavuruga homoni
b) Inavuruga mzunguko wa hedhi
c) Inasababisha uke kuwa mkavu
d) Inaondoa ute ute wa uzazi (ovulation)
e) Mirija ya uzazi itajaa maji
f) Mirija ya uzazi kuziba
g) Kuvimba mirija ya uzazi
h) Inaweza kukuletea saratani ya shingo ya kizazi
i) Inaweza kukufanya kuwa mgumba
j) Ugumba, mimba kutoka mara kwa mara, kuzaa mtoto njiti au mwenye uzito mdogo
MAMBO MENGINE MUHIMU YA KUZINGATIA:
🔰Kula zaidi matunda na mboga za majani
🔰Kunywa maji mengi kila siku
🔰Fanya mazoezi ya viungo kila siku
🔰Acha soda na juisi yoyote ya dukani
🔰Acha sukari na utumie asali badala yake
🔰Acha ice cream
🔰Acha vyakula vya kuokwa kama vile mikate, biskuti, keki nk
🔰Acha vilevi vyote
🔰Acha chai ya rangi na kahawa
🔰Kuwa msafi daima
🔰Usifanye mapenzi kinyume na maumbile
🔰Kuwa na mpenzi mmoja
🔰Safisha sehemu zako za siri kila baada ya kushiriki tendo la ndoa
🔰Nawa mikono na sabuni kila ukitoka kupata haja ndogo au kubwa – bakteria mwingine ajulikanaye kama ‘E.coli’ ambaye hupatikana kwenye kinyesi anahusika pia na ugonjwa wa P.I.D
🔰Usishiriki tendo la ndoa ukiwa kwenye siku zako
🔰Jiepushe na magonjwa ya zinaa
🔰Tembea juani lisaa limoja ukiwa wazi sehemu kubwa ya mwili wako kila siku
.
.
Nisikilize Kwa Umakini...
🔰Kuwa na P.I.D haimaanishi huwezi kupata ujauzito...HAPANA...ILA ipo hivi.....
🔰Ukiwa na P.I.D unaweza ukahangaika sana kupata ujauzito na usiupate......ila wengine hupata ujauzito wakiwa na hiyo P.I.D ila wanachopitia ni kwamba mimba zinatoka mara kwa mara
🔰Wengine mimba zao hazitoki ila wanajifungua watoto kabla ya muda unaohitajika (Njiti).. Na wengine hujifungua salama tu ila watoto wao huwa na uzito mdogo sana (under weight)
🔰SASA kwanini upitie yote hayo? USHAURI wangu kwako unabaki kwamba hakikisha unatibu P.I.D kabla hujabeba ujauzito ili kukuepusha na hayo yote pamoja na madhara mengine kwa mtoto
.
.
NINI KIFANYIKE KUTIBU P.I.D , KUEPUSHA KUKOSA UJAUZITO NA MIMBA KUHARIBIKA....??
.
.
JIBU NI KWAMBA UPATE VIFUATAVYO:
📣Upate virutubisholishe vya kuongeza rutuba ya mayai yako
📣Upate virutubisho vya kuimarisha misuli ya kizazi maana pengine hii ndio sababu kubwa ya mimba kubaribika
📣Virutubisho vya kuweka sawa mfumo wa homoni ili ukibeba mimba zifanye kazi ya kulea mimba( estrogen na progesterone)
📣Virutubisho vya kusawazisha PH acid ya uke
📣Virutubisho vya kurekebisha kinga ya mwili
📣Virutubisho vya kuondoa uchakavu wa viungo vya uzazi
📣Unaweza kutumia Mtindi usiokuwa na sukari, Baking soda au kitunguu thom mara kwa mara maana huwa inasaidia kupunguza ugonjwa huu usizidi kuleta madhara zaidi
.
.
MATIBABU
Kwa shida hii ya P.I.D nione nikusaidie maana nimeshawasaidia wanawake wengi sana na wamepona kabisa. Dozi inategemea na ukubwa wa tatizo hivyo inatofautiana kati ya mtu na mtu
Package yetu iitwayo P.I.D PACKAGE ni mchanganyiko wa virutubisho na vitu asili ambayo ukitumia utapata majibu ya haraka sana.
Pia utapewa maelekezo ya vitu vya kutumia wakati upo kwenye tiba na utafuatiliwa tangu unaanza dozi mpaka unamaliza. Mtoa huduma wetu atakuwa bega kwa bega na wewe
.
.
Tegemea Yafuatayo Baada Ya Kuanza Tiba Yetu...
🔰Uchafu wote utaisha kuanzia siku 3-5 za mwanzo hivyo itakupa uhuru na kujiamini hata ukiwa na mpenzi wako, Kumbuka uchafu umekua kero sana kwa wanaume ambao wake zao wanatokwa na huo uchafu
🔰Hutokuwa na maumivu tena wakati wa tendo hivyo itapelekea ufurahie tendo la ndoa na pia kumfanya mumeo aweze kufurahia zaidi tendo lile. Wanaume hawafurahii tendo endapo mwanamke anakua kwenye maumivu wakati wa tendo
🔰Hutokuwa na haja ya kuwa na wasiwasi ya kutokupata mtoto, ugumba wala saratani ya kizazi ambayo inaweza kusababishwa na P.I.D sugu
🔰Uke wako utakuwa msafi na usiotoa harufu hivyo basi itakupa kujiamini na kutokuwa na wasiwasi muda wowote na mahali popote
🔰Utapona P.I.D ndani ya muda mfupi sana lakini pia utumiaji wa tiba ni mwepesi sana ambao hautokuchosha
.
.
HEBU TUANGALIE BAADHI YA SHUHUDA ZA WADADA AMBAO LEO HII WANAFURAHIA MAISHA BAADA YA KUPONA P.I.D NA MADHARA YAKE KWA KUTUMIA TIBA YETU YA P.I.D PACKAGE
NB: Kumbuka ni muhimu mwenza wako kwenda hospitali kuangaliwa kama hana ugonjwa wa zinaa na kama anao basi apate tiba. Na vizuri kuwa makini wakati wa tiba ili mwenza wako asijekuleta bakteria wengine na kufanya uponyaji uchukue muda kupona
Mwanamke bila P.I.D inawezekana....Huu ni wakati sahihi wa kurejesha furaha yako
Endapo una hili tatizo au shida yoyote ki afya basi wasiliana nasi kwa:
Simu/whatsapp: +255716778844
MUHIMU:
Hakikisha una follow hii page ili uwe wa kwanza kupata habari mpya kila tunapo post. Nenda chini kabisa ya post hii utakuta sehemu imeandikwa follow...
FANYA maamuzi SASA na kama sasa basi amua SASA HIVI maana ugonjwa huu unapokuwa SUGU hutaweza kuitibia tena
.
.
0 Comments